"Mkuu wa Mkoa wa Geita ni bora kuliko sisi wote" - MTAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka hajaona shida kusema jinsi ambavyo anavutiwa na utendaji kazi wa Mkuu wa mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel.

ความคิดเห็น • 31

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 6 ปีที่แล้ว +10

    Kiongozi bora ni yule anaemkubali kiongozi mwenzie katika uongoz na kazi zake na kupenda kujifunza kupitia yy ! Huo ndio uongozi bora !

  • @tx-curr2953
    @tx-curr2953 6 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana, ni mfano wa kuigwa.

  • @pastorybudaga7406
    @pastorybudaga7406 6 ปีที่แล้ว +1

    RC umetisha sana, kwakwel mkuu we2 wa mkoa wa Geita 2namkubali kuliko chochote

  • @michaelnjau5001
    @michaelnjau5001 6 ปีที่แล้ว

    Nmeikubali sana presentation yako RC ANTHONY you are real a good leader. Hongera sana mkuu

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 6 ปีที่แล้ว

    Ni kweli RC wenu ni mzuri ni mwenye hofu ya Mungu ninamfahamu miaka ya 2000 ... Alikuwa anaishi Arusha alikuwa akitulisha Neno la Mungu sana kupitia mkondo wa Karesmatiki Katoliki. Mungu akutunze Mh. G

  • @batulajama4171
    @batulajama4171 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @bwiganeafwene1039
    @bwiganeafwene1039 6 ปีที่แล้ว

    Excellent mungu akubariki kwa kuwa mkweli

  • @alexedward7709
    @alexedward7709 6 ปีที่แล้ว

    R C Mtaka wa Simiyu, Hongera Wewe unafanya Kazi sana, lla kwakuwa Wewe pia umemuona mwenzio R C wa Geita alivyo Mpambanaji, Wote tuwatakie utendaji mwema katika kuyafikia Malengo.
    Alex Edward / Geita.

  • @mohameddamka922
    @mohameddamka922 6 ปีที่แล้ว +2

    Geita wana mgodi 1 wana mpango wa vituo vya afya kila kata zahanati kila kijiji Shinyanga kuna migodi allmost 3 vp mna mikakati gani hususani kwenye afya?

  • @gccscada804
    @gccscada804 6 ปีที่แล้ว

    This man is so humble..

  • @robertyaled5275
    @robertyaled5275 6 ปีที่แล้ว

    Huyu Mkuu wa Mkoa ni mnyenyekevu sana, na hana makuu kama anaweza kumwinua mwingine zaidi yake, juwa ana Mungu

  • @joelsamson8752
    @joelsamson8752 6 ปีที่แล้ว +1

    Yupo sahii anachosema

  • @petermwantole616
    @petermwantole616 6 ปีที่แล้ว

    You are trully right,, nimeanza kumfuatilia huyo engeneer since anaingia Geita...yuko sawa kwa kweli..

  • @ValEmaChannel
    @ValEmaChannel 6 ปีที่แล้ว

    I like this very much. Hataa sijuagi Magu anawatowaga wapi hawa watu

  • @kisibowarioba456
    @kisibowarioba456 6 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu umesema ukweli mpongeze mwenzio anayefanya vizuri umeonesha njia

  • @samwelmtaka2207
    @samwelmtaka2207 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana kaka

  • @magesomi6142
    @magesomi6142 6 ปีที่แล้ว +1

    RC wa Geita PAMOJA na nafasi aliyonayo pia kuna kitu kikubwa sana cha KiMungu alichokibeba. Mungu amtangulie kwa kila jambo.

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 6 ปีที่แล้ว

    hongera sana kwake na awe mfano kwa viongozi wote

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 6 ปีที่แล้ว

    Haaaaahaaaaaa safi sana RC,Upo vzr

  • @husseinshengwamkai70
    @husseinshengwamkai70 6 ปีที่แล้ว

    Sure Kbs aisee

  • @samuelmtasha9272
    @samuelmtasha9272 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana!

  • @nadhifmakulunga7555
    @nadhifmakulunga7555 6 ปีที่แล้ว +2

    Mtu akifanya jambo zuri mpe sifa yake

  • @johnhosea1321
    @johnhosea1321 6 ปีที่แล้ว

    Good..

  • @batildaburian8299
    @batildaburian8299 6 ปีที่แล้ว

    Huyu ni Kiongozi mzuri.

  • @agnessjosephath4330
    @agnessjosephath4330 6 ปีที่แล้ว

    Kiongozi bora

  • @johnbuhumbi1593
    @johnbuhumbi1593 6 ปีที่แล้ว

    Chagua rafk anayemata au cyo bhn!!!!

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว +1

    Anajitambua kwakweli