YANGA YAMPA KICHOMI WILSON ORUMA, AIKINGIA KIFUA, AISIFIA YANGA DAY, CAF WENYEWE WAJIFUNZE KWAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @jekoniarubeni4609
    @jekoniarubeni4609 2 หลายเดือนก่อน

    Ilikuwa simba na as vita club ya congo na sio nkana

  • @ezekiellukamya
    @ezekiellukamya 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada mbea

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga wajanjaaa, wanaitengenezea misingi tanzania ili ikiwavutia CAF basi afcon ufunguz na fainali zifanyike TZ badala ya kenya au uganda

  • @Tabibuibrahimu
    @Tabibuibrahimu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Oruma lazima aweke kauchuki flani juu ya Yanga

  • @rizyoneboffi3662
    @rizyoneboffi3662 2 หลายเดือนก่อน

    Aya waambie na hao makolo wenu wajifunze kwa engineer kuhusu kusajili mbona hamsemi

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani Simba aliomba ufunguzi wa Afl muwe weledi

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 2 หลายเดือนก่อน

    Hili Gombe na huyu dada zuzu anachekacheka kama mwehu

  • @rizyoneboffi3662
    @rizyoneboffi3662 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe na ww kidada kinafki nilikuwa sijakujua

  • @rizyoneboffi3662
    @rizyoneboffi3662 2 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa kukikaushia tu kakipindi chao wana yanga wenzangu kuliko kualibu bando letu kwa wanafki

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga hawaigi Bali wanaanzisha kitu kipya

  • @RebeccaAndrew-dd4kj
    @RebeccaAndrew-dd4kj 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada mtangazaji ni Simba wanaumia

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

    Hik kipindi kinaitwaje????

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 2 หลายเดือนก่อน

    Oruma kichwa maji unaombaje kuwa mfunguzi

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 2 หลายเดือนก่อน

    Magaidi nyie...

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada wa makolo, maswali yake yakibwegebwege wajae wasijae haikuhusu, fitna wee