story of how we all got pregnant😔what happened 😱

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 369

  • @bessie940
    @bessie940 ปีที่แล้ว +12

    Am a victim to 😢😢 nitumieni number Nina mtoi wa 2 months naeza wapatia some clothes guys😢😢

  • @NasiboFazul
    @NasiboFazul ปีที่แล้ว +3

    Hey guys..poleni sanaaa your story is touching am sorry aki...nikona manguo mingi sanaaa ya watoto ataza new born nikonazo naeza wapea juu mm sai situmii ata blanket

  • @jacklinekinya9800
    @jacklinekinya9800 ปีที่แล้ว +11

    Mko wapi naeza saidia huyu wa t-shirt ya white kindly

  • @KAMICYNTHIA
    @KAMICYNTHIA ปีที่แล้ว +9

    stand strong guys watoi ni baraka ,,was in the same situation 2019 na nikadrop form 3 nikaolewa nikiwa 17yrs,,nikatoka Kwa bawana na nikajiweka,nikafungiwa nyumba last year and am now in saudia,,all will be well❤🥺,my son is 4yrs now

    • @PoppyLove48
      @PoppyLove48 ปีที่แล้ว

      Manze nadai kuja uko uko sawa

    • @maurinejerubet5278
      @maurinejerubet5278 ปีที่แล้ว

      ​@@PoppyLove48we njoo dear sio kubaya

  • @estheratieno6587
    @estheratieno6587 ปีที่แล้ว +5

    Let me tell you guys ,I got pregnant 2017,I had dated with the guy for 3yrs ,alikua anajulikana adi home ,,I gave birth 2018, MTU akadesapear ,,since that yr I sweared kidanganyawa na mwanaume aty tuzae ,😂men are Satan's neighbor let me tell you ,cjui kama ntawai zaa mtoto mwengine I do see every man like the one who left , mniache nitafte vitu zingine not men ,😮

  • @reginangari5688
    @reginangari5688 ปีที่แล้ว +5

    Haki poleni sana gals I need one lady huyu mwenye watoto watatu nataka kuongea naye

  • @raberalineth1213
    @raberalineth1213 ปีที่แล้ว +5

    Yaani Joy ni kama mama ya hawa wengine. Sorry sisters God's in control.

  • @JudithLiavuli-tr5dm
    @JudithLiavuli-tr5dm ปีที่แล้ว +7

    Tafuteni place mtaacha watoto mkuje gulf, ama nwachie mmoja wawili wakuje mtaenda far.. Enyway poleni pia mm nliachwa na mimba nikatukanwa bt Sai nko gulf mtoi ako ushago

  • @jacinterakumu9106
    @jacinterakumu9106 ปีที่แล้ว +6

    Sorry Mary aki but usijali everything happens for a reason ....was inthe same situation 4 years ago

  • @JudithDaniel-si8sy
    @JudithDaniel-si8sy ปีที่แล้ว +7

    Ooh so sad mmefanya nliye 😭😭😭 Jipeni nguvu Mimi nlifanyiwa😢ak naomba number ya sim

  • @neomysarah026
    @neomysarah026 ปีที่แล้ว +5

    Nilipata mimba 2017 my boyfriend alikua ananitumanishia anything nataka but at 6 months alinikol telling me venye hata hiyo mimba sio yake with some bitter words but my parents were there for me,the boy was second year,,,,,,nilijifungua mtoi no any member wa kwa akina boy alikam kuona mtoi na from kwa akina boy na kwetu ni kitu 4kms but no one came hehehehe my dad forced me kupeleka mtoi akanyolewe and I had too but the bitter part ni my son stayed on for 11 months then he left me hadi waleo nikifikiria kuzaa machozi inamwagika kama maji but hopefully next year Inshallah I will be pregnant so that I can be called mum again
    Don't ever loose hope hao watoi watakuja kuwa baraka maishani just keep on pushing and put God first

  • @winfredgacheri5065
    @winfredgacheri5065 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂joy ni gangster aty me yangu mnajua tu nlipata jamaa alihama

  • @agnesgakii9883
    @agnesgakii9883 ปีที่แล้ว +2

    Poleni wote but for mercy it's advisable ukijifungua huyo uweke implant gal😢 hugs darlings I've been through the same

  • @GethiaTsuma
    @GethiaTsuma ปีที่แล้ว +2

    Am like Mary but GOD above all na alikua mkamba Hadi sahii sijui ako wapi 😭😭😭😭

  • @glorygakii5586
    @glorygakii5586 ปีที่แล้ว +3

    This is just too emotional 😞😞 hugs girls,,, there's God ,,,, I think in life time one can remain in Kenya two waende gulf

  • @magdalenekalosh8061
    @magdalenekalosh8061 3 หลายเดือนก่อน

    Nipitieni niwapitie kindly

  • @eunicemutitu1766
    @eunicemutitu1766 ปีที่แล้ว +2

    Hungeenda home ungeenda police post iko karibu ureport.. it's well

  • @zipporaomare5183
    @zipporaomare5183 ปีที่แล้ว +3

    Stroy ya Mary ni kama yangu

  • @saumumambo
    @saumumambo ปีที่แล้ว +2

    Msijali kila kitu hufanyika na mipango ya Mungu ..be strong itakua swa yu

  • @FloridaMwiti
    @FloridaMwiti ปีที่แล้ว +1

    Joy anakaa amechanuka sana Mungu awasaidie

  • @maureenwangechimucheru1343
    @maureenwangechimucheru1343 ปีที่แล้ว +2

    😂 Joy uko na speed mbaya sana ya mdomo mtu haskii kitu
    Anyway you guys will get fine some day God is gonna see you through

  • @empressfay495
    @empressfay495 ปีที่แล้ว +3

    poleni but tumieni family planning huku nje as long as hauna job na hauko kwa wazazi men will take advantage of you

  • @apparently2972
    @apparently2972 ปีที่แล้ว +2

    Joy is the strength of the other two...Am sorry mary you had to go thru that....continue sticking together

  • @tiktokumbea
    @tiktokumbea ปีที่แล้ว +3

    Si mueke family planning 😢

  • @TruphenaKioko-p4e
    @TruphenaKioko-p4e ปีที่แล้ว +2

    Poleni tumieni family planning aki🙏🙏🙏

  • @lauraimbwana1319
    @lauraimbwana1319 ปีที่แล้ว +1

    Huwa wanasema Baby Dady wa kwanzwa Akipotea tafuta wa pili Wapili akijipea shugl Lea watoto Mama Lea watoto Wako usijaribu Kulia Lia ukiona watoto Wako no be strong 😢

  • @cindydainty1556
    @cindydainty1556 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Mary,but that hospital wanakupea dawa ya kuzui ball na haikufanya😢😢 that's very wrong,,,maybe ni God's plan dear may God protect you and open doors 🙏

  • @categathoni2807
    @categathoni2807 ปีที่แล้ว +5

    I'm sure if you email Lynn ngugi your story you will get help reach out to her

  • @Priscalangatkenya
    @Priscalangatkenya ปีที่แล้ว +3

    Mnifikisheni 500 pia mimi ❤ love you guys

  • @BREERONO
    @BREERONO ปีที่แล้ว +8

    We should tag other bloggers to help🥺😥

  • @jannyndegwa5567
    @jannyndegwa5567 ปีที่แล้ว +3

    Wacheni Alie it will do her gud ❤❤❤

  • @Muthoni_Lilian
    @Muthoni_Lilian ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂Joy anashangaa mbona wenzake wanalia..take heart girls all will be well❤❤❤

  • @BridgetKaramta
    @BridgetKaramta ปีที่แล้ว +2

    Joy ni gangstar😂😂😂

  • @LizNjeu
    @LizNjeu ปีที่แล้ว +4

    Mmetoka chuka side gani?am also from chuka too

  • @roz584
    @roz584 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Mary mungu yupo atakulipishia

  • @Edgybhthjklew
    @Edgybhthjklew ปีที่แล้ว +3

    Waaarh am so sorry for that mimi niliachwa kama nyinyi saa hii nko saudi nkiacha mtoto na 1yr ju ya mashinda men will never see heaven😢😢.How about ur mum ladies

  • @maureenkariuki4543
    @maureenkariuki4543 ปีที่แล้ว +1

    Strong ladies indeed
    ...God gives the hardest battles to his strongest soldiers....Nimewapenda zaidi...and am in support of hii story ifikie Lynn ngugi

  • @ellynixon1969
    @ellynixon1969 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂Mary kumbe unaezanga kuwa emotional 😢😢

  • @nancykarimi7257
    @nancykarimi7257 ปีที่แล้ว +6

    Naeza wapata aje niwapee nguo za mtoi nikona mob

  • @mwendeann9273
    @mwendeann9273 ปีที่แล้ว +7

    😅😅😅😅ati akna mambo ya emotions hapa

    • @lynneagellah9638
      @lynneagellah9638 ปีที่แล้ว

      Aki

    • @naomy1751
      @naomy1751 ปีที่แล้ว

      Wamescript😂😂😂

    • @RodgersReynolds-xj1mb
      @RodgersReynolds-xj1mb ปีที่แล้ว +1

      ​@@naomy1751woman against women ...ndo maana this things happen coz you people don't talk about it. ....but what do I know??

    • @CollinsKibe
      @CollinsKibe ปีที่แล้ว

      ​@@naomy1751shame on you😐🫴

  • @philiskareanki6740
    @philiskareanki6740 ปีที่แล้ว +1

    Tuonyesheni hao watoto,take hearts dear ones

  • @missruth2543
    @missruth2543 ปีที่แล้ว +1

    Joy 😢😢I just love how positive you just a reminder you are the Pilar to your sisters na mjue one day vitu zitakua sawa just stay positive

  • @scolasticanjoki4028
    @scolasticanjoki4028 ปีที่แล้ว +2

    Ati unalia Nini surely ghai

  • @ShilahMwala
    @ShilahMwala ปีที่แล้ว +5

    Some girls out here it's not there fault to be pregnant 😢 it's the situation sorry girls may God strengthen you

  • @wambohsuzzie
    @wambohsuzzie ปีที่แล้ว +2

    weeeeh 😩 when l think l have gone through alot 😢 kila kitu siku mmoja itakuja kujipa , l thought meru mnaishi na wazazi

  • @abigaelsyombuafrancis8267
    @abigaelsyombuafrancis8267 ปีที่แล้ว +2

    Leteni watoto niwaangalie muende gulf aki mungu awabariki na awafungulie njia zenu

    • @lynneagellah9638
      @lynneagellah9638 ปีที่แล้ว

      Utawezana na pia nmeona ukisema uko na wako

  • @embuluogirl
    @embuluogirl 8 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢mimi nilipata through kuuza kuma l would like to meet you aki 🥺😭 tukea pamoja

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew 3 หลายเดือนก่อน

      Look for them

  • @maryrewel3169
    @maryrewel3169 ปีที่แล้ว +5

    Hii will be a testimony years to come .....

  • @valerieshinia8526
    @valerieshinia8526 ปีที่แล้ว +1

    Eeh yesu😢😢😢 poleni aki Mungu awapiganie 😢🙏🏽🙏🏽 ni mapito tuu

  • @cynthiaonguti8280
    @cynthiaonguti8280 ปีที่แล้ว +2

    Hugs girls 😢🫂 mko na wazazi

  • @ggddd9541
    @ggddd9541 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana aki may God provide in ur needs guy I know it's not easy but God will take control

  • @JacklineKawish-mw4jw
    @JacklineKawish-mw4jw ปีที่แล้ว +2

    Hadi nmelia woiye Marie cool😥

  • @joygabriels8107
    @joygabriels8107 ปีที่แล้ว +6

    let her cry as much as she can sometimes it eases the pain😰

  • @yohgirl_valerie
    @yohgirl_valerie ปีที่แล้ว +2

    Mueke family planning after kujifungua aki😢😢😢pleaaaaseeeee! Maisha si rahisi watoto Ni baraka muwalee hao mko nao❤️

  • @TrizarKim
    @TrizarKim ปีที่แล้ว +1

    Joy juu ww umezaa wako kam gulf...imgne your life will change

  • @stellamutoko4979
    @stellamutoko4979 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mary uyo jamaa asiwai pata peace😢😢

  • @puritywamwea8951
    @puritywamwea8951 ปีที่แล้ว

    Woiye😢😢pia mm nliget mtoi but now ni mkubwa,so take heart girls watoto ni baraka

  • @Kerry-carol
    @Kerry-carol ปีที่แล้ว +1

    Mary don't cry you are soo beautiful one day God will change everything and everything happens with a reason.

  • @salomemungai592
    @salomemungai592 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana gals😢

  • @abigaelsyombuafrancis8267
    @abigaelsyombuafrancis8267 ปีที่แล้ว +2

    Mtoto wa kwanza ni bahati baya but wa pili na watatu ziii coz mimi nilizaa na 17 years saa hii ako almost 5yrs na ata mtu anikujie na gari sizai tena mpaka nipate pesa yangu

    • @faithritah4692
      @faithritah4692 ปีที่แล้ว

      Me and you same whatsaap group,pia mih nilizaa nikiw 17 mtoto wangu ako 5 sai,na sijawaifikiria kuzaa tena😂

    • @abigaelsyombuafrancis8267
      @abigaelsyombuafrancis8267 ปีที่แล้ว

      @@faithritah4692 mimi mtu aezi nidanganya na mapenzi nooo

    • @chirymariano1869
      @chirymariano1869 ปีที่แล้ว

      Hakunanga mtoto amezaliwa bahati mbaya kuna sababu ya kila kitu cha muhimu ni kuendelea kumtegemea mungu ukiwa kwa hali ngumu kama hio.

    • @margaretnyambura4841
      @margaretnyambura4841 ปีที่แล้ว

      She talked of family planning failure...all children are blessings God allowed it to happen

  • @MujumaajumaJumamuhunda
    @MujumaajumaJumamuhunda ปีที่แล้ว

    Merry Wacha kuwaza Sana dear love😢

  • @BrendahRema
    @BrendahRema ปีที่แล้ว +21

    They say everything happens with a reason take heart girls😥🥰

  • @lucianahwanjiru8788
    @lucianahwanjiru8788 ปีที่แล้ว

    Mercy kuuliza mwingine ati unalia nini,that's not cool,wacha mtu alie in peace

  • @essyfionah2317
    @essyfionah2317 ปีที่แล้ว +1

    Aki joy ati unalia nini 😂😂😂

  • @suzykaris
    @suzykaris ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana aki msijali all shall be well

  • @kemmi824
    @kemmi824 ปีที่แล้ว

    Those babies are the source of blessings into your lives❤❤❤,so be strong and all shall be well

  • @Christine-tx3xy
    @Christine-tx3xy ปีที่แล้ว +1

    Woooiiye Mungu wafungue milango

  • @Carollinna-w4i
    @Carollinna-w4i ปีที่แล้ว

    Aki shida hutuma mtu kwa shida😢😢😭😭😭😭

  • @lynnnkiro9673
    @lynnnkiro9673 ปีที่แล้ว +1

    It's the way joy is caring,🙏

  • @nkitahtamarah453
    @nkitahtamarah453 ปีที่แล้ว +1

    Hugs 🫂 sweeties aki 😢 mary i can understand you baby gal ❤️ stay strong for the baby mm personally nmepitia rapist and its not easy take hrt all gals ,,,wanaume sio watu kabsaa ,my baby daddy aliniacha ivo na mimba 😢

  • @moreennafula1765
    @moreennafula1765 ปีที่แล้ว

    Mary wacha Stress mum kila kituitakua sawa 😢😢

  • @ChristabenarAraba
    @ChristabenarAraba ปีที่แล้ว +2

    Huyo Mary nataka akishazaa akule shemeji yngu

  • @jacklinemurithi
    @jacklinemurithi ปีที่แล้ว +2

    Mercy ucjali watoto ni baraka ata mm apa niko na watatu single mum na maisha inasonga

  • @agnesmutheu9057
    @agnesmutheu9057 ปีที่แล้ว +2

    Joy uko strong sana dr love you drlng ❤❤❤❤❤

  • @julietmwongel1769
    @julietmwongel1769 ปีที่แล้ว +1

    Wooii. Jitieni nguvu

  • @QueenNjambi-p8b
    @QueenNjambi-p8b ปีที่แล้ว +3

    Akh Joy Ako na Roho ngumu walai😂

  • @deborahnyamira2596
    @deborahnyamira2596 ปีที่แล้ว +2

    Joy my friend you are strong 💪 ❤️ I can relate your stories but it is well

  • @zippy_blessings9384
    @zippy_blessings9384 ปีที่แล้ว +1

    Mko wapi nikam kuwasalimia❤❤

  • @joygabriels8107
    @joygabriels8107 ปีที่แล้ว +1

    kumbe mnakuanga na good swahili😊 any poleni May God see you girls it shall be well ❤ hugs

  • @Perfectionpointlimmited
    @Perfectionpointlimmited ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni wa chuka .kwenu ni chuka wapi?

  • @noven254
    @noven254 ปีที่แล้ว +4

    Sasa uyo Chali yako joy anagoja mtoto akuwe mkubwa ndio aanze kusema ni mtoto wake men same on you..sababu mko watatu mmoja wenu aende abroad nyinyi wengine mpige hustle nai atleast mlee watoto..mtoto si kilema watakuwa wakubwa na watoto ni baraka

  • @jackiekendi3568
    @jackiekendi3568 ปีที่แล้ว

    Poleni girls ni mapito tu mungu atawaonekania ❤❤

  • @tinaa-4eva
    @tinaa-4eva ปีที่แล้ว +1

    There is light at the end of the tunnel guys....Be strong for each other ❤

  • @paulinemawia2852
    @paulinemawia2852 ปีที่แล้ว

    Mko nairobi wapi naeza watembelea

  • @ngeshh
    @ngeshh ปีที่แล้ว +1

    Nikona manguo although si mob they might help somewhere nitawafikia aje?

  • @liznasra8578
    @liznasra8578 ปีที่แล้ว +2

    Wacheni Mary atoe stress...I'm very sorry Mary being raped it's not an easy thing but take heart and be strong for your child dear

  • @Emily-kf3gv
    @Emily-kf3gv ปีที่แล้ว

    Poleni sana guys ,,,God will come through 🙏

  • @CYNTHIAHAMOLO
    @CYNTHIAHAMOLO ปีที่แล้ว +2

    God put a smile on this young souls

  • @EmilyngugiNteere
    @EmilyngugiNteere ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢msijali bado watoi ni baraka aki

  • @caroljeetoo8905
    @caroljeetoo8905 ปีที่แล้ว +2

    Na mtumie family planning nyinyi nae 😂

    • @BOSSLADY3656
      @BOSSLADY3656 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @lenasaeed577
      @lenasaeed577 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 akili ya family planning inakuja kama uko Na mimba

    • @ngenoisscoliz-el6tg
      @ngenoisscoliz-el6tg ปีที่แล้ว

      Hauskii family planning ilifailisha mercy

  • @JusterKambura
    @JusterKambura ปีที่แล้ว +6

    hii ni ukweli ama mnaact?

  • @marykaregi3479
    @marykaregi3479 ปีที่แล้ว +1

    Wameru hatukuagi emotional 😂tuko kana magangester😂😂😂😂

  • @jane5135
    @jane5135 ปีที่แล้ว

    Mko sawa tuko wengi at least mumetupea roho

  • @jannyndegwa5567
    @jannyndegwa5567 ปีที่แล้ว +2

    Enyewe u guys are strong mostly joy ❤❤

  • @wilsonoduor-hx6hh
    @wilsonoduor-hx6hh ปีที่แล้ว

    Wait mary alikuwa class 6 2020. So she's underage .😢 so sorry

  • @daisyotieno7885
    @daisyotieno7885 ปีที่แล้ว

    Mary pole sana aki😢

  • @JacklineWairimu-st4sw
    @JacklineWairimu-st4sw ปีที่แล้ว +2

    Aki poleni aki Mary n gangster

  • @Lucy-yl5se
    @Lucy-yl5se ปีที่แล้ว

    Mercy janyangia apo sasa eka dunga

  • @ashelyndindah4050
    @ashelyndindah4050 ปีที่แล้ว +3

    Guys just take heart , everything happens with a reason❤

  • @PAMELAKATHURE-sq2cq
    @PAMELAKATHURE-sq2cq ปีที่แล้ว

    Poleni sanaa oyeeee😭😭