KWAYA YA MT.MARIA GORETH CHUO KIKUU USHIRIKA MOSHI-KAZI ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI NA VICENT MTAVANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @RaimbegaMakanga
    @RaimbegaMakanga 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri kabisa mungu awe pamoja nanyi milele Amina 🙏🙏🙏

  • @baltazarlucas5000
    @baltazarlucas5000 ปีที่แล้ว +3

    Hakika kazi zake Mungu hazichunguziki, mbarikiwe nyote kwa utume mlio uchagua hakika mmechagua fungu lililo bora❤❤❤

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 4 หลายเดือนก่อน

    Mnasema vizuri sana kwamba kazi zake Mungu hazichunguziki nasikitika kwamba kwa nini waimbaji wote wa kike mnamsahihisha uumbaji wake kwa kuvaa nwele za bandia .Hapa nasema kwaya zote za RC Tanzania.Naomba mbadilike ili tumtukuze Mungu kikwelikweli.ASANTE.

    • @gkkikwembe1653
      @gkkikwembe1653 หลายเดือนก่อน

      Wagalatia 6
      1 Ndugu zangu mtu akighafilika katika kosa lo lote ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.
      2 Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo.
      3 Maana mtu akijiona kuwa ni kitu naye si kitu ajidanganya nafsi yake.
      4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu wala si kwa mwenzake.
      5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe.

  • @thomasmahindu3342
    @thomasmahindu3342 6 หลายเดือนก่อน

    Nawapongaza saana kwa nyimbo tamu mnazo imba

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabarikiwaimbaji wote❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @jamesaugustino9481
    @jamesaugustino9481 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo inabariki sana hwlakika hazichunguziki

  • @MrAfonso2010
    @MrAfonso2010 ปีที่แล้ว +3

    Sou Angolano de Cabinda falo português, Gostei dessa canção tocou a minha alma... só que não entendi nada ... quero letra dessa canção

    • @kwaya_mt.mariagorethushirika
      @kwaya_mt.mariagorethushirika  ปีที่แล้ว +1

      Kazi zako zote ee Mungu hazichunguziki kwa darubini hakika hazichunguziki,kwa macho ya nyama hakika hazichunguziki pia kwa akili zetu hazichunguziki. You can transrate for your language please😁🙏

    • @MrAfonso2010
      @MrAfonso2010 ปีที่แล้ว

      @@kwaya_mt.mariagorethushirika Thank you

  • @LaurenciaBarnabas-n9t
    @LaurenciaBarnabas-n9t ปีที่แล้ว

    Axanten xana kwa u2me mliouchangua mungu awaongezee neem na baraka katika utume wenu

  • @wilhelmntenya7618
    @wilhelmntenya7618 10 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe watu wa mungu

  • @denismusilipapa2981
    @denismusilipapa2981 8 หลายเดือนก่อน

    Amen. Mwanibariki saana

  • @WinnyezekieldaOmbati-ef3lv
    @WinnyezekieldaOmbati-ef3lv 6 หลายเดือนก่อน

    Congratulations, really it a sweet song ,may heavenly Father bless you all

  • @franciscoe.zacharia4266
    @franciscoe.zacharia4266 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mtamu sana jamani Ushirika mnajua kwakweli

  • @DalushLuguma
    @DalushLuguma 3 หลายเดือนก่อน

    Naipenda kwaya yangu..

  • @user-vu7kw4ed7w
    @user-vu7kw4ed7w 9 หลายเดือนก่อน

    mubarikiwe saana

  • @DalushLuguma
    @DalushLuguma 3 หลายเดือนก่อน

    You made it....keep it up ❤

  • @BrianChami
    @BrianChami 4 หลายเดือนก่อน

    Mmetisha knouma❤

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 9 หลายเดือนก่อน

    Tumsifu yesu kristor

  • @muthuisammy6023
    @muthuisammy6023 11 หลายเดือนก่อน

    This song is a blessing to many hakika. Maulana awajalie mahitaji ya mioyo yenu na awape roho wa kumtumikia zaidi

  • @projestdidace2836
    @projestdidace2836 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa wimbo mzur tumebalikiwa

  • @KamilaNdunguru-zs6ym
    @KamilaNdunguru-zs6ym 4 หลายเดือนก่อน

    nice

  • @benjaminmmand92
    @benjaminmmand92 ปีที่แล้ว +1

    Amina kwakweli hazichunguziki kazi za Mungu

  • @kwayayabikiramariaconsolata
    @kwayayabikiramariaconsolata 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri, twawezaje pata copy ya wimbo huu?

  • @MarcseneLouis-ur7qz
    @MarcseneLouis-ur7qz 5 หลายเดือนก่อน

  • @jamesaugustino9481
    @jamesaugustino9481 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo inabariki sana hwlakika hazichunguziki

  • @user-vu7kw4ed7w
    @user-vu7kw4ed7w 9 หลายเดือนก่อน

    mubarikiwe saana