BINTI WA KINYARWANDA MARIA ASLIMU NA KUWA MUISLAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 257

  • @aminamohamed9955
    @aminamohamed9955 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana maliam kila nikaangaliaga itavyuu zako huu nalia pole nakuombea du allaha awe na ww maliam mm Nina mitihani Ila tunaziada my pole Sana ukipata pesa jalibu kununua kiwanja Ila upate hata vyumba viwili kk ako unge mnunulia taroli akauza hata maji itawasaidia Jaman pole au matunda yanalipa kma ukipata sehem nzuri jaman

  • @sophiaabdalla6599
    @sophiaabdalla6599 4 ปีที่แล้ว +1

    Takbir allahu akbar hongera my dear nafurahi kukuona u aendelea vzuri .nakushauri ukijifunguwa mtt wa kiume awe mwajina wake zahir..pigaa kelele kwa anko zahir kwa mrejesho wa ni Mariam..

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashalla Maria mungu akuongeze Imani ya Dini yako ya kislam nimefurahi naomba umsamehe mzazi wako ambae nibaba yako

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 4 ปีที่แล้ว +21

    Mariam mpendwa mwenyezi Mungu akusaidie ujifungue salama, nimefurahi kusikia umekua muislam Alhamndulilahi kheri kubwa, nimefurahi sana jitahid kuswali

    • @fatumamgaza1602
      @fatumamgaza1602 4 ปีที่แล้ว +3

      Ukizaa wakiume zahir wakike mpejina layule mamaako alie kuokoakwenyeshimo

  • @asiaseif7229
    @asiaseif7229 4 ปีที่แล้ว +7

    Zahir Allah akubariki hadi ushangae,ww ni muokozi wa wanyonge,media ziko nyingi lakini hii ni best,barikiwa sana bro.

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว +12

    Woyooooooo 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️mama kijacho nimefurahi kukuona Tena, Allah azidi kukupa nguvu na subra

    • @surujajwie4768
      @surujajwie4768 4 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Allah hamtpi mja wake pole sana na hongera umeteseka saaàaaan

  • @balozibalozi4483
    @balozibalozi4483 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah upo kwenye dini ya khaki mungu akuongoze! Usiache ibada

  • @cute_amina_princess3360
    @cute_amina_princess3360 4 ปีที่แล้ว +1

    Mamy vibaya sana mwanamke kuagukia kiuno ukiwa na mimba Allah kareem mama Rahiima Au farhaty

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 4 ปีที่แล้ว +21

    Ushauri kwa mariam usifanye ufahar kununua vitu vya ndan tunza pesa angalau utafute kiwanja utasaidiwa kujenga angalau vyumba 2 na sebule ufungue na kibiashara misaada huwa inaisha wenye uitaji ni wengi samahan kama nimeeleweka vibaya

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 4 ปีที่แล้ว +11

    Mashaallaah mwenyezi mungu akujalie ujifungue salama mariam lnshaallah

  • @shamzone388
    @shamzone388 4 ปีที่แล้ว +1

    Maria pia ni jina la kiislam lakini tulikuwa hatujui ...mabrook habibty nimekupenda sana sa kwa ajil ya allah

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +17

    Ndani kwake pamependeza jmn..hongereni sana WTZ kwa mchango wenu na Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @saumsiraji9870
    @saumsiraji9870 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ujifungue salama maisha yatakuendea vzr2

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +2

    Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Takbir Allah Akbar. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah. Masha Allah. Mungu akuogeze katika Dini ya haki. Wasikuzuzue kuolewa ni nusu ya dini Kwaiyo dadangu muombe Allah atakupa MUME bora. Usiolewe na mwanaume unayemfahamu bali ulewa na MUME unaemjuwa. Alhamdulillah 💕💕😘😍

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah Akbar Mashaallah dada yng Allah azid kukuongoza n akujaalie ujifungue salam hubibty.Bila kukusahau Zahir tunakupenda sana kwaajili ya Allah Mungu akuongoze na akulinde n shari kila hatua upigayo Zahir.

  • @drrahaburubago6303
    @drrahaburubago6303 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dada kwa hapo ulipo fika, mshukuru Mungu sana. Kaka zahir Mungu atakulipa.

  • @misfatima8953
    @misfatima8953 4 ปีที่แล้ว +9

    Takbrii Allahuh akbar ma sha Allah ma sha Allah Allah akuongozee daa kimezidii kunawirii

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahu akbar...karibu katika dini ya haqi kipenzi changu..Allah akuongoze usirudi nyuma.

  • @mamayao9816
    @mamayao9816 4 ปีที่แล้ว +2

    Ma Sha Allah umenawiri Dada karibu kwa dini ya haki fanya bidi usome Quran na salaa usiwache in Sha Allah mambo yatakua kheri mshukuru Allah sana

  • @naythardarling1115
    @naythardarling1115 4 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleykum katika uislam kuna kitu Kusameheana mariamu ebu rudisha moyo nyuma mama samehe kuna watu waliopitia matatizo hayo yako cha mtt dear ila wanasamehe xio watu tuu hata mm nilitelekezwa na mule wng mtt wng akiwa na umri wa mwaka na mienz 4 akawa c mtu wa huduma yy ni starehe tuu nilichukia xn ila uwez amini September hii tareh 14 amenifata mtt akiwa na miaka 5 ndo ameanzq kutoa huduma na adai nirud kwanza nimefurahi kajua makosa yake pili nimefurahi mwanangu kumuona baba yake mengine nitajiongeza mwenyewe hata nikirud kwan wanaume wote wna matendo sawa kuna msemo unaosema mbwa ukimjuajina akupi shida Inshaallah nakuombe kwa allah ujifungue salama salmin 🤲

  • @salehkhalfan1473
    @salehkhalfan1473 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah dd yetu mwenyezimungu akupe afanjema na ujifunguwe salama kk zahiri mungu akupe afya njema na maisha marefu zahiri tunaomba mrejesho wayule dd yetu mariyam Juma mumewe aliemdai kinyume na maumbile

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah hakujilie hujifunguwe salam humependeza mariam mashaallah jitahidi kuswali mdogo wng 🙏🙏🙏

  • @rizikimustapha3806
    @rizikimustapha3806 4 ปีที่แล้ว +11

    MA SHAA ALLAH ALLAH AKUONGOZE NAKUJALIE WEPES UJIFUNGUWE SALAMA IN SHAA ALLAH

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongera Maryam umependeza hkk Allah awe kimbilio lako

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 4 ปีที่แล้ว

      mashallah Allah akubaliki katika uislam wako na mungu akujalie ujifungue salama amin inshallah

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว

      Ameen yaraab alamiin

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mariam huyo mtangazaji mchukulie Kama ndugu wa dam tunazidi kukuombea Allah akufanyie wepes udumu na Ibada site tumche Allah

  • @ilumohamed246
    @ilumohamed246 4 ปีที่แล้ว +19

    Ma sha Allah karibu kwenye dini ya haki nimefurahi sana Mariam

    • @salehalbasam41
      @salehalbasam41 4 ปีที่แล้ว

      Kwn kuna dini isiyo haki

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 4 ปีที่แล้ว

      Ilu wewe Mwambie tu jambo lolote mtu kubadili dini ni uwamzi wa mtu mwenyewe pia tambua umu tupo dini 2 na wote tunashilikiana kwa Upendo ila usiseme enti kaingia kwenye dini ya haki hapo unamanisha dini aliyozaliwa nayo siyo haki Kuweni na kauli zuli siku ya mwisho Mungu anaangalia mtu matendendo yako uliyotenda ulipokuwa hai zingatieni maneno ya kuongea

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 4 ปีที่แล้ว +1

      Rashid acheni hayo hayo Maneno yenu ni yeye mwenyewe na uwamzi wake mtu yoyote na ndio maana hata watu huishi dini tofauti msitafute maneno yasiyokuwa ya msingi umu tumekutana wote familiya moja katika Maisha yangu sipendi kumzumzia kuhusu dini hasa ukijuwa ukifa Mungu haangalii enti we dini gani anaangalia Matendo yako uliyoyatenda ukiwa hai kutenda Mema utaenda pepon ukitenda mabaya utaenda motoni somoni vutabu vya Mungu ili mjuwe msiongeeongee tu

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 ปีที่แล้ว +2

      Ni QURAN ndivyo inavyo sema niandiko liko kwenye QURAN kua,DINI YA HAKHI MBELE YA MWENYEZI MUNGU NI UISLAM, msitokwe na povu

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 ปีที่แล้ว

      Sasa kuolewa kubaya jmni

  • @aminamohamedy8466
    @aminamohamedy8466 4 ปีที่แล้ว +11

    Manshaallah Allah akujaalie ujifungue salama

  • @agnesgervas8070
    @agnesgervas8070 4 ปีที่แล้ว +1

    Waoooh mama kijacho mungu akulinde utuletee mtoto jamn myb atakuw kiongoz wa badae

  • @hamisaally3001
    @hamisaally3001 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera saana .M. Mungu atakujaria utajifungua Salama.

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah mungu atujalie ujifungue salaama amina

  • @aishahassan4142
    @aishahassan4142 4 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah, Allah akufanyie wepesi dadaangu zidisha kufanya ibada kila kitu kitaenda sawa, kingine usikurupuke kuolewa haraka muombe mungu akujaalie mume sahihi kwako

  • @abdulhamidhaji5056
    @abdulhamidhaji5056 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa kuifuata dini sahihi katika maisha yako.
    Allah akujaaliye umpate mume mwema.

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 4 ปีที่แล้ว +2

    M/mungu akufanyie wepesi ujifunguwe salama

  • @habihabiba9882
    @habihabiba9882 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana😍😍😍

  • @jastinesamboto4674
    @jastinesamboto4674 4 ปีที่แล้ว

    Zahir hongera broo hakuna changamoto isokuwa na mlango wa kutokea, hata ww una kheri kubwa sana ila usibweteke kazi yako nzuri sana ina kibali kwa mwenyezi Mungu ndio mafanikio ni makubwa kwa wahanga

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 ปีที่แล้ว +1

    Karibu ndugu yangu ktk Dini Dini yetu. Allah akuwezeshe aendelee kuwepo ktk mema.

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 ปีที่แล้ว +2

    Allahu akbar
    Allah akuongoze duniani na akhera
    Kweli huwezi kuolewa km mnyamzito ktk dini ya kiislaam..tena kuna sababu muhimu na ilimu kubwa kuhusu afya ila nimesahau siwezi kuwafafanulia ikiwa mtataka kujua ulizeni masheikh hili sual mtajua

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana maryam allah akufunguwe salama usalimini amiina🙏🙏🙏

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Mungu akuzidishie kila
    Kheri na baraka

  • @mwajumaselemani4126
    @mwajumaselemani4126 2 ปีที่แล้ว

    Mimi.ningepekeza.umuoe.wwe.maana.umemsaidia.sana.mpaka.sasa..mungu.akuzidishie.namalaikha.waheri.wakutangulie.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalah nimependa Dada mungu akusimamie

  • @salhaabdallah3528
    @salhaabdallah3528 4 ปีที่แล้ว +5

    maashaallah maryam mungu akufanyie wepesi ktk maisha yako

  • @edyhasan9071
    @edyhasan9071 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Allah akujalie uwesi ktk maisha yako

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 ปีที่แล้ว +4

    Mm nakuombeya mungu ukizaa mtoto wa kiume aitwe zahir wakike aitwe jina la mke wa zahir kama anamke Inshaallwaa

    • @najmaharoub280
      @najmaharoub280 4 ปีที่แล้ว +1

      Kama hajaowa zahir mtoto aitwe jina la mama zahir coz ndio alomlea zahir mpka akafika hpo na tabia njema hzo alonazo

  • @shamilamuhamedi7904
    @shamilamuhamedi7904 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah😍😍

  • @borryab00
    @borryab00 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyzi mungu akujaalie ujifungue salama In Sha Allah

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 4 ปีที่แล้ว

    Hongera dada yangu mola akujaalie kila la kheri na akulinde na mazito yarab akujaalie kizazi chema yarab

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 4 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah karibu sana dadangu Allah akuongoze karibu sana katika din ya hakuji ma shaa Allah nimefurah sanaaaaaaaa

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 ปีที่แล้ว

    Maashaallwaa maashaallwaa siyo mariya tena ww ni Mariyamu alihamdulilaahi mungu mkubwa akuongoze kwenye ndani

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว

    Allha akupemwisho mwema

  • @mohamedmohdy6555
    @mohamedmohdy6555 4 ปีที่แล้ว

    Takbirrr Allahu Akbar maashaallah allah akuongoze Mariam

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli dadangu tuliya kwanza ujifunguwe salama mwanzo alafu ukae na mtoto wako mwanzo akuwe alafu tafuta biyashara yoyote upate pesa japo kidogo ndo urikiriye ndowa mana waume nao siku hizi c watu

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 ปีที่แล้ว +3

    Am so so happy 4 you my sister allahu akbar krbu kwenye dini ya haki my sister, tabaraka llah mungu akufungulie kwa kila zito akufanyie wepesi

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 ปีที่แล้ว

    Wow.🙏🙏🙏🙏

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 ปีที่แล้ว

    Takbiiir .....mung akuzdishie Iman

  • @tatotato506
    @tatotato506 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallha khabibbt mungu atazidikukusimamia

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 ปีที่แล้ว

    Maria nakuomba dadangu mdogo,husije ukadanganywa Tena na mtu yeyote ule,tena madungu zako watakudharau tena sana. Kumbuka ulioyo yapitia na hawa wanaume tu,zaa ulee mtoto wako na vipi utakapo anza kujisimamia kimaisha kwani ss hivi we ni kioo na mama was hao ndugu zako.Tafadhali Maria nakuomba na kukusihi husiolewe ss hivi,Hawa wanaume wanakutaka tu cz wanataka kukutumia tena jiulize walikua wapi wakati Zahir alikusaidia ukapata msaada,hao sio watu wazuri Maria,jikinge sana kiukweli. ishi maisha yako kwanxa plz an plz🌞🙏

  • @rinaalbaloushi2981
    @rinaalbaloushi2981 4 ปีที่แล้ว +20

    Akiwa wa. Kiume mpe jina la zahir

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah akujalie maisha mema mzr san bint MashaAllah

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah dada nakuombea ujifungue salama na unyonge sahii umekutoka dada shavu hilo

  • @samirahassan3212
    @samirahassan3212 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama yesu nimungu kwanini alipo wekwa msarabani bona alisema mungu wangu munguwanu mbona umeniacha haya mungu yupi huyotena nayy ndie mungu hapainahitaji kichwa kiwe kinaubongo safi

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 ปีที่แล้ว

    Takbili allhahu akbalu

  • @mwanakhamiskhamis3115
    @mwanakhamiskhamis3115 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaa mamy kwa hapo ulipofikia hakika upo ktk Njia sahihi

  • @sweetchowdhury1155
    @sweetchowdhury1155 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah habibty nafrah kukuona uko na furaha

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akikujaalia mtt wa kiume umuite zahir abdalla inshaAllah

  • @edyhasan9071
    @edyhasan9071 4 ปีที่แล้ว

    Ilaa mimi nitakuja kumuimba mungu inshaa Allah nije nikuoeee kisha uje uishi zanzibar

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akbaru MashaAllah nimekupend sn zaid kukusikiya ivo mamy wangu Allah akujalie umri mrefu wenyemafanikiyo namwisho mwema nahare

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 4 ปีที่แล้ว

    Allah akujaalie ujifungue salama nimekupenda Sana kusilimu Allah atakupatia mume Bora yaliyopita yamepita

  • @mussamlewa2178
    @mussamlewa2178 4 ปีที่แล้ว +1

    ماشاءالله

  • @ashahaji6786
    @ashahaji6786 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah azidi kumuongoza yy pamoja na sisi

  • @pilimsangeni8668
    @pilimsangeni8668 4 ปีที่แล้ว +13

    Allah azid kukuongoza kpnz na akufanyie wepes ktk mambo yako

  • @Amina-bq2xe
    @Amina-bq2xe 4 ปีที่แล้ว

    Takbir Alahu Akbar, Allaah akujalie kheri

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว

    Pongezi kwa kusilimu. Allah ndiye Muumbaji na yeye pekee ndiye mwenye uwezo wa kukujaalia kila kheri. Kusilimu ni kwa kutamka SHAHADA. aliyekwambia ni mara tatu sio hivyo. Weww kweli ni muungwana hutaki kuolewa kwa kuwa kuna majukumu. Waislamu tunaofahamu mafundisho ya Allah tunakupenda na kukuombea Allah akujaalie kila kheir.

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 4 ปีที่แล้ว

    Mash'Allah 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
    Nimepitwa!

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah azidi kukupa moyo huo huo uswali dadangu ndio kilichobaki wanadamu sisis

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah khery mashaallah

  • @fodomullahmajid204
    @fodomullahmajid204 4 ปีที่แล้ว

    Rembo mariam mashallah

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 4 ปีที่แล้ว +2

    Insha Allah akiwa wakiume muite zahir

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 ปีที่แล้ว

    @Kenya.

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah...

  • @azizasayi97
    @azizasayi97 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuzidishie mamy

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna Dini ya kiarabu hii ni Dini ya Kiislam Bali sio ya kiarabu sw Ila Allah atakupa wepesi wakika Hali in shaa Allah

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 4 ปีที่แล้ว

      Dini ya watu wote hata bilal bin rabah ni muafrica lakini alichaguliwa na mtume saw kupanda juu kutoa mwadhana wa kwanza allahu akbar( mmungu mkubwa)

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 ปีที่แล้ว

      Hata isa alikuaa si kwa wazungu mzungu muingreza hana na bee isa alimuabudu mmungu na kumtangaza yupo mmungu wa pekee ila mayahudi hawajamuamini wana esrael walimuua kwa kumsulubu ila mmungu alimpaisha kwake jurasalem iko ardhi ya warabu mmungu aliwani wana esrael kwa kukufuru na kumpinga mtume isa bin mariam

  • @zabiyafahmikhamis4873
    @zabiyafahmikhamis4873 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah amuongoze kwa kila hatuwa anayo pitia

  • @hadijakabona955
    @hadijakabona955 4 ปีที่แล้ว

    Allha akufanyie wepesi mariam nimefrh kukuona Tena

  • @mwanaharusimakamba2183
    @mwanaharusimakamba2183 4 ปีที่แล้ว

    Allah akbar

  • @ramlamburi9743
    @ramlamburi9743 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @asia1124
    @asia1124 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Mashallah

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 4 ปีที่แล้ว

    Hongera love

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kuwa islam habbity Masha Allah nmependa

  • @fodomullahmajid204
    @fodomullahmajid204 4 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 4 ปีที่แล้ว +1

    hongera kwa kusilim Alhamdullillah

  • @samirahassan3212
    @samirahassan3212 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kuinngia kwenyedini yahaki dini waliokufanayo mitume wote mpaka yesu aka issa maana namm nilikuwa mkst nilisilim nanikasoma nikajuwa ukirist nibiashara yawazungu

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 4 ปีที่แล้ว

      Alafu uislam ni biashara ya waarabu

    • @samirahassan3212
      @samirahassan3212 4 ปีที่แล้ว

      Mtume alikuwa nimwarabu unashangaa nn ? yesu kabira lake ni myahudi nawayahudi siomzungu haya haowazungu wameibeba vipi nasio wayahudi

    • @samirahassan3212
      @samirahassan3212 4 ปีที่แล้ว

      @@agathathobias8690 aghata nakushauli mm wazaziwangu wote wakilist usifate famiri uisiram ndio dini waliokujanayo mitumewoto ukifa birayakuwa mwisiram moto unakuhusu samahani kamautakeleka ukisilim naukasoma utajuwa ulikuwa unapoteza mda tu kukaa huko

    • @samirahassan3212
      @samirahassan3212 4 ปีที่แล้ว +1

      @@agathathobias8690 mwenyezi mg kasema kwenye kuruani nanikakujarieni uislam iwedini yenu sasa muulize padri au mchungaji yeyote kweny bbria limoneno linasema ukilisto nidini hakuna hatapahari palipoandikwa ukilisto nidini

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 4 ปีที่แล้ว

      @@agathathobias8690 huyo isa ni wa wapi kama sio bara la asia na warabu sio palestina ni kwa wazungu ama ni someni mujue dini ya ukweli wazungu waliba mitume wa mmungu wote kuwa ni wao kama ibrahim abraham ibrahim ndio mzungu. ni muirag je wairag ni nani ? Cc tunamini injili taurat na zbur ya ukweli si ya wazungu hakuna na bee alie toka kwao ,ndiyo hivyo na ibrahim ndio kizazi chake mtume muhamad (saw)

  • @leilabuisha9976
    @leilabuisha9976 4 ปีที่แล้ว

    Utapo kwenda kujifungua dadaa ukawe maakini lea sababu watoto wana ibiwa huko hospital na pia wanawa badilisha watoto. Zahir na kuomba umsaidie sana huyu binti wetu maskini hana family

  • @sssaminasaidaaamashaalah3291
    @sssaminasaidaaamashaalah3291 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah nimefurahi kwanz kusikia umesilimu jmn haya jitahidi kuomba mungu sanaaa ibada zisikupite lnsha allah kaka rahir utaturudishia katto ketu tukaone maana wengin tuko mbali ningekua tz ningekuja kkaona💕💕💕💕💕 sijui ndo kabi fatume😂😂😂bs ninavyo furahi utafikiri kangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah Dada yetu mariamu allah akuongoze

  • @hshsh3302
    @hshsh3302 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah hongera sana my kwa kuslim

  • @aminaramadan184
    @aminaramadan184 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah hongera sana

  • @nurumanyanga3022
    @nurumanyanga3022 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah!!! Mama kija umependeza sana

  • @zahramohd527
    @zahramohd527 4 ปีที่แล้ว

    Sihaba
    Hakika mwenyezi Mungu mkubwa

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada mpole jmn