SHUHUDA | MAMA MCH. DOREEN AMOSI | IBADA YA JUMAPILI DEC 1 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 7

  • @Celestineshikuku-i4x
    @Celestineshikuku-i4x หลายเดือนก่อน +4

    Shida ya wanadamu ni hii hapa, wanafunzwa jinsi ya mavazi, kufunga kichwa kila kitu wanafunzwa hadi makeups tusiweke ni roho ya yezebel . Wanaitikia kwa mafunzo hadi wanatubu wakilia lakini shida hawabadiliki. Wapendwa jehanamu imemungoja asie tenda kulingana na mafunso haya. Mubarikiwe . Doreen from kenya 🇰🇪 Shalom.

  • @andrewkasongo1368
    @andrewkasongo1368 หลายเดือนก่อน +3

    Ameen, Bwana atusaidie sana, tutawezaje kupona tusipojali wokovu mkuu namna hii.

  • @PauletteMasika
    @PauletteMasika หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya mutumishi wa Mungu

  • @EuniceJoseph-e5p
    @EuniceJoseph-e5p หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Atusaidie Sana Wanadamu kuelewa na kutendea kazi Yale Anayosema nasi Tungali Hai Maana hatujui siku wala Saa.Eee Mungu Tusaidie watu wako

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa Sana mamaang

  • @LeahLyanga-u5f
    @LeahLyanga-u5f หลายเดือนก่อน +1

    Eee Mungu tunaomba macho yetu yatiwe Nuru na masikio yetu yafunguliwe tuyaelewe haya Mungu asemayo nasi

  • @Upendo6045
    @Upendo6045 หลายเดือนก่อน

    E MUNGU ulie umba MBINGUNI na nachi nakuomba unisaidie Niwepo MBINGUNI