Mrembo Barbiemia amwaga machozi "Nikikupa viatu vyangu huwezi kuvivaa"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @maryamdunga3896
    @maryamdunga3896 4 ปีที่แล้ว +11

    Huyu mtoto namuelewa maumivu anayopitia haya maisha anayoishi so maisha yake ila inabidi aishi ili aokowe family tunatafautiana njia zakuokowa family zetu

  • @clementinaedward6323
    @clementinaedward6323 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaan ukiambiwa nmesoma nae darasa moja huwez amini 😁😁kumbe ulikuwa unakuja kuwa hv 🥱

  • @mbwarapatz1549
    @mbwarapatz1549 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwamtu anae jua maisha anaelewa nin anamaanisha kama hujaelewa kaakmya weunapo kula ugari dagaa kuna mwingne anakosa kabsa hata harufu

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 2 ปีที่แล้ว

    Pombe mbaya sana😁😁😁😁

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 ปีที่แล้ว +2

    M binafs swez kuvaa kiat chako kwakwel hakinitoshi my dear

  • @immanuelblandina4415
    @immanuelblandina4415 3 ปีที่แล้ว

    Kwan we unaishije?

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 3 ปีที่แล้ว +2

    Kimalaya cha bigwaa🤣🤣🤣

  • @esterkilolo9313
    @esterkilolo9313 3 ปีที่แล้ว

    Miaaa

  • @fettyallyfettyally7485
    @fettyallyfettyally7485 3 ปีที่แล้ว +3

    Mweny akili kuna vitu vizito vipo nyuma yke bt anyway sorry

    • @shadyfany
      @shadyfany 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

  • @catherineneema8077
    @catherineneema8077 4 ปีที่แล้ว

    Jamani nyiye watowa povuu mbavu zangu miyeee 🤣😂

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nini unalia 😂😂😂😂😂😂😂ila pole

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @winnermariah
    @winnermariah 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Atakuwa Alivuta BANGI kwanza, ndo Akaanza Kuhojiwa

  • @daynesalex2944
    @daynesalex2944 4 ปีที่แล้ว +1

    Kinacho mliza nn nyege au 😂 😂 embu atutolee kiwingu hp

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂nyie wat jamn

  • @asiaisaka2898
    @asiaisaka2898 4 ปีที่แล้ว

    Bongo Kuna vituko sana🤣🤣🤣🤣

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂et machoz ya furaha

  • @rakseat8874
    @rakseat8874 3 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @maombiromaine1423
    @maombiromaine1423 4 ปีที่แล้ว

    Srry yako

  • @latifahissa1114
    @latifahissa1114 4 ปีที่แล้ว +1

    Makubwa ya mzee jongo 🙄

  • @dottocharles1636
    @dottocharles1636 3 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea ujinga tu .ukisikiliza maneno hayaeleweki

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 3 ปีที่แล้ว

    😅😅😅🤣

  • @mbwarapatz1549
    @mbwarapatz1549 4 ปีที่แล้ว

    Nmekuelewa dogo lake pamoja

  • @farajalaizer4669
    @farajalaizer4669 4 ปีที่แล้ว +1

    Waste

    • @nancyharun881
      @nancyharun881 3 ปีที่แล้ว

      Pole baby

    • @zuhurazuhura6336
      @zuhurazuhura6336 3 ปีที่แล้ว +2

      Mimi nampenda sana huyu bint kanafanana na wema👍

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 ปีที่แล้ว

    Akuna kuvaa kiatu chako pumbavu umemuasi mamako.utapata tabu sana mbele