RC Makonda 'Alivyomuita' Diamond na Tanasha Awafungishe Ndoa!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 191

  • @joyking424
    @joyking424 5 ปีที่แล้ว +56

    Kama munaona Tanasha kavaha mbaya na anajisikia ata haibu gonga like

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 ปีที่แล้ว

    Mh makonda hii speech nmeipenda sanaaaaaa 👍 point tupu

  • @georgedamas7097
    @georgedamas7097 5 ปีที่แล้ว

    Nina rohoo wa Mungu!! Safi sana bless you

  • @richardhegani5898
    @richardhegani5898 5 ปีที่แล้ว +3

    Ila wabongo tunamaneno sana ya majungu, tukio la hapo ni uzinduzi pafyum ya Hajji Manara lakini cha kushangaza maneno mengi kwa Diamond na Tanasha yanahusu nn, hayo ni maisha yao, ila nimeamini mafanikio ni chanzo cha kuwa na maadui.

  • @mrsb.j283
    @mrsb.j283 5 ปีที่แล้ว +15

    Mbele ya mama mkwe ulishika kiuno, mbele ya waheshimiwa wote hao pia unashika kiuno, jifunze heshima na Mila na desuri tanasha

  • @kadechoabuu6635
    @kadechoabuu6635 5 ปีที่แล้ว

    mkuu uko vizuri hii bongo uchawi majungu .na mungu kwa amesema bola mchawi .sio wenye majungu.

  • @khatibucarroll5339
    @khatibucarroll5339 5 ปีที่แล้ว

    Makonda upo vizuri sana kwanasaha zako

  • @christinanuurinkluge9118
    @christinanuurinkluge9118 5 ปีที่แล้ว +3

    Is True 😘

  • @watsapsese330
    @watsapsese330 5 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee Mweshimiwa nakupenda bure ubarikiwe umejuaje haya. yapo

  • @sabahalnaamani110
    @sabahalnaamani110 5 ปีที่แล้ว

    Nice speech

  • @barakanyambele4673
    @barakanyambele4673 5 ปีที่แล้ว +4

    Mkuu makonda umeongea vizuri sana, natamani sana cku nikudogelee hata karibu unipe a, b,c

  • @abelsundi6105
    @abelsundi6105 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up Mr Makonda,.

  • @mbondokambi8053
    @mbondokambi8053 5 ปีที่แล้ว +7

    Mm nakukubal sana Mzee baba Makonda

  • @salummasoud6395
    @salummasoud6395 5 ปีที่แล้ว

    I like it Haji

  • @hadijahalifa5418
    @hadijahalifa5418 5 ปีที่แล้ว +8

    Inna lillah wa inna Illah raj'un!msiba wallah! kijana wetu kila mara nakuona na kilemba! Subhannallah!umetoka nae nyumbani amevaa hivyo na ukaridhika kweli!muogope mungu aliekufikisha hapo!sisi ni wa Africa sio mila zetu kuvaa uchi!si kwambii uislam!this is too much!dah!for the first time you've let us down my boy!

  • @Imapolite
    @Imapolite 5 ปีที่แล้ว +1

    Good job

  • @modestarubunda3850
    @modestarubunda3850 5 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa, nimekuelewa, hongera sn kwa neno la busara!

  • @modestarubunda3850
    @modestarubunda3850 5 ปีที่แล้ว

    Wow!

  • @charlesrachier5444
    @charlesrachier5444 5 ปีที่แล้ว +3

    Mondi take nice care of our sister

  • @saloujohn3639
    @saloujohn3639 5 ปีที่แล้ว

    Safi kaka makonda majungu bongo ndio chuo kikuu umeongea vizuri saana big 5

  • @shabanmajasho7164
    @shabanmajasho7164 5 ปีที่แล้ว

    Boss leo umeongea point sanaaaa🔥🔥

  • @johnnydepp3218
    @johnnydepp3218 5 ปีที่แล้ว

    Mh Makonda hawo ndo wa Tz ukitaka kuwajuwa tazama comments zawo humu wawo ni majungu tu na kuchunguza maisha ya watu ooh kava vibaya ooh simzuri, wa Tz badilikeni nguvu mnazo tumiya ku judge watu mngelizitumiya kupambana na maisha Tz ingelikuwa nchi ambayo inamaskini wachache sana barani Africa!!

  • @astaqueen3979
    @astaqueen3979 5 ปีที่แล้ว +7

    iyo nguo apanaaaaa tanashaaa why usivaye kanzu isiyo kuwa nampasuwoooo .ungependeza sanaaaaa

  • @salummasoud6395
    @salummasoud6395 5 ปีที่แล้ว

    Tanasha angalia dress style haziko sawa be smart

  • @reubendick4033
    @reubendick4033 5 ปีที่แล้ว +11

    Alie ona diamond kavaa Eleni agonge like.

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 5 ปีที่แล้ว

    Daimondi umependeza sana ila ungemshauri tanasha kidogo kuwa hiyo nguo aliyovaa ni kubwa kwake huko juu imemuacha wazi sana Ila Mungu awe pamoja nanyi mfunge ndoa sasa

  • @fauziaali6720
    @fauziaali6720 5 ปีที่แล้ว +20

    mavazi yako tanasha hayana heshima mama

  • @muditelela7720
    @muditelela7720 5 ปีที่แล้ว +1

    Haahaaha Leo nimecheka sana

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 5 ปีที่แล้ว +1

    Waaa Tanasha ata hayuko comfortable na hiyo gauni ,am sure hao watu wanaocheka wana mcheka Tanasha 😔😔😔

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 5 ปีที่แล้ว +18

    Kama umemuona tanasha anogopa kumsogelea shekhe gonga like hapa.

    • @fatmaabdulla6178
      @fatmaabdulla6178 5 ปีที่แล้ว +2

      Hajaogopa MTU, Bali aliona ni fahari kuitwa mbele ya sheikh. Kama kweli anaiheshimu dini yake Nasib asinge mwachia tanasha amsogelee sheikh wala kuvaa mavazi ya uchi, Nasib utokako ni mbali unakokwenda ni karibu, life have no guarantee jitayarishe sasa kuonana na Muumba, kama si sasa ni sasa hivi. Nakuombea uzinduke kutoka kwenye huo usingizi, Allah akusameh mwanangu

    • @mamyally958
      @mamyally958 5 ปีที่แล้ว

      Fatma Abdulla Aamin ni kweli kabisa

  • @beatriceconsolataachiengan5979
    @beatriceconsolataachiengan5979 5 ปีที่แล้ว +2

    Nguo gani hiyo wavaa washinda kuvutavuta, siungevaa ile iko comfortable.

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 5 ปีที่แล้ว +16

    Kama umemuona mama mai kwa mbaligonga like

  • @herifredrickson2040
    @herifredrickson2040 5 ปีที่แล้ว

    Tanasha Ni Dem mkali aisee!!!👏👏👏👏

  • @mwakipesilealfani2666
    @mwakipesilealfani2666 5 ปีที่แล้ว

    Nikweli

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 5 ปีที่แล้ว +1

    Maneno yenye busara kabisa. Bigup mkuu!

  • @nururajabu8555
    @nururajabu8555 5 ปีที่แล้ว +2

    Yani natasha hiyo nguo aibu aibu aibu unaenda kwenye mikutano kama hiyo utadhani unaenda kwenye fashion show kweli mchagua nazi sana huangukia koroma tena kiroma liloliwa na mwezi 😎😎😎

  • @bakarimatamba5521
    @bakarimatamba5521 5 ปีที่แล้ว

    Shekhe Bigup.Kampa mkono Diamond ilivofika wakati wa kumpa mkono Tanasha,shekhe kajigeuza,Tanasha akupata mkono wa shekhe.Tofauti na alivyokataka Mkuu wa Mkoa.bigup shekhe.

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamaniiiii munamlaumu tanashaa amepasishwa huyooo na huyoo mtovuwaadabu mwenziweee mwanamke hana hata heshima mbele kwa wanao stahiki heshima mwanamke ni ZARRY TUUU

    • @msanangomwarabu301
      @msanangomwarabu301 5 ปีที่แล้ว

      MKULU kwa hili la kipaji umeongea nakupa mia mara mia.wanafiki wanaenda mbali mpaka kwenye shiriki ili kukwamisha tu.

  • @kyshinchelsea8463
    @kyshinchelsea8463 5 ปีที่แล้ว

    Mmmh nusu uchi mbele za waeshimiwa

  • @jamilaomar9860
    @jamilaomar9860 5 ปีที่แล้ว +2

    😁😁😁😁 kweli Tanasha kavaa kituko waaah

  • @truthhimself1
    @truthhimself1 5 ปีที่แล้ว

    Nicr

  • @jastinmsera9557
    @jastinmsera9557 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani vazi gn hl hadi shehe kaogopa kumpa mkono Tanasha aibuu, kuna sehem zake hz nguo

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 5 ปีที่แล้ว +2

    Kam umemuona Tanasha anawasiwasi walivyo itwa mbele
    Gonga like apa

  • @zeddynatty9338
    @zeddynatty9338 5 ปีที่แล้ว +3

    Acheni kumlaumu tanasha..wakati akiva c chibu aliona mbona akumsho nimbaya..komaa

  • @jacklinemutua416
    @jacklinemutua416 5 ปีที่แล้ว

    mm nakupendaga sana sina tu chakukupa Mungu akunyooshee kila unachopanga

  • @restymlale6003
    @restymlale6003 5 ปีที่แล้ว +7

    Makonda,you can't stop people talking.

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama umemuelewa.. Hajajiandaa hawajajiandaa sana ni kwa sababu Diamond amevaa heleni, huyo mwanamke yupo uchi

  • @godfreymofire6902
    @godfreymofire6902 5 ปีที่แล้ว +3

    Makonda nakupenda sana broo kiongozi da !

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee dude nimekusoma kwa kutuelimisha watu wa mikoani kwenye move zako ubarikiwe, nawaona watu wapo vifua wazi kama wanaume wabeba vyuma kumbe ni wanawake tena waliojiandaa kwa kuolewa.

  • @albatrose9865
    @albatrose9865 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani umemfanya shehe wa mkoa ni wakufungisha ndoa za mkeka?halafu hayo mambo ya watu binafsi hayakuhusu mpaka mtu anaona aibu anaomba akakae.yaliyokuleta ni ya manara wacha uchokozi kama unaheshimiwa.

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 ปีที่แล้ว

    ahh!?😢 mondi nakupenda sana na maisha yako ..lakini hili suala la nguo anazovaa wifi tanasha hapana ..hebu fanya utaratibu ndugu yangu ..kaka ang nguo pia imekua kero kwa yy mwenyewe alivaa pia hana raha.maana c nguo ya maana.

  • @habibmohdali206
    @habibmohdali206 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama umemuona mkuu wa mkoa kashtuka kwa walinzi wa diamond weka like twende sawa

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 ปีที่แล้ว

    Dada yng limekutoka hashuo pumbav kwenye heshima sasa unapata aibu popote wendapo lazima ujue nendapo naitajika kujistir kwa hali yeyote kwan huwez kujua kipi kitajir huko.
    Yan mm niliposkia njoon mumpe mkono shekhe basi skutaka hata kuangalia

  • @astaqueen3979
    @astaqueen3979 5 ปีที่แล้ว

    yani baba umeongeya vizuri sanaaaaa

  • @samwelsirieli1624
    @samwelsirieli1624 5 ปีที่แล้ว

    Asante mheshimiwa Makonda umeongea vixuriii umeshauriiii vixuriiii,,,umbeyaaaa, jamaniiii,,,ila mwambiye Diamond hapo no,,,wife

  • @mwantumswalehe6728
    @mwantumswalehe6728 5 ปีที่แล้ว

    Allhadi mche Allah. Hivi hapo panafaaaa?

  • @mdauzedonabouttruckadventu1850
    @mdauzedonabouttruckadventu1850 5 ปีที่แล้ว +3

    Diamond kaza buti achana na wabongo siyo kuwa na maono songa mbele baba

  • @busegamediatanzania
    @busegamediatanzania 5 ปีที่แล้ว +23

    Kama umeelewa Mh. Makonda asemacho like hapo

  • @bxrkeshorts738
    @bxrkeshorts738 5 ปีที่แล้ว +10

    Ni nguo gani hiyo alovaa mbele ya watu wenye heshima zao

  • @herifredrickson2040
    @herifredrickson2040 5 ปีที่แล้ว

    Simba huyo ndio saizi yako yaani kijana mwenzako so wale wazee big up chibuevara.

  • @zeanorbx279
    @zeanorbx279 5 ปีที่แล้ว +18

    Hio nguo inaweza kukuwacha uchi Tanasha

    • @bakarimatamba5521
      @bakarimatamba5521 5 ปีที่แล้ว +1

      Were Faith na ndiomana shekhe hakumpa hata mkono

    • @hamjohamohamedi7851
      @hamjohamohamedi7851 5 ปีที่แล้ว

      Mwenzangu ayibu Sana nguo hata haijashika maziwa Bora hata ingembana Kwa matiti yangekaa vizuri ona yamtepeta😁

    • @josej9888
      @josej9888 5 ปีที่แล้ว

      @@hamjohamohamedi7851 hayo maziwa au ndara?

  • @husseiniddally9036
    @husseiniddally9036 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh wa ccm kimbele kimbele sana

  • @charlesrachier5444
    @charlesrachier5444 5 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mko wa mkoa huwaga poa sana kutoka kenya pongezi

  • @preccypressy2226
    @preccypressy2226 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anaongea mambo ya busara ila kwa mafumbo huwezi muelewa usipokuwa makini. Diamond mfunze mpenzi wako jinsi ya kuvaa maana ushampenda
    Hata akivaa skirt na t shirt mapenzi bado yananoga tu

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 ปีที่แล้ว

    tanasha nguo kubwa uko juu maana unapandisha mda wote na ziwa mbona ndara kwani unamtt pia hiyo nguo uliyo vaa siyo mzuri ilibidi ata umueleweshe mwanamke wako nguo za kuvaa kwenye sehemu kama hizo ww diamond ata shekhe kashindwa kumshika mkono ata kusogerea karibu kwa alivyo vaa

  • @sevarinmajani7757
    @sevarinmajani7757 5 ปีที่แล้ว

    Nguo sio nzuri jamani mbona modi umependeza sana mbona mkeo yuko uchi

  • @salamashabani7922
    @salamashabani7922 5 ปีที่แล้ว +1

    MUHESHMIWA MAKUU WA MKOA HUWA NAKUPENDA SANA WEWE NI MSEMA KWELI KWAMAANA WATU WA PWANI NI WAVIVU SANA KWA KUJITUMA LAKINI KWA MAJUNGU NA ROHO MBAYA WANAONGOZA, NAHATA HUKU KWETU MWANZA WAPO KAMA UNAVYOJUA ILA MUNGU ATAWADHOOFISHA

  • @fatmawaleed2443
    @fatmawaleed2443 5 ปีที่แล้ว

    baba upo vinzuri sana tutazindi kukuombea mungu uendelea kuiongoza taifa baba wataifa akimaliza mkatamba wake nadhani ww unafaa kuongoza taifa lkn huyo bibi harusi ndo katuaibisha wanawake wa kiislam maana hata taifa lolote lalalamika kuhusu shekhe wa mkoa amelaumiwa sana lkn msimlaum shekhe kwani niibilisi tu alitawala hapo kwenye sherehe tumsameheni bure msimhukum kwani aombe tu msamaha kwa mola wake

  • @mohamedothman9769
    @mohamedothman9769 5 ปีที่แล้ว

    Kweli duniani kuna makauzu.

  • @mdauzedonabouttruckadventu1850
    @mdauzedonabouttruckadventu1850 5 ปีที่แล้ว +3

    Usimjaji mtu wakati wewe hata chupi ya elfu tano inajushinda acheni ujinga watanzia, nasikitika sana watanzania kuwa na majungu na siyo kufikilia lini na mimi nitakuwa kama yule, kuwa na tamaa ya kutafuta na siyo majungu acheni ujinga.

  • @ayshaugand5920
    @ayshaugand5920 5 ปีที่แล้ว

    Tanasha u should get another designer everytime u apear in de video ur dresssing code makes u to loose control

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 5 ปีที่แล้ว

    Hii shughuli ya Haji, sijaona sbb ya kumsimamisha Dimond kwa swala la kuoa......

  • @zeanorbx279
    @zeanorbx279 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanasha next time vaa bra

  • @omarymwigura328
    @omarymwigura328 5 ปีที่แล้ว

    Daaah shekhe wa mkoa mbele ya mvaa nusu uchi na kijana alie vaa heleni uislam haikubaliani na hayo

  • @watsapsese330
    @watsapsese330 5 ปีที่แล้ว

    jaman acheni majungu kuvaa kwa Tanasha hakuwahusu nyie ndo mnaoongelewa mwenyewe. kakamata maisha. nyie hata Hera ya kubadirisha mboga hamna mtakalia hayo hayo mwacheni mtoto wa watu hajala cha Mtu

  • @angelwamiye8727
    @angelwamiye8727 5 ปีที่แล้ว

    Uyo tanasha afai kuwa mke wa mtu

  • @ombenikisunga5059
    @ombenikisunga5059 5 ปีที่แล้ว +10

    Mama Mai amependeza

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 5 ปีที่แล้ว

    Global online TV nawatafuta

  • @Rashidmhedhery
    @Rashidmhedhery 5 ปีที่แล้ว +1

    Jua kali humo ndani, Diamond mewani ya jua!!!!!!looooh!

  • @zeanorbx279
    @zeanorbx279 5 ปีที่แล้ว +7

    Tanasha angevaa nguo ingine

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 5 ปีที่แล้ว +12

    daimond couple beautiful hakunawakufananisha na tanasha she is hot ukweli sumu.kunyweni sumu watu wa mavi mafungu

    • @mardinhalfany1413
      @mardinhalfany1413 5 ปีที่แล้ว +1

      Ha ha ha huyo jamaa wa mafungu namtafuta

    • @yousufharthy6876
      @yousufharthy6876 5 ปีที่แล้ว

      Everrine. Either you are blind or must be ugly person.
      This woman Natasha could stay naked in front of me and wouldn't bother take a second glance.
      Frankly she has nothing to offer .
      I would rather be with Zari a 1000 times.
      Diamond has no test in woman

    • @everrineanyango7410
      @everrineanyango7410 5 ปีที่แล้ว

      Yousuf Harthy zari siku hizi anatembea na costume pekee

    • @yousufharthy6876
      @yousufharthy6876 5 ปีที่แล้ว

      @@everrineanyango7410
      Jaribu kufahamu kuwa Kila nguo especially kwa mwanamke lazima iendane na umbo lake mfano ikiwa mnene uvae loose clothing na ikiwa mfupi uvae long clothing inakufanya uwe opposite na vile ulivyo.
      Breast cut dress yataka mtu mwenye maziwa yalojaa ili yotokee kwa juu kama vile embe dodo.
      Sasa ule Ana vigozi vinaninginiya mpaka kanzu inashuka Kila Mara ni aibu tupu.
      Hajuwi kuvaa

    • @Broadw
      @Broadw 5 ปีที่แล้ว

      Waambie tena na tena

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 5 ปีที่แล้ว

    Mm aki io nguo naiangalia naona aibu.mpaka ckumalizaia makonda amalize kuongea aki

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 5 ปีที่แล้ว

    Manala anafaa nae ateuliwe mkuu wa mkoa,
    Gonga like nyingi kama unakubaliana nami....

  • @rhinaamiry8535
    @rhinaamiry8535 5 ปีที่แล้ว

    Akufanya pow kumuita shekhe mbele ya wadhinifu

  • @annievibes8794
    @annievibes8794 5 ปีที่แล้ว +1

    dah huyo tanasha kasimama km bouncer

  • @robaiagweyuh5000
    @robaiagweyuh5000 5 ปีที่แล้ว +1

    "Tuache kuoneana wivu"

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 5 ปีที่แล้ว +5

    We makonda auna tofauti na uyo tanasha

    • @amirybng4841
      @amirybng4841 5 ปีที่แล้ว +1

      Jim Jam mbona mna msema sana kavaen nanyie vp

    • @janethjaneth8669
      @janethjaneth8669 5 ปีที่แล้ว

      Acha ufala ndonyie wachawi wenyewe mumejaa majungu fitina kwendraaaa saa makonda amekosea nini hapo watu wasio penda maendeleo utawaona tu

  • @consolatamedard9039
    @consolatamedard9039 5 ปีที่แล้ว

    Duuuuh jaman uyu dada simzima nguo gan iyo iliyovaa jaman mnampa mitihan shekhe tu apo mana kutoa mkono kashindwa

  • @chandrnyoeliakim1006
    @chandrnyoeliakim1006 5 ปีที่แล้ว +2

    kavaa uchiuchi huyo mmmm

  • @julienemuchiga
    @julienemuchiga 5 ปีที่แล้ว +3

    Sasa matiti yote inje ni ya watu yote wala ni ya Diamond

  • @astaqueen3979
    @astaqueen3979 5 ปีที่แล้ว +2

    alitaka kumfatiliya zari rangi ambayo aliyo iva hasubui . tanasha tuliya zari anajuwa kuva atari .ona gisi umeika nguo inaka inakusumbuwa coz eti unamfatiliya zari rangi aliyo iva hasubui☺😁

    • @witnesskivaria7483
      @witnesskivaria7483 5 ปีที่แล้ว

      hahaa ndiokwanza anafundishwa kuvaa mshamba hawezi pambana na zariii atulize moja yake

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 ปีที่แล้ว

    uyu demu kavaa nini jamani kweli tanasha kiboko

  • @mtaanitv3991
    @mtaanitv3991 5 ปีที่แล้ว

    cyo kwa aibu hyo

  • @astaqueen3979
    @astaqueen3979 5 ปีที่แล้ว +1

    tanasha harusini usituvalie maajabuuuu kwakweli

  • @astaqueen3979
    @astaqueen3979 5 ปีที่แล้ว +1

    walai umeongeya kweli kabisaaa baba makonda

  • @hawamfumbi6801
    @hawamfumbi6801 5 ปีที่แล้ว

    Kuvaa hereni mwanaume izo bangi na ushooooo......... Gonga like kama umemuerewa shekhe

    • @rashidiwahi1533
      @rashidiwahi1533 5 ปีที่แล้ว

      Uislam sikanzu wala kofia Bali Imani uwezi jua anaweza badilika akawa muchamungu

  • @kumulwa
    @kumulwa 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivii mku wa mkoa ana uwezo wa ainagani wa kuwatishia wana inchi kama raisi.
    Aw ni kwasababu mjomba akiwa raisi na momi pia raisi

  • @SeekersTv671
    @SeekersTv671 5 ปีที่แล้ว

    Subscribe Suzan academy kwa habari motomoto za mastaa, michezo na taaluma pia

  • @parasuminazi4403
    @parasuminazi4403 5 ปีที่แล้ว +2

    Alhady mazingira hayosio nawalahayakufai .ila niushauri tuu

  • @sofiaabubakar2736
    @sofiaabubakar2736 5 ปีที่แล้ว +6

    Natasha gauni hilo balaaa