MALAIKA ALIVYOINGIA KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA/ATAMBA NA SHAPE YAKE/THANKS NEXT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • MALAIKA ALIVYOINGIA KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA/ATAMBA NA SHAPE YAKE/THANKS NEXT #malkia #carrymastorytv #thanksnext

ความคิดเห็น • 75

  • @hamisaabdalah6232
    @hamisaabdalah6232 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +20

    Inna illah waina Lilah lajoun...maandiko yanatimia kila cku kwamba cku za mwisho zikikaribia wanawake watakwenda uchi mauaji kila cku dalili zooote zipo Bado 1 tu kuja Masih dajaal

    • @faridanurdin9635
      @faridanurdin9635 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Innalillah wainah ilayh rajiun, Allah amsamehe amuongoe,hapo anajihis ni malaika wa dunia astaghafirullah 😢, atulinde na sisi inshaAllah.

    • @kampotkanangila9647
      @kampotkanangila9647 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli kabisa hahu danganyi

    • @kampotkanangila9647
      @kampotkanangila9647 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Amin

    • @hilalmohd8941
      @hilalmohd8941 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      naogopa yani😢

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Pumzi hutia kiburi ngoja upate homa ndio utamjua sir GOD.

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Umependeza my dear enjoy ❤️💕🌹

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kweli Dunia inafika mwisho
    Maagenti ni wengi sana duniani wanatumika sijui wanalipwa wanafanya vitu vya ajabu dunia inakuwa muozo😢😢😢😢😢😢😢

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 21 นาทีที่ผ่านมา +1

    Shemeji anakuja saa 8:40 😂😂😂😂 dada kapaniki kaka kawowaaaaaa

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kwani hayo meno kayafanyaje jamani ila sio Kwa big nyash hiyo

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kukaa uchi tu mungu tuhurumie na vizazi vyetu😢😢😢

  • @iddisalimu5028
    @iddisalimu5028 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Msiba huu jioni aibu kwann hapana mwanamke kama huyu anavaa hivyo hajui Kesho kuna Moto kwa mungu

  • @safiasuleiman-t9d
    @safiasuleiman-t9d 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mmh , kwenye ndoa aliona anapitwa na mengiiiii ya kidunia Nakuhurumia sana hata na ayo mavazi ....

  • @Sage-o4q
    @Sage-o4q 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Ni kama kapanic na harusi ya momo.....maintavyuu ya nini.???

    • @NeemaLwoga-s4c
      @NeemaLwoga-s4c 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Muongo ww kapanikibnn sasa

    • @Sage-o4q
      @Sage-o4q 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwenda zako na wewe mwenye matako usoni.....

    • @DeborahSichone-b9c
      @DeborahSichone-b9c 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli

    • @Hedva255
      @Hedva255 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisaaaa

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ndugu yetu alioa jini 😂

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ricado alishindwa kumla nyuma mzungu kapiga kwa nini asipendwe 😁😁😁

  • @maryammohammad4254
    @maryammohammad4254 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kajibadilisha kila kitu anamkozoa mungu kua hajui kuumba kamkataa mume wake kisa avae uchi mungu amuhidi ampe fahamu kakhfilika sana

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Reporter wa Ricky Media amesikia aibu yeye na matako sio yake!!! Yaani jamani Mimi mbona siwezi

  • @YusufTenge
    @YusufTenge 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumbe huyu malaika ni nyama coz ngozi zake za mwili Zimezekaa aana

  • @vdhhhgduue3577
    @vdhhhgduue3577 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dada mzuri lakini ilo various hapaa aiseee looooh

  • @MarySion-c6h
    @MarySion-c6h 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ajapendeza

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mdomo pia umetengezezwa? Mbona kama hawezi kuongea vizuri niambieni na mimi nipeleke mdomo wangu

  • @mariamibrahim6544
    @mariamibrahim6544 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shidaaa sanaa

  • @khadijaseif1170
    @khadijaseif1170 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Allah akuongoe dunia ni sehem ya kupita

  • @Raheema11-n3l
    @Raheema11-n3l 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyo simalaika nishetani

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @AzaAzamhmod
      @AzaAzamhmod 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂nmecheka

  • @starlily07
    @starlily07 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umependeza sana ila aliekuwekea wigi hajakutendea haki,

    • @rehema0018
      @rehema0018 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hajapendeza nahajui kujibu interview pia kapanic mumewe kaoa na yy ajifanya yuko kwenye chart no malaika mzigo wa mavi nyuma huo

    • @NeemaLwoga-s4c
      @NeemaLwoga-s4c 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@rehema0018mmmh! Cy kweli kapendeza

  • @ColinsNgabani
    @ColinsNgabani 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila huu mwili nikiwa kama mwanaume huu mwili na uinua jeee 😅😅😅

  • @MishaHass
    @MishaHass 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mzgo huonekana hata kwny baibui

  • @mgenisulaiman6310
    @mgenisulaiman6310 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na mm nafanya.part ya didy

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tako kubwa linanuka

  • @mgenisulaiman6310
    @mgenisulaiman6310 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Itakuwa maeneo ya bunju

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Neema ya mafunza kaburini kama ninawaona vile wanavyo kwenda kufaidi hahaaaa

    • @MishaHass
      @MishaHass 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwan uwo mzgo wake kweliiii au mchinaa

  • @Raheema11-n3l
    @Raheema11-n3l 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kinyokonyoko unaendauchi halafu unasifiwa unaonasifa sisifahiyo tumuogope mola azabu hatuziwezi

  • @mr_kajomba_og5719
    @mr_kajomba_og5719 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ndo yule malaika iliomba na chege au

  • @Maryammadafa
    @Maryammadafa 23 นาทีที่ผ่านมา

    Hivi ndugu yangu unakumbuka kifo nikama shoti ya umeme?

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumbo ka la mdoli dah surgery noma😂😂😂😂

  • @NelsonJackson-z7r
    @NelsonJackson-z7r 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akuna kitu

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉

  • @SultaniAbdi
    @SultaniAbdi 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yani watu maarafu wa Tanzania wanashindana tu utengeneza shepu daah sasa hayo ni makalio au mzigo unakuta yanamuelemea sema tu Kila mtu anataka kuonekana ana ßhepu zaid ya mwezake anyway 😂😂😂😂😂

    • @HalimaKassim-yz3we
      @HalimaKassim-yz3we 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wache tuuu wajisahaulishe nakujifanya wamependeza watatusumbua tuu siku za mazishi😅😅😅😅😅😅😅

    • @GufgChgy
      @GufgChgy 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwenzake alpunguza na ulikua natural yake😅😅😅😅 kumsanisha ni mzigo una chosha

    • @OmanOman-f7r2p
      @OmanOman-f7r2p 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kiukwel wasanii wanakaz. 😂😂😂😂

    • @Jamila-h1w
      @Jamila-h1w 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kazi ni kukaa uchi tuu chefuuu

  • @bhb_sufyaaan9288
    @bhb_sufyaaan9288 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mtangazaji akikaza anapiga.

  • @Pili-n3l
    @Pili-n3l 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao wanao muhoji wanamuona bwabwa tu anaumia mwenzio kuoa heb Tulia ww

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waandishi hawa mitihani uheke tuuu

  • @AminaTapwale-e5t
    @AminaTapwale-e5t 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mizigo wote you du

  • @mgenisulaiman6310
    @mgenisulaiman6310 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Caribuni😂😂

  • @AssiaMwihanga
    @AssiaMwihanga 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kafeli huyu

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ovyoo mbaya

  • @Honorx6Honorx6-w4n
    @Honorx6Honorx6-w4n 10 นาทีที่ผ่านมา

    😢😢😢

  • @RastamanAjaab
    @RastamanAjaab 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aaaaa Malaika umeniangusha hapo kwa hupendi kuexposh mambo yako ni expose😅😅😅

    • @nellymtambo8432
      @nellymtambo8432 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Msamehe tuuu c unaona uwongeaji wake anaonekana c muongeaji muongeaji sikiliza vizur kapatia ila ulimi mdomo unauzitooo so ni hofu tuuu ina msumbua😂

    • @DeborahSichone-b9c
      @DeborahSichone-b9c 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahahaha

  • @mwanaibrahim2444
    @mwanaibrahim2444 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbaba mzee wa kiarabu

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mzungu kasema

    • @mwanaibrahim2444
      @mwanaibrahim2444 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Rose-ue2ho mwenyewe asiliya kiarabu

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upo uchi alafu eti umependeza mfyuuu