from this you learn that , apparently The reason many innocent people wanaozea jela ni sababu they go to court to defend their innocence instead of deconstructing the accuser's argument....
Love how he did the case - how the liars were found out by their own lies. Glad to hear that there are people in prison who help others in dealing with their cases.
Uliassume mambo mob Sana , no one does that in a court of law with his family , again who can threaten to kill himself just because he or she was a witness . Too exaggeration in his story .
"Watu ni nadra" gwiji mwenyewe licha ya kuwa na shahada zangu za uzamili katika Kiswahili, siwawezi kuzungumza Kiswahili sanifu ipasavyo, kama anavyozungumzia kwa kuzingatia matumizi sahihi ya ngeli. Hasanati nduguyo Sauti yako inasikika vizuri (audible) na hadithi yako inavutia sana.
Ako na hao marafiki wote jela na yeye sio mwizi? Birds of the same feather. Mbona wasitoe mtoto Wa 6months kwa kitanda and the search is rough? Sijai skia mtu ana request kwenye ataplaciwa na wanakubali. Uki placiwa unakujiwa na mkubwa wa hiyo block which ni mfungwa bado akupeleke. Unasema wewe ni first time unaachiliwa utembee pekee yako? Nani anatembeanga peke yake jela na unafwatwa kila mahali. Remandee anapelekwa aje block ya watu washa hukumiwa? Remadees wako na side yao. Mbona venye uliskia unaenda kamiti unaogopa na yet unajua uko na mbogi uko? Huyu anakwambia usunde pesa kwa nguo yako ya raiya na hiyo nguo itabaki kwa ofisi upewe kunguru? The story has very many loose ends
I did not watch this interview because the interviewee has always shared his experience but with a lot of lies. The guy left prison 2013 and a lot have changed in prisons and his experience no longer count. He has has capitalised his tricks for sympathy . For this interview itugi TV thumps down👎.My advise to him is that he needs to commit another crime that will take him back to prison,2035 come back give us a new edition 😂
Ndrendende is such a good narrator😅.. watched his interview in dr kingori, obinna nd finally here can't get enough of this guy 😂😂
Actually he's a good speaker
Good good vibe, I've rewinded,laughed my ribs our hapo kwa Onyancha 😂😂😂😂waaiii waaiii
Lovely narrator
I've watched the guy somewhere and I'm still here again juu ya mtoto wa sonko much love Man ❤❤❤
Am always excited listening to him
The best interview in the world 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
This will be straight fire! Cant wait.
Am from bombolulu Kibera na sijawaimwona😂waa basi huwa sitembei na vile ako na vibez😂😂❤
The guy is a good narrator and very smart upstairs but kuna design anakaa kiburi anamuingia somehow😂😂😂😂
Hii nimeingoja sana baada ya kumuona kwa obinna he should tell us this story in series😂😂😂
from this you learn that , apparently The reason many innocent people wanaozea jela ni sababu they go to court to defend their innocence instead of deconstructing the accuser's argument....
Love how he did the case - how the liars were found out by their own lies. Glad to hear that there are people in prison who help others in dealing with their cases.
Uyu msee ni mtruee ni niliskia story yake kwa obina❤
Aki when I'm stressed i listen to the Onyancha part n laugh out
Hii kiherehere yako iko juu ....Kua mpole utadumu kwa uraia.
Mama Nyangi ndio imeniweza😂😂😂😂
He is a vibe but uongo mingi bana😂😂😂😂 but mtaenjoy hii show walai
Ukisikia ngombe zikiitwa uutike
Uongo ni 90%
Uongo ni mingi
Mtoto wa Sonko kucheka sio mbaya but when you overdo inafanya mwenye anapeana story anahang..check on that.
yes ana overdo...☹☹
yes
it becomes very awkward - the interviewee has to wait for him to finish laughing!
Jama anachekesha sana😂😅😅, I can't control it😢 myself
This guy's is a comedian 😂😂😂😂
Aki our visitor is very funny 😄 😂😂
Hii stori huchange kila siku 😀. Wacha chocha nanii
Huyu ni mwizi unashikwa bure After search 😂😂😂😂😂😂
Mate Mate mate mate😅😅😅
Hapo kwa radio ni uongo😂😂
jamaa ako na uwongo mob😂
The interviewee can't wait to be interviewed . Too fast for mtoto wa Sonko whose slow in his interviews .
Uliassume mambo mob Sana , no one does that in a court of law with his family , again who can threaten to kill himself just because he or she was a witness . Too exaggeration in his story .
This guy is a vibe whether story ni za uwongo ama ukweli
Umerealize kuna venye anaongeza uwongo
Am Inspired
Where are you located?? Pia Mimi nilitoka industrial area😮
😂😂😂😂😂am not laughing at him😂😂😂
Nilikuwa nimeingoja🤣🤣
He is a vibe😂😂😂
This guy as narrated this story many times till amemaster the art!!!!
Nimeskiza mara nyingi
Nmeikubali
Unacheka kama fala..
kibra tumefikiwa hoyeee😂😂
Uko sawa bro but kuna mahali umedanganya.nilikuwa kamiti block F 207 mpaka 209,remands hawakuwa wanavaa uniform 😂😂
Unataka kurudi huko ama
Sad story but funny
Akulumundu🤣🤣
Waiting
looking like have seen it b4
Birds of the same feathers fly together
speedy than interviewer
Akitoka jela alipata bibi ama aliachwa?
Kwani kunguru iko na kafangue?
Respact
Kiherehere ikona huyu jamaa
Ndrendende
Jionee Eneo La Ajabu.... JELA.
Onyancha 😂😂😂
"Watu ni nadra" gwiji mwenyewe licha ya kuwa na shahada zangu za uzamili katika Kiswahili, siwawezi kuzungumza Kiswahili sanifu ipasavyo, kama anavyozungumzia kwa kuzingatia matumizi sahihi ya ngeli. Hasanati nduguyo Sauti yako inasikika vizuri (audible) na hadithi yako inavutia sana.
This guy 😂😂😂😂😂
Leta hii kitu bn
@itugitv You didn't ask him if he found his wife upon release
Sa unashidanga ukicheka nn ghasia,haubambi
Huyu na maparaa ndio mingi na majifuno
Ati anaskianga kamiti,kamiti kwa majambazi sugu ,,,,,,,,,,bado nacheka
Stenje
Napenda that hood....noma sana chapa kaxi
Uongo mingi sana na chocha😂😂😂
Leo nimebambika mtoto WA sonko.
He looks like dredede, must be of good vibes
Kwani si yeye?😂
Thought even ni yy
@@nicholaskartel3375you could have checked the time i commented. If keen i wrote it long before it went on air
@@Degas124 buda mi si time keeper 😄
@@nicholaskartel3375 thank you and have a good day
😂😂😂
Wee ndree ndree wewe
Ako na hao marafiki wote jela na yeye sio mwizi? Birds of the same feather.
Mbona wasitoe mtoto Wa 6months kwa kitanda and the search is rough?
Sijai skia mtu ana request kwenye ataplaciwa na wanakubali.
Uki placiwa unakujiwa na mkubwa wa hiyo block which ni mfungwa bado akupeleke. Unasema wewe ni first time unaachiliwa utembee pekee yako? Nani anatembeanga peke yake jela na unafwatwa kila mahali.
Remandee anapelekwa aje block ya watu washa hukumiwa? Remadees wako na side yao.
Mbona venye uliskia unaenda kamiti unaogopa na yet unajua uko na mbogi uko? Huyu anakwambia usunde pesa kwa nguo yako ya raiya na hiyo nguo itabaki kwa ofisi upewe kunguru?
The story has very many loose ends
uongo
I did not watch this interview because the interviewee has always shared his experience but with a lot of lies. The guy left prison 2013 and a lot have changed in prisons and his experience no longer count. He has has capitalised his tricks for sympathy . For this interview itugi TV thumps down👎.My advise to him is that he needs to commit another crime that will take him back to prison,2035 come back give us a new edition 😂
So he was actually guilty?
Then he narrated his experience to 2013 wewe umetoka juzi kuja kwa mtoto wa sonko utwambie venye kumechange🤣🤣