PROF JAY KAFUNGUKA MAPYA, MILIONI 800 ZINATAKIWA, KATOA ZAWADI YA EP AKIZINDUA FOUNDATION YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 197

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 9 หลายเดือนก่อน +57

    Huyu Baba angetulia kwanza bado hajakaa vizur kiafya ukiangalia na mda aliumwaa,zaidi ya yote tuzidi kumuombea Sana 🙏🙏

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 9 หลายเดือนก่อน +3

      Unajua watanzania kwa michongo ya hela!!!

    • @chingebrazilmrefu6124
      @chingebrazilmrefu6124 9 หลายเดือนก่อน +4

      Wewe ndio docter wake mpaka useme hajapona

    • @janemwageni597
      @janemwageni597 9 หลายเดือนก่อน +13

      Kila kinachofanyika kwake hatujui mungu kampa maono gani muhim ni kumuombea lengo lake litimie

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 9 หลายเดือนก่อน

      @@chingebrazilmrefu6124 hatakama hujasoma picha huoni?

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 9 หลายเดือนก่อน +2

    Professor jay bado hajawa sawa ila Mungu atamjalia na atakuwa sawa.

  • @amanidjuma2580
    @amanidjuma2580 9 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH AKUPE SHIFAA .NA AWAPONYE WANAO SUMBULIWA NA MAGONJWA MBALI MBALI

  • @kombodenge9781
    @kombodenge9781 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana alla akujaali utapona kwani hii ni majaribio kwetu hii ni mitihaha ya allah

  • @moseskivuyomoseskivuyo-ri9jw
    @moseskivuyomoseskivuyo-ri9jw 9 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi wa binadamu na wanyama nakukubali sana huna makuu wala baya na mtu. Ee mwenyezi mungu mtie wepesi profesa jay apone kabisa nakusahau kwamba alidhapitia magumu hayo pia tusamehe sisi watanzania tulioko nyuma yake tulio muwazia na kumzungumzia vibaya mja wako mdu huu nakuomba mwenyezi mungu yale yooote! Mazu na mabaya yakawe mtaji kwa profesa jay amina!

  • @mititokevin6878
    @mititokevin6878 9 หลายเดือนก่อน

    Kutoka kenya mungu amtie nguvu prof.ninaimani kwa kazi ile umefanya baba

  • @getrudaleonard8323
    @getrudaleonard8323 9 หลายเดือนก่อน +3

    Pole Sana prof.Mungu azidi kukujalia uzima kwa kweli

  • @StephanoLaiza
    @StephanoLaiza 7 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mungu wambinguni ata kuponya

  • @rajabuhamzambagonyonge3257
    @rajabuhamzambagonyonge3257 9 หลายเดือนก่อน +10

    😢😢😢kabadilika jmn Hadi namuonea huruma jmn

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi nakushauri achana na mziki rudi kwa allah

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 9 หลายเดือนก่อน +11

    Polee jose inauma sana Pole wajina Mungu akulinde upone 🙏

  • @ezekielmwau7320
    @ezekielmwau7320 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu sana Brother nakukubali ssna

  • @jameslucas7660
    @jameslucas7660 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kak mkubwa mungu akupe maisha marefu

  • @mfirimassawe9023
    @mfirimassawe9023 9 หลายเดือนก่อน +6

    Kuna ngome ya Yesu kimara temboni,ukirika tu ni wa tatizo lako

    • @meshackmtewele718
      @meshackmtewele718 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ngome ya Yesu ni Yesu mwenyewe ukimwamini na kumtumikia ktk Kweli Na haki unapona

  • @MatokeoMwakatumbula
    @MatokeoMwakatumbula 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufanyie wepes prof.j

  • @RizikiAbdalah-s5q
    @RizikiAbdalah-s5q 9 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akutie nguvu,pole sana prf.J

  • @user-ninam.
    @user-ninam. 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu yuko pamoja nawe utapona kaka pole sana

  • @felixmganga2121
    @felixmganga2121 9 หลายเดือนก่อน

    Safi mungu mkubwa tunaombea ukae sawa sauti irudi fasta kwa uwezo wa mungu

  • @AngelinaJoseph-ht1ep
    @AngelinaJoseph-ht1ep 9 หลายเดือนก่อน +9

    Kwa muujiza wa mungu natumai sauti nayo italudi amina 🙏🙏

  • @Zakayo-j3p
    @Zakayo-j3p 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mwenyenzi MUNGU aendelee kukupa Afya njema na maisha marefu. MUNGU abariki maono uliyonayo, Amen.

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 9 หลายเดือนก่อน +4

    Bado anaumwaa kaka etuu jaman mbona kama hayupo sawa

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 9 หลายเดือนก่อน +5

    Sauti inarudi taratibu inshaallah itakua sawa

  • @GodloveHendrich
    @GodloveHendrich 9 หลายเดือนก่อน +5

    Utakuwa good mungu akusimamie kwa kila jambo

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 9 หลายเดือนก่อน +4

    MUNGU MKUU ALIYE HAI MILELE YOTE ATUSAIDIE SOTE. AMEN. POLE SANA NDUGU YETU. MUNGU MKUU YUPO NA AJAWAI KUSHINDWA LOLOTE. AMEN.

  • @dimmotvonline2384
    @dimmotvonline2384 9 หลายเดือนก่อน +5

    Pole sana ndugu yetu yani hadi uchungu sana.daah dunia ni mtihani sana

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu yupo nawew hatakuacha
    kamwe Prof J

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 9 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana prof Kwa yote, Mungu ni mkuu

  • @sandalakabalo5442
    @sandalakabalo5442 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni wa wote tunashukulu kwa wema

  • @sheruajafari1676
    @sheruajafari1676 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyezi akupe afya njema

  • @FatumaMohamedi-t6t
    @FatumaMohamedi-t6t 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu hufannya kwa sabab alikupa ww ugonjwa mgum ili uwe sauti ya wengne wasio na sauti na ushawishi Mungu akubari kwa hilo

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 9 หลายเดือนก่อน +5

    Be blessed man. Kwa kadri unavyojitolea, Mungu akutendee na wewe. Uwe na uzima ili hili kusudi liendelee.

  • @sarahmwasyoge1830
    @sarahmwasyoge1830 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ni Bwana..aliyajua haya kabla ya kuumba ulimwengu..na alisha uandaa msaada kabla hatujazaliwa...akasema "njooni kwangu ninyi nyote mnao sumbuka na kuelemewa na mizigo nitawapumzisha"...maisha ni kuchagua lakini hembu tuchague kwenda kwa Yesu huyu msaada ni uhakika hakuna kupanga foleni..

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 9 หลายเดือนก่อน +4

    Tunamshukuru sana Mungu kukuweka hai.yalisemwa meengi lakini ni kutokujua ukweli wa jambo.Hongera sna kaa hatua hiyo na tunakutakia Afya njema nyakati zote na Mungu akuwezeshe ukamilishe ndoto zako siku moja inshallah ❤❤❤

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu mkubwa 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ni wazo kubwa na zuri.haitakiwi kutoliunga mkono.prof jay tupo pa1 mzee

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 9 หลายเดือนก่อน +12

    Allah akusmalilie professor INSHA'ALLAH,,azidi kukupa afya kila siku 🙏

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 9 หลายเดือนก่อน +11

    MAOMBI NI SILAHA KUBWA SANA KWA MATATIZO YOTE YANAYO TUKABILI WANADAMU. AMEN.

  • @vinanimwinyi3163
    @vinanimwinyi3163 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akupe shifaa subra n Imani

  • @edwinjhilbajojo2429
    @edwinjhilbajojo2429 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe nguvu zaidi Prof Jay,,,love you so much!!

  • @maryngoma1408
    @maryngoma1408 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kaka yangu wa kunyumba, MUNGU amekupa nafasi nyingine ili uweze kumtumikia yeye na WA Tanzania kikubwa uzidi kumshikilia yeye MUNGU peke yake. Hongera tena kwa ujasiri na usubutu.
    Tunakuombea afya njema.

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ishu ya figo sasa hivi imeongezeka sana Tanzania Mungu atusaidie tu

  • @charlesshaban1915
    @charlesshaban1915 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubarik sana brother, nakukubali saana

  • @Wastara001
    @Wastara001 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona alipokuwa majukwaani akiimba hakufikiria kuanzisha taasisi ya kusaidia wagonjwa wa figo?

  • @MonaDhmn
    @MonaDhmn 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni mwema

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ni wakati wako sasa wa kufanya mema kwa muda uliosalia kwa kibali na rehema za Mwenyezi Mungu alizokupa kwa kukuongezea siku za kuishi kabla ya mauti. Acha nyimbo za ovyo....imba nyimbo zisizo kukosanisha na Mwenyezi Mungu. Iwe heri kwako, familia na taifa letu

  • @RoberthBilikule-mt4yn
    @RoberthBilikule-mt4yn 2 วันที่ผ่านมา

    kila jambo linaupande wake, positive au negative ni sehemu ya maisha.

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 9 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio WAsanii SS Siyo kila cku kuimba matus WA kina mwambino

  • @hamisyeo1365
    @hamisyeo1365 9 หลายเดือนก่อน

    Mh bado mgonjwa saut yake inaonyesha bado anatakiwa mapumnziko zaid

  • @GraceYapala
    @GraceYapala 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dugu yetu ivi hatasisi amba nimasikini tutasaidiwa?

  • @masaweiddi2278
    @masaweiddi2278 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuimarishie Afya yako professa j wetu amiin🤲

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole kweli nimgonjwa.. Hila may the lord protect you in Jesus's name

  • @wileshirima8688
    @wileshirima8688 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana kaka professor J tumefurai sana san kukuona Afya yko ikitengamaa .mungu endelee kukupa nguvu uendelee na mapambano yaku wasaidia wengine. Wenyematizo.

  • @emanuelathanas6613
    @emanuelathanas6613 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nilipokua nilikua some where in the middle , nimerudi nikiwa na upako mpya.

  • @veronicamayerere
    @veronicamayerere 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakuponya amini nenda kwa mwamposa

  • @SUPERMANAGERVIBEZ
    @SUPERMANAGERVIBEZ 9 หลายเดือนก่อน

    NAFULAI KUMUONA PROFASA JAY AKIENDELEA KUPONA, NIKO KIGALI RWANDA.

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuwa na issues ndipo analicover mapema kuliko kukaa nyumbani tu.

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 9 หลายเดือนก่อน

    Bdo mdhaifuu sanaa afya ni boraa

  • @asl6295
    @asl6295 9 หลายเดือนก่อน

    Tumuabudu Mungu ndugu zangu hii Dunia ni hadaa

  • @AlexKanuya-fs2vr
    @AlexKanuya-fs2vr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Love you sana broo Jay aiseee:)umegusa moyo wangu sana kusikia kuwa utarud kama zaman I can’t wait to hear you kaka

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dah 😢😢 Allah akupe shifaaa yaharaka

  • @elia5475
    @elia5475 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu Mwema baba utapona

  • @elia5475
    @elia5475 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu Mwema baba utapona

  • @elia5475
    @elia5475 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu Mwema baba utapona

  • @salvatoresanya9194
    @salvatoresanya9194 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo upande wake

  • @YonaAinea-vq3gp
    @YonaAinea-vq3gp 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana,mungu ni mkuu

  • @EmmanuelMshanga-u8m
    @EmmanuelMshanga-u8m 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema sana ,atakulinda na kkupigania

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar 9 หลายเดือนก่อน

    Miaka tele kakamkubwa

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sasa kaka yetu

  • @bahatywasofia4155
    @bahatywasofia4155 7 หลายเดือนก่อน

    Much love you papa got well soon

  • @Yusuph-r8q
    @Yusuph-r8q 6 วันที่ผ่านมา

    Pole.sn.mzee.prof.jy

  • @donardmtambo-hs7mw
    @donardmtambo-hs7mw 9 หลายเดือนก่อน

    pole Sana roho inauma Sana mungu akuponye

  • @MakulaNgagi
    @MakulaNgagi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole ndugu yetu mungu akujalie upone pole sana 🙏

  • @anithamwinula561
    @anithamwinula561 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuponye kaka na akutimizie haja ya moyo wako inshaallah

    • @awakimonika9026
      @awakimonika9026 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akiponye kaka

  • @MujuniRwinwa
    @MujuniRwinwa 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe nguvu

  • @piusprospa8832
    @piusprospa8832 9 หลายเดือนก่อน

    pole kaka yangu

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah azidi kukupa shifaa

  • @getrudebeda4522
    @getrudebeda4522 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe baba embu tulia kwenye maombi kwanza kwa sababu ninachojua Mungu hajawahi kushindwa na jambo lolote

  • @winnerkondejunior1890
    @winnerkondejunior1890 9 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba link hili na sisi tuweze kutoa mchango , INSHA ALLAH. From Mozambique

  • @jacklineqaresi4617
    @jacklineqaresi4617 9 หลายเดือนก่อน

    Ndugu tunakushukuru sana kwa kujitolea, kutuelimisha na kutoa mfano kwa wasio na uwezo wa kupata tiba.ASANTE.

  • @MariyimJumanin
    @MariyimJumanin 9 วันที่ผ่านมา

    Pole kaka

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuponye j. Ila nasisi wananchi tuchkuwe Elim chumvi sukar tule kwakias vinywaji vikali tuvipite mbali maan uwezo wa tiba nimkubwa kuliko kawaida

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 9 หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @alyne7710
    @alyne7710 9 หลายเดือนก่อน

    Kusema kweli ndugu yetu amepata wakati mgumu sana tuzidi kumuombea kwa Mungu apone vizuri mana atujafa atujaumbika inauma sana sana

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mkubwa🙏🙏🙏🙏🙏

  • @peresjohn9763
    @peresjohn9763 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu akuponye brother...

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 9 หลายเดือนก่อน

    Inshaalwah mwenyezi mungu atakuondolea yale yote yanayokusibu kaka

  • @lameckrichard
    @lameckrichard 9 หลายเดือนก่อน

    Nakushauri uache muziki wa dunia uimbe gosple ijili

  • @SamsoniSona-sx3sw
    @SamsoniSona-sx3sw 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona selikali halioni hili mama Samia jamani saidiwa matonjwa ambayo yanauwa watu masikini vijijini

  • @GwankoTv
    @GwankoTv 9 หลายเดือนก่อน +1

    NUSU PEPONI NUSU KUZIMU❤

  • @frankchaula6840
    @frankchaula6840 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa kuwakumbuka wengine wenye changamoto

  • @isakamaganigani1587
    @isakamaganigani1587 9 หลายเดือนก่อน

    Akitulia atakuwaje vizur kisaikorajia ila kama ata jichanganya na watu atakuwa safi kabisa nina iman profesa jay atasimama kabisa

  • @HumphreyNgonyani-no7yc
    @HumphreyNgonyani-no7yc 9 หลายเดือนก่อน

    Mke wa J Mungu azid kumtia nguv naomba Yuko pemben ya mwenzio ndo hivo inatakiwa ktk Hali zote

  • @luhindakanige2987
    @luhindakanige2987 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema

  • @jambofilm3019
    @jambofilm3019 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu atakusimamia kaka tupo pamoja kwa hilo

  • @masaweiddi2278
    @masaweiddi2278 9 หลายเดือนก่อน

    Dah kwel kuugua sana sio kufa mungu akuponye ss tukijuombea sana na utazid kuimarika professor

  • @scorasticaclement6308
    @scorasticaclement6308 9 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana Pro.Jay Na Imani Mwenyezi Mungu Hajawahi Kushindwaa Kwa Lolote 🙏🙏🙏

  • @elaijagrandson7305
    @elaijagrandson7305 9 หลายเดือนก่อน

    Legend

  • @charlespatrick8632
    @charlespatrick8632 9 หลายเดือนก่อน

    Jose wa uganda na wa Tanzania hali zao kiafya zimetetereka mwenyezi Mungu awatunze

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 9 หลายเดือนก่อน

    Alitakiwa atulie ache kuhangaika bado haja pona vizuri

  • @JamesKalisa-ht5xm
    @JamesKalisa-ht5xm 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka kwa hakika Mungu akubarik sana sana wewe ni mfano wa kuigwaa kwa hiki ulichokifanya kwa watanzania hakika Taasisis hii itakuwa mkomboz Kaka HAKIKA MUNGU NI MWEMAAAAAA