Biblia inakuasa usimwache mwanamke wa ujana wako coz hana experience ya mwanaume mwingine yeyote 😂 sasa upate mwanamke ambaye kesha rukaruka huku na huko ambaye ana experience ya wanaume tofauti lazima akucheat tu. Maana mnakuwa mmeowana wahuni na wazinzi watupu😂😂😂. Hivyo kama uko na mwanamke ambae hukumtoa bikra wewe huyo atakucheat tu hivyo muombe kwa upole akuhurumie tu usije kujua😂😂😂
Pole kwa UTU..Heshima kwako KONKI
Kaka mimi nakuelewa lakin hat wanaume piah hawatakiw kupendwa kabisaaah 🤣🤣🤣
Pale kipilipili anapoamua kuwa rastaman ndo nywele zinakua hivyo
Mmmmh basi tuu.😊😊
7:08 Mimi ni Putin 😅 Konki noma sana
Yaani hii dunia ya sasa sio wanawake tu hata wanaume. Wote tu hawatakiwi kupendwa. UPENDO hauna maana yoyote hakuna anayethamini.
Huyu jamaa inamaana aneshindwa kupata hela ya kunyolea ndevu😂😂
Mwanaume kamili hanyowi ndevu
Usisubutu kupenda hapo umenigusa sana
It's high time allows mamba 24 tomarry. OK 😊
naona hapo kumeongelewa yesu wawili ama nimeelewa vibaya. yesu alimwambia nini yesu na yesu akamjibu nini yesu. Hahah
Hasa wa maofisini humu ni nyoko kabisa za fasta fasta wanapiga sana tu
Nikweli wanawake wamekuwa pepo
Mambaa...😂
we ni mwanaume ongea mambo yako bila kumtaja monarisa maana tayri ni mke wa mtu na ana watoto wakubwa wapo vyuoni acha kutaja hiyo familia
Hao watoto unaowasemea na wadudu baya wamo, kwa hio achana na sisi tuendelee
Hao watoto wakubwa wa monalisa anaowazungumzia ni wa dudu baya pia au unataka na DNA
Hujui lolote we tulia mona na dudu sisi tumekuwa nao mtaa mmoja tabata huko walikuwa wanapendana hakuna mfano ............
Inakuuma nn ww unataka akuongelee ww
We unamamlaka Gani na hiyo familia?
Monalisa huko hana amani hata kama yuko ndani ya ndoa bado kunakua hakuna amani
Biblia inakuasa usimwache mwanamke wa ujana wako coz hana experience ya mwanaume mwingine yeyote 😂 sasa upate mwanamke ambaye kesha rukaruka huku na huko ambaye ana experience ya wanaume tofauti lazima akucheat tu. Maana mnakuwa mmeowana wahuni na wazinzi watupu😂😂😂. Hivyo kama uko na mwanamke ambae hukumtoa bikra wewe huyo atakucheat tu hivyo muombe kwa upole akuhurumie tu usije kujua😂😂😂
Haha😂😂😂
Nature haipingiki Mtapenda tu!!
Yea hio rosecoco tunaitaji
Kwa msukuma siyo ajabu kukolea!
Ndo content sasa hio
Nihatari wanduguzangu
Mimi ni Putin konki bhana hatari bro
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡💯💯💯