Chadema mtajilaumu, badala ya kufanya chaguxi mapema ili mtumie muda kupambania tume huru ktk uchaguzi wa kitaifa, mtapata wapi muda? Muda huu wenzenu wanajenga mikakati ya kuwatupa kirahisi.
Mm sio chadema lakin namuona mh Lisu ana siri kubwa moyon ambayo ata hajawahi kuwambia wenzake mpaka anaamua kugombea bila woga wowote kuna kitu na inaonyesha kabisa ni mtu mwenye hasira kubwa ndan ya nafsi yake sema ni kifua cha utu uzima anakaa kimya jaman lisu mlimfanya nn jaman🤔🤔
Chama Cha wachaga, lisu akipita wachaga hao akina susna limo awachangii Tena, hakuna vyama humo wanataka luzuk waingiz ktk account zao unaanbiwa chadema Kama chama hakina account, lisu anasema akipita atatengeneza idara mahasusi yafedha, mwamba kwa sekendo hii ya kusanya ela ya chama na kuweka ktk account yake inabid ajiuzulu fast a nice fisad Kama mafisad wa upande wa pili, ndyo maana msigwa alisema chadema ni taasis ya mwamba mbowe Kisha Anna lips machawa akina been yai, mkulunzinza na cm ni saw wanalinda madaraka yao kwa ghalama yoyote
Chadema fore life
Mh.Mbowe kwa kutunza heshima yake na heshima ya chama akubali kupumzika kwenye nafasi hii amwachie Lissu asogeze guruduma la mabadiliko ktk Taifa
Wachaga baana😂😂😂😂😂
Chadema mtajilaumu, badala ya kufanya chaguxi mapema ili mtumie muda kupambania tume huru ktk uchaguzi wa kitaifa, mtapata wapi muda? Muda huu wenzenu wanajenga mikakati ya kuwatupa kirahisi.
Nenda sikiliza hotuba ya Mbowe ya Mwisho utaelewa ..alisema ni siri za ndani au mnataka niseme hapa..
Nchi hii kiongozi wa uovu kwenye vyama vya siasa ni ccm ndomaana na hivi vyama vya upinzani vinaendeshwa kihuni hivyohivyo
Huyu mnyika naye mchagga tu.
Mm sio chadema lakin namuona mh Lisu ana siri kubwa moyon ambayo ata hajawahi kuwambia wenzake mpaka anaamua kugombea bila woga wowote kuna kitu na inaonyesha kabisa ni mtu mwenye hasira kubwa ndan ya nafsi yake sema ni kifua cha utu uzima anakaa kimya jaman lisu mlimfanya nn jaman🤔🤔
Shida shida sana
Chama Cha wachaga, lisu akipita wachaga hao akina susna limo awachangii Tena, hakuna vyama humo wanataka luzuk waingiz ktk account zao unaanbiwa chadema Kama chama hakina account, lisu anasema akipita atatengeneza idara mahasusi yafedha, mwamba kwa sekendo hii ya kusanya ela ya chama na kuweka ktk account yake inabid ajiuzulu fast a nice fisad Kama mafisad wa upande wa pili, ndyo maana msigwa alisema chadema ni taasis ya mwamba mbowe Kisha Anna lips machawa akina been yai, mkulunzinza na cm ni saw wanalinda madaraka yao kwa ghalama yoyote
Hiii ni game nafikiri inachezwa ..hapa tunza hii sms ..hapa ni lissu ila wanatengeneza hoja tuone wanapambana ..mwisho ni lissu