KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 11/ 07/ 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 11/ 07/ 2024
    SEMINA YA NENO LA MUNGU:
    MADA:
    "HOFU YA MABADILIKO"
    (FEAR OF CHANGE)
    SOMO LA LEO:
    "MADHARA YA HOFU YA MABADILIKO"
    Kutoka 1 : 8 - 16
    Mathayo 2 : 13 - 18
    Matendo 7 : 54 - 60
    NENO KUU:
    "UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
    KUMBUKUMBU LA
    TORATI 28 : 6
    &
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    MAANDIKO YA LEO:
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    Kutoka 1 : 8 - 16
    8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
    9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi.
    10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
    11 Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.
    12 Lakini kwa kadiri ya walivyowatesa ndivyo walivyoongezeka na kuzidi kuenea. Nao walichukiwa kwa sababu ya wana wa Israeli.
    13 Wamisri wakawatumikisha wana wa Israeli kwa ukali;
    14 wakafanya maisha yao kuwa uchungu kwa kazi ngumu; kazi ya chokaa na ya matofali, na kila namna ya kazi ya mashamba; kwa kazi zao zote walizowatumikisha kwa ukali.
    15 Kisha mfalme wa Misri akasema na wazalisha wa Waebrania, mmoja jina lake aliitwa Shifra, na wa pili jina lake aliitwa Pua;
    16 akasema, Wakati mwazalishapo wanawake wa Kiebrania na kuwaona wa katika kuzaa, ikiwa ni mtoto mwanamume, basi mwueni, bali ikiwa ni mtoto mwanamke, na aishi.
    Mathayo 2 : 13 - 18
    13 Na hao walipokwisha kwenda zao, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto, akasema, Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukae huko hata nikuambie; kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize.
    14 Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri;
    15 akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema, Kutoka Misri nalimwita mwanangu.
    16 Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi.
    17 Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema,
    18 Sauti ilisikiwa Rama, Kilio, na maombolezo mengi, Raheli akiwalilia watoto wake, Asikubali kufarijiwa, kwa kuwa hawako.
    Matendo 7 : 54 - 60
    54 Basi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.
    55 Lakini yeye akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kuume wa Mungu.
    56 Akasema, Tazama! Naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
    57 Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja,
    58 wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.
    59 Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu.
    60 Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
    Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
    Simu: +255 713 553 443
    TH-cam: Kijitonyama Lutheran church
    Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

ความคิดเห็น • 31

  • @tracychesoli2900
    @tracychesoli2900 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hallelujah am blessed every morning,Go's bless you Rev kimaro

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 18 วันที่ผ่านมา

    Amina Amina Amina mtumishi wa Mungu Baba Mwenyezi.

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 18 วันที่ผ่านมา +2

    Baba Mchungaji unapoombea watu wenye roho ya wivu mbaya usiwasahau watu wa Masijala, waache fitna na wivu watembeze mafile panapohusika watu wapate haki zao kwa wakati🙌🙌🙌, waombee baba wawe na Ubinadamu na hofu ya Mungu.

  • @neemaadams7565
    @neemaadams7565 18 วันที่ผ่านมา +1

    Amen n Amen 🙏

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 18 วันที่ผ่านมา +5

    Asantee YEHOVAH kwa ASUBUI HII NAJIUNGANISHANA NA MADHABAHU HII MIMI NA FAMILIA YANGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMEEEN

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 18 วันที่ผ่านมา +1

    AMEEEN AMEEEN

  • @ferdinandntembagara2949
    @ferdinandntembagara2949 18 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @francescammari5337
    @francescammari5337 18 วันที่ผ่านมา

    Asante Pastor Kimaro
    Mungu akulinde siku zote
    Tunakupenda

  • @neemaadams7565
    @neemaadams7565 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeeeeeeeen

  • @user-ki7bs7kn6l
    @user-ki7bs7kn6l 18 วันที่ผ่านมา +3

    AMEN MCHUNGAJI UMESEMA ROHONI MWANGU HAKUNA KAMA MUNGU NA HAKUNA SILAHA KAMA MAOMBI UBARIKIWE SANA ALICHO HILA ZA MWANADAMU HAZIPINGI KILE MUNGU ALICHOKIPANGA, MUNGU NI MWANASHERIA NA JAJI WETU WA HAKI AMEN

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 18 วันที่ผ่านมา

    Ameen

  • @neemaadams7565
    @neemaadams7565 18 วันที่ผ่านมา +2

    👏👏👏👏👏🙏

  • @neemaadams7565
    @neemaadams7565 18 วันที่ผ่านมา +1

    🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️

  • @AliceHatibu
    @AliceHatibu 16 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 18 วันที่ผ่านมา +3

    AMEEEN AMEEEN 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @user-ek3rs8km4k
    @user-ek3rs8km4k 18 วันที่ผ่านมา +2

    Yesu Ahsante kwa somo Nzuri, nabarikiwa sana

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 18 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 ❤

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 18 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeeeen

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 18 วันที่ผ่านมา

    AMINA

  • @LilianMbangwa
    @LilianMbangwa 18 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mchungaji

  • @macumifabien8828
    @macumifabien8828 18 วันที่ผ่านมา

    Thank you Sir, what you are teaching is a reflection of our daily lives, especially in Africa, that is why it becomes difficult to embrace change and we remain in obscure situations

  • @piussantos8350
    @piussantos8350 18 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏ameen

  • @piussantos8350
    @piussantos8350 18 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 18 วันที่ผ่านมา +2

    AMEEEN AMEEEN MUNGU AWABARIKI sana WATUMISHI WAMUNGU AMEEEN

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 18 วันที่ผ่านมา +1

    AMEEEN AMEEEN HALLELUJAH HALLELUJAH AMEEEN

  • @robertmoshi2113
    @robertmoshi2113 18 วันที่ผ่านมา +1

    Amina

  • @wolterkimaro1221
    @wolterkimaro1221 18 วันที่ผ่านมา

    Ninatetewa na bwana.

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 18 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @DorahMliga
    @DorahMliga 18 วันที่ผ่านมา

    AMEEEN AMEEEN AMEEEN

  • @Irenesunnat
    @Irenesunnat 17 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @dianaprudence1565
    @dianaprudence1565 18 วันที่ผ่านมา

    Amen