Fanya Haya Chumbani Kwako Kabla Mmeo Hajaingia Atapagawa Aisee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Kuwa mbunifu kwenye chumba chako,fanya mambo haya uongeze furaha na upendo kwa mwenza wako

ความคิดเห็น • 102

  • @user-lz9cm9rl1n
    @user-lz9cm9rl1n 9 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee nimeipenda iyo Asante Kwa darasa

    • @Zetuflix
      @Zetuflix  9 หลายเดือนก่อน

      Karibu

  • @user-up7lr3fe5j
    @user-up7lr3fe5j 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka

  • @thuwaibajuma5098
    @thuwaibajuma5098 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamni nimependa sana

  • @aminaedin7452
    @aminaedin7452 3 หลายเดือนก่อน

    Thank you

  • @yusramwinjuma4721
    @yusramwinjuma4721 4 ปีที่แล้ว +7

    Jaman nimekipenda hiki kipindi sijui.nimechelewa wapi😂

  • @user-or9vh1pz3r
    @user-or9vh1pz3r 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante ndg

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 4 ปีที่แล้ว +5

    Inshaallah nitakuwa hivyo

  • @aminamwalimu8458
    @aminamwalimu8458 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwanaume ata umfnye vpi akiwa anakuona ovyo au labdha sio wa maana kwake bs jua Fadhila zako kwake nisawa n kumfadhili mbuzi mara mia kuliko binadamu .

    • @Zetuflix
      @Zetuflix  4 ปีที่แล้ว +2

      Nikweli kama alikutamani hajakupenda hata ukate mauno la feni ataenda kwamchepuko tuuu, kikubwa upate anaekupenda lwa dhati

    • @janetandisi47
      @janetandisi47 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa dada

  • @nillyemanuel1012
    @nillyemanuel1012 2 ปีที่แล้ว

    Mkn sanaa

  • @zinbormdan9813
    @zinbormdan9813 4 ปีที่แล้ว +3

    Good mr.

  • @doricasmsingi565
    @doricasmsingi565 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa jamani

  • @elizabethmichael5253
    @elizabethmichael5253 ปีที่แล้ว +1

    💓💓💓💓💓

  • @ashuraally9064
    @ashuraally9064 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah pambeee

  • @binthawa2973
    @binthawa2973 4 ปีที่แล้ว +7

    Nice

  • @mariammussa2540
    @mariammussa2540 4 ปีที่แล้ว +5

    Shukran sana👏

  • @wassunichannel1129
    @wassunichannel1129 4 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri 😗😗😗

  • @arabiajuma8359
    @arabiajuma8359 4 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa somo kaka

  • @mboniyangu6598
    @mboniyangu6598 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa somo

    • @khadijamohd71
      @khadijamohd71 4 ปีที่แล้ว +1

      Dah somo zur kwa wale wachfu

  • @user-ci2fc9xw2g
    @user-ci2fc9xw2g 10 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @nduwimanavovobi8433
    @nduwimanavovobi8433 4 ปีที่แล้ว +5

    asante sana kwa mafunzo mazuri

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @asmahassan7570
    @asmahassan7570 3 ปีที่แล้ว

    Napend sn mafundish yko

  • @alirama448
    @alirama448 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakusikia wasikie kweli maana mapenzi ayaji eti niju ww mzuri apanaaa akuna mtu ambae hana kasoro kila mtu anako kasoro fanya kitu kielewekee kabsa kipindi hichi nakisikia tu haaa nishaanza ata kuyafanyaa sasa ivi maana ukisikia kitu kinach faa lazma ukifanyie bid

  • @hanifamaulid3634
    @hanifamaulid3634 2 ปีที่แล้ว

    Wangu hapendi udi jmn

  • @user-sb6oi4ix3m
    @user-sb6oi4ix3m 4 ปีที่แล้ว +6

    Hayo yote 9 lakumi nihili😀, nyumba yenyewe ni ya udongo hata dari haina, huo udi utakaa wapi😀😀😀.

    • @hadijasalum6373
      @hadijasalum6373 4 ปีที่แล้ว

      Hayo mango mbona haayahusiani na aina ya nyumba? Kwahiyo utaishi umchafu eti kwa vile nyumba yangu sio ya kisasa?

    • @Zetuflix
      @Zetuflix  4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaa,weka humo humo

    • @uwangabechantal5301
      @uwangabechantal5301 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rahemarehema1490
      @rahemarehema1490 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaaaa mbav zangu

    • @sherrysalim50
      @sherrysalim50 4 ปีที่แล้ว

      Weka tu 😂🤣🤣🤣🤣

  • @leahisraeli8713
    @leahisraeli8713 4 ปีที่แล้ว +1

    ILa kunawanawake wachafuuuu daaaha waelimishe wanawake wengi hawajitambui

  • @pilitumba9090
    @pilitumba9090 3 ปีที่แล้ว

    Iko poa iyòo

  • @letscookwithalice4659
    @letscookwithalice4659 4 ปีที่แล้ว +1

    Asnate

  • @salmaabdallah3648
    @salmaabdallah3648 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelwa kaka

  • @rabiaathuman5865
    @rabiaathuman5865 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante

  • @WidaadSuleiman
    @WidaadSuleiman 4 หลายเดือนก่อน

    Mambo kk, Kaka naomba san niunge kweny group lako la whatsapp n me naitaji kujifunzaa

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 4 ปีที่แล้ว

    Topic waah

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa 💞💞💞

  • @rukiamusickadzo8033
    @rukiamusickadzo8033 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @estermsihi3891
    @estermsihi3891 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli

  • @nadiyakisho2178
    @nadiyakisho2178 4 ปีที่แล้ว +12

    navipesa navyo vya kufanya chumba kidamshi ndo tatizo ukitak shuka zuri mapambo ya chumba ni pesa ila usaf ni lazima

    • @gonjadunus8000
      @gonjadunus8000 4 ปีที่แล้ว

      Nadiya Kisho jifanyie kibiashara Dear itakaa poa sana utafanya vitu vingi kwa weledi mzuri

    • @nadiyakisho2178
      @nadiyakisho2178 4 ปีที่แล้ว

      Gonja Dunus napenda sn lkn nimekatazwa kufanya biashar kabisa yan

    • @gonjadunus8000
      @gonjadunus8000 4 ปีที่แล้ว

      Nadiya Kisho 😢😢😢

    • @gonjadunus8000
      @gonjadunus8000 4 ปีที่แล้ว

      Nadiya Kisho ila si anakuhudumia vizuri??

    • @nadiyakisho2178
      @nadiyakisho2178 4 ปีที่แล้ว

      Gonja Dunus ni kweli lkn mm pia Nina mzazi inaman akiwa na shida mpak nianze ten kuomba

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 4 ปีที่แล้ว +10

    Tatizo pesa kaka 😂😂😂😂

    • @ummulhussainshaheed9446
      @ummulhussainshaheed9446 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli khadija pesa ndio kila kitu hamna anayependa nongo,

    • @aminachalse8753
      @aminachalse8753 4 ปีที่แล้ว

      Khdija Ahmed ss

    • @masaitozi1106
      @masaitozi1106 4 ปีที่แล้ว

      Wengne hawajielew

    • @nditijohn5223
      @nditijohn5223 3 ปีที่แล้ว

      Mwanaume ni mbwatu ataufanye nini atakuacha tu nafanya haya kwajiliyangu siokwajili ya mwanaume

  • @rakiaali6551
    @rakiaali6551 4 ปีที่แล้ว +4

    Na kama kila unacho fanya he does not appreciate

    • @Zetuflix
      @Zetuflix  4 ปีที่แล้ว

      Ujue huyo hajitambui,anaekupenda lazima atapenda ubunifu wako

    • @rahillhamidu2544
      @rahillhamidu2544 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Zetuflix uko Sawa kabisa

    • @AishaAli-lk7gh
      @AishaAli-lk7gh 4 ปีที่แล้ว

      @@Zetuflix swadkta

  • @zainabuzainabu4372
    @zainabuzainabu4372 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama una mtoto mchanga marashi yatamtia mafua

    • @stevensimon5642
      @stevensimon5642 ปีที่แล้ว

      Hata ufanye nini, wanaume ni tatizo.

  • @jainaboman8952
    @jainaboman8952 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukura kwasomo

  • @husnasameer803
    @husnasameer803 4 ปีที่แล้ว +1

    Pambe hatari

  • @kulsumahmed7567
    @kulsumahmed7567 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sana ubarikiwe

  • @khadija9927
    @khadija9927 4 ปีที่แล้ว

    خديجه

  • @justinamarwatv8415
    @justinamarwatv8415 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kaka

  • @judnolnyambaso7950
    @judnolnyambaso7950 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekipenda kipindi.

  • @zainabumohamed4621
    @zainabumohamed4621 4 ปีที่แล้ว

    Shukuran

  • @faiqahfaiqah4231
    @faiqahfaiqah4231 4 ปีที่แล้ว

    asante kaka umetupatia faida

  • @munasaid6058
    @munasaid6058 4 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa mafunzo

  • @ayaanleomer7993
    @ayaanleomer7993 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli👍

  • @mulhatabdul1740
    @mulhatabdul1740 4 ปีที่แล้ว +1

    ASANTE

  • @seinkounconde8638
    @seinkounconde8638 4 ปีที่แล้ว

    Somo pambee kwa kweli

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mtaaaaamu

  • @doricasmsingi565
    @doricasmsingi565 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa jamani

  • @maryndaweka108
    @maryndaweka108 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

  • @milkamugeni7940
    @milkamugeni7940 4 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @user-dx5lz6du4y
    @user-dx5lz6du4y 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante

  • @kamaukamau5006
    @kamaukamau5006 4 ปีที่แล้ว

    Thank you

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @aminaabdallah2880
    @aminaabdallah2880 4 ปีที่แล้ว

    Thanks