Kilimo cha nyanya kijiji cha Tanagozi Iringa.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our TH-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

ความคิดเห็น • 11

  • @elishatendega3819
    @elishatendega3819 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana sana mkuu.tunapata elimu hiyo nzuri sana

  • @edwinnyarokweli2105
    @edwinnyarokweli2105 ปีที่แล้ว

    Hongereni itv,karibu pia ns katavi

  • @galusimsekwa9536
    @galusimsekwa9536 11 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana pia karibu iringa tanangozi tz kilimo ni biashara

  • @galusimsekwa9536
    @galusimsekwa9536 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana karibu tanangozi kilimo xaxa ni biashara

  • @lovenessyohana1749
    @lovenessyohana1749 ปีที่แล้ว

    Faida ya nyanya

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 ปีที่แล้ว +6

    Huyo ndo bwana *Galusi Msekwa* aliyelima nyanya kwa timing nzuri akaingiza Tshs. milioni 440 ndani ya wiki mbili tu za mavuno. Alilima nyanya eka kumi mwezi wa 11 mwaka 2019, akavuna na kuuza mwezi wa kwanza mwaka 2020 wakati ule kuna uhaba mkubwa wa nyanya tenga moja sokoni Dar es Salaam Tshs. 80,000/- hadi 100,000/-
    Wateja walikuwa wanapigana vikumbo kununua nyanya kutoka shambani kwake. Nyanya zikaisha huku kukiwa na wateja kibao wamebaki na hela mikononi mwao. Akajikuta ameingiza Tshs. 440,000,000 ndani ya wiki mbili tu.
    Alitembelewa hapo shambani kwake mpaka na Mh. Hussein Bashe wakati huo akiwa Naibu Waziri wa Kilimo. Runinga ya kwanza kabisa kumpaisha hewani waTanzania tukamfahamu ilikuwa ni Clouds TV, ambapo Gardner G. Habash ndo alikwenda kumrekodi hapo shambani mwaka huo huo 2020.
    Siri ya mafanikio ni uwe na mtaji mkubwa. Alisema aliwekeza Tshs. milioni 50 ambapo alichimba kisima na kutandaza mfumo wa mabomba ya umwagiliaji wa matone. Uwekezaji huo ulimwezesha kulima kwa ratiba yake, badala ya kulima kwa kutegemea mvua. Kulima kwa ratiba yake kulimwezesha kufanya timing sahihi ya soko kwamba wakati nyanya zimeadimika sokoni, yeye ndo shambani kwake anavuna mzigo, na hivyo anapata bei ya juu kabisa.
    Kongole kwake!

    • @isayakihongile4921
      @isayakihongile4921 5 หลายเดือนก่อน

      Andiko lako nimelielewa vizuri asante kwa ufafanuzi mzuri

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 5 หลายเดือนก่อน

    Asante mtangazaji naomba namba ya huyo mkulima

  • @kweteyrichardtetteh3556
    @kweteyrichardtetteh3556 11 หลายเดือนก่อน

    Please can u do language in English for me I'm from Ghana

  • @cleofaskasonso4603
    @cleofaskasonso4603 ปีที่แล้ว

    Dr safi sana