Q-Chief amliza Shilole kwa Wimbo wa Dini/Shilole amkubali wazi wazi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2019
- ______________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________
Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania.
Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young.
*******************************************
Share, Support, Subscribe!!!
Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
TH-cam: / hzbtv
Twitter: / harakatizabongo
Facebook: / harakatizabongo
Instagram: / harakatizabongo
Google Plus: plus.google.com/+harakatizabongo
Website: harakatibongo.com/
#Qchief #Shilole onlyYou - บันเทิง
Qwewe ni mtu mwingine we ni msanii salute Br.kwa kumtanguliza Mungu na kumshukuru na kumwambia Ahsante.
Shilole okoka mama kumbe una weza ivyo kuabudu mngu akupe maisha maref dada mngu
Q chief mnyama kweli aseeh 💕💕
Nakukubali q chiller
Chillaaaaaaa,,,,,kiukweli iyo gospel umeniguza sana.
Old is Gold always, kaka Q tunakukubali ww wakati wote.
Q Chilla yukoo tuu vizuri sana na sana mpakaa sasa .
Hii nyimbo ya chilla inaitwa aje siijui bado..
Q-chief..mboni ichafukapo.. My ever track..
chilaa fundi 😍😍
Q kaka unajuwa mungu
Wasanii wengi wana fail hapa kwa live band... Q Chilla si the best
Hii ndiyo maana halisi ya Bongo favour...Q ni talented bwana!
Aya bhana mi sina neno sana ila nimeinjoy
shilole analia kwann q chilla anawwkwa nyuma sana wakat anakipaj kuliko wasanii wwng mamluki wa sasa ivi, hata mm bado kidg nlie nkiskia vocal zake alaf tuzo anapewa marioo
Chilaaaaaass wow
Mungu akubariki mkuuuu
daaaah huyu jamaa anajua daaah
Kunawatu wasanii bwana siombwe mbwe kabsa hongera kwako brother Q chila
Waoooh umeuwa brother
Safi sana Q! Mungu ndo kila kitu
Bro Q..Roho yangu imekuoenda Mungu anisaidie ata siku moja nipatane naww..kweli..kuna kitu kitazaliwa..kikubwa..sana BASIL HAPA FRM KENYA
Namkubali shishi kabs
Baba levooo unachekesha saana ulivyo unyoosha mkono kwa shishi 😂😂
😄😄😄😄
Much love from SA....love u guys dah
Amazing Q Chila awesome 🇬🇧 we love you fucking hell you mad me cry 😭 2 si shilole peke epic inshallah Mungu atupenguvu tuzidi Simama inshallah life is to short 🙏💥✨🇬🇧
Ni kwel mshukur mtu kabla hajafa
Q. Chila tulimpendaga Ata baba alimpenda ya shishi anapendwa na watu
Ya chege naye tulimpenda
Mwanawe Q
Chila yule wa ilala amekuwa
Nyimbo ya mungu hiyo nzur nimeipenda kwel angeimba gosper
Waaaaaaaaaoooooooooooooooo kweli hata ss wapangani tu nakumbuka GA mungu
Nice chillah
I miss Chilah! Was my favorite! I used most of his songs to communicate to my girl who is my wife now n thro the songs she really understood how I felt
i realize it's kinda randomly asking but do anyone know of a good website to watch newly released tv shows online?
@Rhett Nash flixportal :P
@Jeffrey Koda Thanks, I signed up and it seems like a nice service :) Appreciate it!
@Rhett Nash Happy to help :D
Penda Sana Dada la madada shsh bby
I love dis song (lawama) 🥰
Jamani huyu kaka Hata mimi namwelewa sanaa
gonga like kwa chilla
hatar iko safiii
Bro bado wewe ni mwanaziki bora kwangu..Njoo upande wa gospel
Love you Q
Dah
Nimependa iyo ndo inavyotakiwa
Mkuu we fundi, nakukubali
Chillaaaaaaaaaa nakuita mara3 I have never been thought if you have that treasure
Nice
Aisee ubarikiwe
Chillah alikamatia show
Ila chila ana Roho nzuri mtu
Nomaaaaa
Mm mcongo nipo USA las Vegas. Ivikwanini usifanye remix yanyimbo zakk? enzihizi nipo songeya
Vipi manfongo shilole ..mbn wajipendekeza kw Q- chiler
Mkuu fanya cover ya only you👐
Amen
you sang that song well...hiii ni ngoma ya nani
walter chilambo
Mi nampendaa baba levo jamaniii
mob love chilla
😭😭😭😭big up dada
Chilla unajua siyo utan
Woyoooooo
Chiiiiiiiiila Boy anatamba mjin too
Kaka nakukubali miaka 1oo
Nawa kubal sana
Q chilla unakwama wapi mpaka wasioweza kuimba wanaonekana wapo juu yako?
Yp
Shishii fire.chillah
More fire
Mm sijawah kumpinga q chilah
Baba Levo..... 😁😁😀😁😁
Shishi baby
Fundi manyumba amefulia kipindi hicho
Uyu msenge angekuwa anaimba din angekua nouma sana
Nimechk kwl ngj nikuje imni ya mungu kdg 👍😂😂😂
Umeshaliwa wew na savimbi tena
Wenzenu wako usa nyie hapo moroco aya .
😢
Shishi
Chila mjuajo
Duuuuuh
Q chilla mung amuzikishie...
Q chilla hakuna kama wewe sasa no wakati wako kumuimbia Mungu aliyehai!Hongera!
😢😢😢😢
Pigeni concenti
Chilla njoo umuimbie MUNGU
Waooooo anti shishi
Mtu kama ameona TID sir agonge like
Ham chl
Washeni camera
Nafurahi sana kila ninaposikia sauti ya brother @QCHILA anaimba vizuri sauti mashairi mazuri video nzuri Mimi namkubali sana 👑👑👑 muda mwingne najiuliza basata wanafeli wapi kuwa na watu kama q chila t.I.d fid q. ..nk.. nakubali brother 🙏🙏🙏🙏 kma kuna mtu anabisha piga 0620824016 /0689660773
n baraa
Uko wap chila
Yan hcho kipande chako tu kmentoa machozi Sana mno yan kaka
Huu mwimbo nitaupata vp
Nasema hiviii hakuna msanii tz zaid ya chila tangu naijua bongo freva respect chila
Wewe ni fundi miaka 80000
Weee chilaaaa
chila fundi
Nataaman Walter chilambo angekuwepo
Thats Why Konde Boy alikukubali na anazidi kukubali Q Chilla
Shilole English lady
QL imba gospel kaka
Chilah utaua
Daaaaaaaa. Chila, Mungu ameweka kitu kikubwaaaaa ndani yako. Soon kinakuja kuonekana. Umenikosha sana huo wimbo wa Gospel. Mungu aendelee kukubariki
Mchungaji Q chila kafanya maombi kwa shishi hahahaaa
Dah qchila wewe gniaz mzeee nahisi kulia kabisa
Duuu umeniliza kaka
Vipi manfongo shilole ..mbn wajipendekeza kw Q- chiler
Amen