Ninacho mpendea huyu jamaa, Simba ikifungwa anamaneno ya kuwafanya wanasimba wajisikie jambo la kawaida. Moto ni simba akifunga anashusha mistari hada watani zetu wana Yanga wanaomba po! Naipenda team yangu pomoja na semaji letu ❤️❤️❤️❤️❤️
😂😂 ila msemaji ure very smart kama vile uliandaliwa maswali hayo week mmoja kabla😂😂 so upo vizuri sana simba tumeimarika vyema uwanjani hadi kwa msemaji😂😂
Sasa wewe unayetukana mbwa Kuna aliyekutuma team yako ifungwe au ndo hasira za mkizi bafuu kwa mchukuzi wewe ulifungwa kaa Kimya usitukane wenzako mnasema mna kipa alafu anafungwa tobo
Msemaji wa Simba hongera kwa ushindi. Lakini kuwa mtu uliyekomaa usiwe na utoto, ngonjera na vijembe. Just talk about simba wengine waachie wenyewe. Simba ni timu kubwa. Angalia wasemaji wa kilabu kubwa Afrika, Mamelodi, Al Ahly na nyengine hawana utoto huo wa wasemaji wa vilabu vya Yanga na Simba. Ni rai tu kijana. Be somewhat serious young man.

Man of the march pin pin camara
Ubaya ubwela MUNGU ibariki simba yetu, guvu moja💪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tunakiwasha bila kupoa ubaya ubwela❤
Safi sana tim yangu ya simba.nguvu moja
Hongera san timu yang ya simba ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤
KAnyaga twendeeeee ubingwaaa ✔️
Simba ❤❤❤❤❤❤❤❤
❤simba🎉
Simba nguvu moja💪💪💪
Aya si mashindano ya urembo😂😂😂😂😂😂😂
😂😂 ila msemaji ure very smart kama vile uliandaliwa maswali hayo week mmoja kabla😂😂 so upo vizuri sana simba tumeimarika vyema uwanjani hadi kwa msemaji😂😂
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉🎉🎉🎉
Sawa kbs semaji la caf ubaya ubwela unyamaa mwingii 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
❤ simba ubaya UBWELA
Yanga mnahahatu vpi kwan mpokalibu Khatami matiti nyinyi
Yanga tumechokaaa kabisaaa mie yanga
❤❤ simba
❤❤❤❤❤❤❤ camara
Sisi wanasimba kumelidhika Gori moja mladi ushindi aliekula kala
Mungu ametusaidia tumekuwa bora chura naona wanateseka
❤❤❤❤❤💪💪💪
Uwezi kuandika bila kutukana inaonekana ukufunzwa
Tunaitaja yanga kwasbb kashenyetwa
Uyo mjinga anetukana mbona Jana yametuhaibishia taifa letu alitumii ata akili ndimu ilo
Kwakweliii musa Camara anadakaa sana, Yanii so pw
Simba nguvu moja
Wewe hacha kuchapia nyanga kweri ni kaburi
Nguvumoja
Mshauri mwlim awe asopange wachezaji Kwa majaribio kama Leo slianza na kikosi si cha maarifa
ila mechi ya marudiano Simba inatakiwa kukaza haswaaaaa
Unyama mwingi hii ndo ubaya ubwela
Hatutaki chura wa kijani humu Uto pita kule
Unyama🎉🎉🎉🎉
Simbaaaaàaa
Mpate kombe sio unallropoka tu kwa kuwssema nyanga
Chura wataumia sana
Ucitukane jamaa huu ni mpira na mpira hawatukani mbona jamaa unatukana watanzania
Sawa mgeni 🎉🎉😂😂😂😂😂
Semaji katika ubora wake
🎉🎉🎉🎉
Saf sana
Ubaya ubwela
Mbwa ww na familia yako ama ukoooo wenu nyoooo majungu2 kuoga hutaki
Kunagoli la tobo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Timu mbovu
❤❤❤❤
Ongeza sauti naona hawajasikia hao wadogo zetu kazia wapate adabu ngoja tuwabuluze
Ulisema kombe la luza leo unasema ni michuano mikubwa je! Siyo mashindano ya luza?
Lini???
Ongeeni tuu ila inatakiwa mrudi na kombe hapa
Waambie vyura wenzio warudi na kombe ss hatuamrishwi na vyura bhana
Sasa hiyo Tena ni kazi Yako?😂😂😂😂😂😂😂😂 Au inakuhusu
Sasa wewe unayetukana mbwa Kuna aliyekutuma team yako ifungwe au ndo hasira za mkizi bafuu kwa mchukuzi wewe ulifungwa kaa Kimya usitukane wenzako mnasema mna kipa alafu anafungwa tobo
Cut
Ulisema Bravos mtampiga nje ndani,mechi umeionaje,na bahati yenu hiyo ilikuwa droo mbwa nyinyi
Kashapigwa ndani bado nje kunguni wee hyo ndro umeiyona ww 🐸🐸
Kwn wewe unaonaje
mbwa mwenyewe choko wa kijani wew yakwako yamekushinda
Wewe ni yanga ndio maana wasema hivyo
Utopolo na matusi
Uyo ndio zake akishinda ndio zakee 😅😅😅😅
Hivi huwezi kuongelea timu lako bila kutaja YANGA matako ya bibi yako
Swali😂😂😂
Amedi ali hujielewi kwanza. Ukiwa km msemaji haipendezi kuongeleaa mti mwingine vby
Huna baya semaji
Time will tell😂😂
Jama naongea ukwel semaji ww siyo yure chura
nyie ndio mbw munaotk kucheza na malaik watu wa hovyoo nyie
Akina Duchu, Karabaka, Omary n.k wako wapi Guys
Ulitaka wacheze wote au unauliza tu kocha kashachezesha wote kasoro duchy tu mda ukifika atacheza
@annajohn2488 Wapewe hata game za NBC wasije kuwa kama akina Luis
Tumwachie kocha
Utoto mwingi mno ugesema Camara ndo wakwanza kupigwa tobo na nzengeli
Wewe umevurugwa ndio mana mnapga watu tuacheni zam yetu sasa uu mpra mambo zinaruhusiwa
Msemaji wa Simba hongera kwa ushindi. Lakini kuwa mtu uliyekomaa usiwe na utoto, ngonjera na vijembe. Just talk about simba wengine waachie wenyewe. Simba ni timu kubwa. Angalia wasemaji wa kilabu kubwa Afrika, Mamelodi, Al Ahly na nyengine hawana utoto huo wa wasemaji wa vilabu vya Yanga na Simba. Ni rai tu kijana. Be somewhat serious young man.
Wewe Tulia acha mbwembwe kiingereza cha kunywea maji unaanza kusumbua semaji la caf
Usimfundishe semaji namna ya kuzungumza muache atumie ubunifu wake katika kazi anayoifanya.
Tuachie semaji letu liteme sumu iwadhulu
Kaka achana nae huyo shule yenye kasomea nangwanda huyo ko kuzungumza kakingereza hako anaona amefika ulaya kolo huyo Hana loloteee
Amwache msemaji wetu Alana zetu tatu hatuna ubaya na mtu
❤❤❤
Ubaya ubwela
Ubaya ubwela