Rayvanny na Mac Voice wakiimba Live visa vya mama mwenye nyumba
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
- Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Big up next level music
Jhoooh guys...am speechless 🤐💪👑
Macvoice ❤❤
Hongera sana mac napenda your songs voice tamu kweli, thnks ray umeleta new talent kwa tent
Waooooooooh.....safi sana yaani mnavyofanana utadhani mapacha jamani....live singing ndo huwa kipimo kizuri kwakweli mna sauti nzuri saana...Big up
Wanafanana mpaka pua zao , saiti zao , and now they work together ... Destiny fulfilled.. Lets support vile tumesupport kina diamond na ray ... Awesome Kama kitu kizuri tukubali ..
Talented 🔥🔥🔥
Mac voice love you very much💘💘.......good work keep it up bro 💋💋💋💋💋
Jamani kali❤️❤️❤️❤️ mbonge la sauti😘 mwaaaaaaaah
Iko sawa hiyo nyimbo mungu akupe maisha marefu
I love you all you gave me fellings
Nakubali sana kazi nzuri sana sikuping damu yang
Nice vocals
this GOLD ERA OF SWA MUSIC
Sauti nzurii hongeraaaa sanaaa
Aseee weee ni hodari mwanangu🔥🔥🔥
Wimbo huu nauelew hatari 😎
Jamani rayvnny na macvoice mnafanana sana au mnaundugu Hadi saut mnafana hongereni sana mie naombeni mnijibu mnaundugu mana wat wanabishana kwa sababu yenu mnafanana sana
Keep moving young man,,, nice voice
True Talent that is gold
I love him🥰
Nice sana macvoice n ray keep it up
Congrats Ray ❤ en Mac 😍 for good job
Yani mavois upo vizuri saut muna fanan na rayvanny
Talented boy wonderful
Waaaasaaaafiiiii chama leeeetuuu👏👏👏👏👏👏👏👏
Great Men, ❤️❤️❤️❤️❤️
It's Mike de Richie napenda sana songs zenu nkiwa na rayvanny
Excellent my brothers
Woow woow 👌 👌👌
We hatari dogoo kamanda nimekubali Kaka zanguuu🔥🔥🔥🔥🔥
Nmewapenda hatar n kama mtu na mdogo wke.... keep it up mabro
Uko saw
Hongera
Chuii nexti levo misic mcvoice pambana buro na ravnnyn pigakasi pambana
Wow 🥰🥰🥰
Majic voice Mac Vee with my boss Vanny
Mi Nilikuwa najua rayvany ameimba Verse ya kwanza loooo🥺🥺🧐
Good job brother ❤❤❤❤
Wow good song
Nice one
Honger bna unaweza
Nextilevo misic mcvoice pambana buro Chuiii RAVNNYN NLM piga kasi pambaneni macvoce
Nextilevo misic mcvoice
Tamu sana
Woooow big up
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Voice noma kweli
Yaani saan
Manshallah
brothers❤❤❤❤❤
Hatariiiii
Sauti zalandana 😍
Amna
Level is up nice one
Macvoice
Macvoce NLM pambana buro NLM ravnnyn Chuiii pambana sana NLM
Very niceeeee
Hatar
Motoooooooo
Kariy sana
Ngoma kali sanaa sichoki kuisikiliza
Moto
I wonder where Mac voice was all this long..super talented and kinda have similarities with vany boy
pete.yadiamond
So gud
Mwulize chege chigunda
Noma xanaaaa😁😁😁
Mnafanana sana na vany boy ndugiyo nini? Ila upo vizuri sana
Ndugiye utakua
Hatari dogo
Yani rayv na mavois wanafanana saut san
They look alike even the voices the same are they brothers?
Voice
Rayvanny amesema uuwaaa
Hii kali
Funzo Kali
Nimependa❤ 0:53
€💯 chiza msanii mkali endelea kusambaza umeme
💥💥🔥
Mmmmm unajuwa hadi unakera
Dah anasauti poa sn
NEXTI LEVO MISIC MACVOICE NEXTI LEVO MISIC RAVNNYN macvoice NEXTI LEVO MISiC rayvanny CHUI pambana achana na mpesi
Bro unakipajii kbsaa afu wataka kufanan na boss wake
*Ndugu zangu kwa heshima naomba muangalie video ya wimbo uitwao Je Utavumilia kwa bofya picha pembeni 👈💕🙏👈 kuutazama naamini utaupendaaa*
Keep it up bro! Ngoja nikusupport ndugu yangu. Na kila la heri kwenye Safari yako. Mwanzo ni Mgumu lakini kazana na usikate tamaa.
@@charlesmoses7724 thank u kaka God bless you
Niuwe nisiuwe?
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mbona sauti ya ryivan
Nimeinda hiyo
Uwaaaaaaaaaaaa🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Wow kaka zangu 🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰
Wow
Jina linakufaa mac voic wangapi wamekubali hilo
Sauti tuuu
Wow 💔💔💔💔
Dah hiv vpaj n 🔥
😍😍😆😆wow
Macvoice ulikuwa wapi wwe , unavitu vikali sana
🚀🚀🚀
Guys fanyeni basi remix ya hinyimbo alafu nikweli sauti zenu huuuum zinafanana kidogo .🤣🤣🥰
🔊🔊🔊🔊🎤🎤🎤🎤
Kwaiyo wimbo ukosaw
Alihuwa kweli
Macvoice x chui
😉😉🥰