Rose Muhando Afunguka kuhusu tuzo za Annoint Essau, huduma yake na uhalali wa yeye kuwa mama yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @josedaud5676
    @josedaud5676 7 ปีที่แล้ว +1

    Mimi binafsi nampenda Rose Mhando kwa uimbaji wake zaidi sana Rose azidi kusonga mbele nyimbo zake zanifanya nitoke hatua Fulani kwenda hatua nyingine.

  • @stecybeib8030
    @stecybeib8030 7 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubari rose twakupenda sana kwa kazi yako

  • @asaphtwongirwe8827
    @asaphtwongirwe8827 7 ปีที่แล้ว

    yahaki mimi Ninapenda Nyimbo zako Rose Asante Sana

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 ปีที่แล้ว +1

    mama mzuri matunda mema👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 ปีที่แล้ว

    hata ukiwauliza unataka pesa au baraka wote watasema pesa.ila casine obote atasema nipe baraka mungu wangu niwabariki wengine🙌🙌🙌🙌🙌🙌 halleluyaaaaaaaaaaa

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 ปีที่แล้ว +3

    kila mtz ana machungu ni damu ya caini awe mkristo mashetani mtu kawaida wote same same.ila mtu mmoja tyu alikuwa tofauti yao wote.mtupu ndani ya damu ya machungu mungu awainuwe.mkiona mtu akiinukiwa mnahara mavi.😞😞😞😞😞😞😞😞😞😞😞😞😞mna vipaji vya kuimba lakini hamna mwito kutoka kwa mungu🙌🙌🙌🙌mtabaki tyu hapa chini na nyimbo zenyu wenzenyu wakitumia kupanda juu na kuinuliwa.u get money from ur songs but u don't get blessings of God. heri mungu aninyime pesa lakini anipe baraka🙌🙌🙌🙌🙌 😞😞😞😞😞😞😞😞😞😞😞

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 ปีที่แล้ว +1

    acha machungu rose una machungu hata kwa nyimbo zako machungu ndani .penda huyo mtoto🙋

  • @joycemassaba3646
    @joycemassaba3646 7 ปีที่แล้ว +2

    ROSE ANNOINT HATAFT KIKI AMELETWA NA YESU KWA KUSUDI. UKISEMA KK UTAKUFURU MBARIKI TU

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 ปีที่แล้ว

    huyu sio Rose

  • @pastor_bedondickson
    @pastor_bedondickson 7 ปีที่แล้ว +1

    Watu walitamani sana kusikia Kutoka kwa Rose.
    mtangazaji unachukua muda mwingi kuongea wewe

  • @malifesa.
    @malifesa. 7 ปีที่แล้ว

    presenter jifunze kuinterview vizuri kama huwezi tafuteni presenter interview is not well organized #GOSPOTV