ENG. HERSI AFUNGUKA KUWA " YACOUBA ALITULETEA AZIZ KI | SIJAWAHI KUJUTIA KUWA YANGA | MAFANIKIO....
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 เม.ย. 2024
- CATCH US BONGO FM 📻
90.0 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 89.7 DODOMA 📻 | 89.9 ARUSHA 📻 | 104.9 MBEYA 📻 | 90.0 MWANZA 📻 | SHINYANGA 89.9 📻 | KIGOMA 89.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: bongo_fmtz
TWITTER: https: BONGO FM
FACEBOOK: BONGO FM
#rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #micheZo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumonukuu
#kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbatv #diamond #yangasc #wcb #singidafountaingate #kondegang #wcb #yangatv #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbasc #live #simbatv #diamond #diamond #yangatv #yangasc #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #simbatv #diamond #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang - กีฬา
Allah akulinde🎉🎉 rais wetu umli mdogo akili kubwa tunakupenda sana 💚💛💛💛💚
Only one promise remaining is stadium. Ukifanya hv hata hii nchi unaweza kuendesha amina ❤🎉🎉🎉🎉
Mungu akupe maisha marefu kupitia wewe hata Simba hawatafanya vibaya wala kufanya makosa
hongera sana rais wa yanga una maono ya mbali na mungu akujarie sana
Nakukubali sana nas Yanga Africans itakua ni taasis itakayofika mbali sana Mungu akupe maisha maref na Afya njema sana
🎉🎉🎉huyu Rais wa mpira mwenye maono ya mbali sana utafika mbali sana🎉🎉🎉
Viva Eng. Hersi💚💛🧡💛💚💛🧡💛💚
Mungu awabariki viongozi wetu
Bi Mdogo Irene hongera sana kwa hatuna uliyopiga. Nimekufuatilia kwa muda mrefu. Unanipa sana courage ya kuwa Bora kadri siku zinavyoenda. Big up My lil sister.
Allaah Akbar
Kamanda hongera sana .mungu akupe maisha marefu
❤❤
Eng, ni raise wa mfano. Kiongozi ana juhudi na nidhamu ya kazi naipenda hiyo.
Engineer yuko smart mentally, physically and socially
Ni kamus ya uongoz, uvumilivu matokeo (result oriented) ubunifu uaminifu, ucha mungu
Mshaur wa maisha na future oriented, on top of that highprofessionalsm
Team work building proffesionalism
Katika baadhi ya proffesion ambazo most of time. Never let people down is Engineering proffesion
Atajenga uwanja na ataipa timu makombe ya.ndan na nje
Believe in my words
Ishi miaka mingi engineer tunajivunia kuwa nawe🙌🙌🙌
Ni muda wa kuipeperusha yanga baran Africa 👍👍
Tulipotea kwny rada za ushindan Africa...
Viongozi kamaawa ndotunawaitaji kakatika mpila wetu tanzania💛💛💛💚💚💚💚
Naomben like
Uzipeleke wapi?
Huyu injinia akifa moja kwamoja nipepon mungu akupe maisha marefu
Mwenyez mungu azidi kukupa nguvu na imani kubwa kwako amin
Raisi wetu wa boli Kijani na Njano Nyeusi tupo juu kwaajili yako hakika tunakipenda mnooo presda wetu
President Hersi 🔥
Punguzen tharau bx yan mtu anaongeapointi kunamijitu inaomba like😂😅😂
Busara nyingi sana huyu Rais
hongera rais wetu
Bonge moja la kiongozi. Madini yako hata serikalini yanatamaniwa.
Tunakuhitaji kwakipindi kirefusana 🎉🎉🎉🎉🎉❤
❤❤❤mungu akulinde
Hongera sana brother 🎉🎉
Huyu jamaa. Naona ni mzungu kajipaka rangi black. Maana akili hizi sio za BONGO.
Eng ukovizuri Yanga imepata Rai's mwekewa Sana Yanga daima mbele nyuma mwiko
❤❤❤❤❤❤❤❤
MUNGU akubariki sana RAIS WETU💛💚💛💚💛
Yeah yacouba songne alikua barozi wa burknabe 🇸🇱🇸🇱
Mimi simba ila huyu mtu yupo Very smart
💛💚
😅
Wananchi wakiimba GSM awaimbi kifala wanamaana yao
Nakubali raisi weti
Rais wetu
Prezdaa is talking now
❤❤❤❤
RAISI USITOE SIR ZOTE😂😂😂
HERSI SAID "THE ENGINEER"
Hii ni shule ya UONGOZI na darasa la UONGOZI katika tasnia ya mpira wa miguu wa Tanzania. Na kimsingi ni kanuni za UONGOZI kiujumla anazungumzia
Uyu jamaa ajichunge sana asije akarogwa maana duh anaongea maneno yenye maana na busara nyingi xana anatumia duh mungu amjaharie uzima na weredi
Ni zahabu hii
Mbona unatoa siri si wengine watazitumia upande wapili
sio mbaya tunapasw kuw natmu nyingi znazofany vzur mpira unahel
Hujawah kukosea mola akulinde akufanikishie mahitaji ya moyo wako
Huyu jamaa hatari Simba tuwemakni anaweza kuifkish yanga mbali
Pokea maua
Tunakukubali raisi wetu kijana watu wote wajifunze kwako
Likes wewe Engineer Herse?.
Jmn tukubali kiukweli,huyu jamaa ana akili nyingi Sana Na Mr GSM,anayoyaongea Kwa mwenye akili hatoweza kumtukana huyu jamaa Itakua Ni dhambi Sana,anajitoa huyu jamaa Na GSM,tukimuona shabiki au mwanachama mke au mume akimtukana Hersi,GSM na uongozi mzima wa Yanga Hao watu wafutwe na wazuiwe kuisogelea Yanga,Huo ndio ukweli
NNACHOMSIFIA UWEZI KUMSIKIA AKIJIGAMBA AU KUONGEA UPUUZI AU MAMBO YA KIJINGA HATA SIKU MOJA... YAANI HUYU ENGINEER NI MTU MKWELI NA HUWA HANA HATA DALILI YA UHUNI
Hakika rais wet ni mt mweny akili kubwa san na py ubunifu mkubwa san
Uongoo uonggo manalipa kwa wakati mbona mmefungiwa kusajili kwakotolipa signing fees ya mchezaji mpaka leo wadanganye mashabiki wa Uto wasio kuwa na akili
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, acha umbea.....huyu ndiye kiongozi wa mpira anayetafutwa na upande wa pili.....
Tafuta ukweli kama ww unataka kuwa mkweli.
@@josephlorri431 ukweli Uto wamefungiwa kusajili kwaajili ya deni kakojoeni mlalee ukweli mchungu
Sio deni ndugu Kuna mfumo ambao FIFA wanaitaka club iingie kwenye huo mfumo Ili malipo ya wachezaji yanapofanyika wao waone Moja Kwa moja ni mfumo wa digital hata vilabu vingine vimesisitizwa vifanye hivyo.
@@hassanabdala7383 acha hasira, kolo timu yenu mbovu..mmezoea kulishwa uwongo..hayo unayosema kuhusu yanga sio kweli
Nakubali raisi weti
❤❤❤❤