MC PILIPILI ASHINDWA KUJIZUIA AMLILIA MAMA YAKE 'BADO SINA UJASIRI WA KUMUITA MAREHEMU/MAMA AMKA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 593

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akutie nguvu. Hii njia haijawahi kuwa rahisi wala kuzoeleka. Mungu amlaze mahala pazuri.

  • @momobakari9588
    @momobakari9588 3 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amani mama, mungu akupe subra mc pili pili na familia yako katika kipindi hiki kigumu,pole sana pilipili

  • @pancraskazimoto3028
    @pancraskazimoto3028 3 ปีที่แล้ว +1

    Inaumiza mnoooo. Pole sanaa ndugu no one like Mama kwenye hii Dunia. Akapumzika Mahala pema peponi Mama.

  • @dianamkita6571
    @dianamkita6571 3 ปีที่แล้ว +13

    Pole sana MC Pilipili na familia,,,Jipeni moyo mkuu..Mungu atawashindia.

  • @marynyerere919
    @marynyerere919 3 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana mwanangu, Mungu akupe ujasiri. Ameondoka ni mapema lakini kumbuka Mungu ni Baba wa Yatima. Be strong.🙏🏾

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana bro,mama anabeba nafasi kubwa ktk maisha ya mtoto,mama ni mtu pekee anaeweza kukupokea wakati jamii imekuchoka,mama ndio mtu pekee anaethamini na kujali maumivu na mazuri yako,mama ndie mtu alieweza kutunza ukuaji wako wakati ukiwa mwilini mwake hadi unapata umri wa kuacha ziwa lake na wakati mwengine hadi unapoweza kujitegemea au maisha yako yote

  • @benjaminmushi2780
    @benjaminmushi2780 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole saana kakayetu kwa msiba mzito,Ila Ni Kama wazo tu ifike muda video Kama hizi zikae kwa muda was kipindi Fulani mtandaon na zifutwe maana kwa mtazamo wangu naona Kama zinakuwa zikii umiza watu kwa kukumbuka kumbukumbu mbaya kifo sikitu kizuri!!!

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 ปีที่แล้ว +23

    Pole mc pilipili, kwa msiba ,mungu amuweke mama Pema penye waja wake wema 😭😭

    • @milkermbilinyi2896
      @milkermbilinyi2896 3 ปีที่แล้ว

      Pole Sana kweli nimejisikia machozi yananitoka MUNGU awe faraja kwako ndugu yangu

    • @bethmsigwa6742
      @bethmsigwa6742 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana

  • @janekichonge4957
    @janekichonge4957 3 ปีที่แล้ว +6

    Pole ni saana jamani imeniuma saana mpaka tumelia hapa ujeruman mungu ampumzishe kwa amani na nyinyi watoto mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana kaka Mungu akutie Nguvu poleni wafiwa wote Mungu awape faraja

  • @christinanickison1363
    @christinanickison1363 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika umenikumbusha siku mama yangu alipofariki ni kama vile wewe yaani sikuyaamin masikio yangu wala macho yangu. Hakika inauma sana. Pole sana kwa wafiwa wote.

  • @monicameela3796
    @monicameela3796 3 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana Mc 😭😭😭😭😭😭 Mwenyezi Mungu awakumbatie na kuwafariji

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 3 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana wafiwa! Polen sana wanafamilia! Allah Awape subra katika kipind hiki kigumu kwenu. Tunamuomba Mola Awarehemu mama zetu wote huko walipo akhera_Amiin. Inauma sana ila kazi ya Mungu huwa haina makosa siku zote.

  • @asteriajohn4755
    @asteriajohn4755 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaah...pole sana mc pilipili Mungu akutie nguvu ktk kipind hiki kigumu.

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 ปีที่แล้ว +10

    I can't imagine loosing my mom 😢😢😢😢 sorry MC pilipili . Receive Divine healing From our Lord Jesus Christ 🙏🏼

    • @afrigrowers
      @afrigrowers 3 ปีที่แล้ว

      kwakweli its tooooo painful haki vile yaani ni kulia milele na wala sitaacha kulia mm 7 years bado naliaga tu kila nikikutwa na huzuni au furaha

  • @crepinakatundu1831
    @crepinakatundu1831 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa msiba mzito Mc Pilipili.Mwenyezi Mungu akutie nguvu kwa kipindi hiki kizito.

  • @mariamsingo9910
    @mariamsingo9910 3 ปีที่แล้ว +4

    Pole Kaka, maisha ya mwanadam yana Siri nzito sana hakuna aijuae kesho yake. Pole kwa familia yote kwa ujumla hakika umejua kuniliza

    • @jamilajamila4572
      @jamilajamila4572 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭Jamani pole sana ms pilipili haki nimejiskia vby mno

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 ปีที่แล้ว +21

    Inauma kwa kweli, pole sana kaka!

  • @pienicolaus2952
    @pienicolaus2952 3 ปีที่แล้ว

    Nmeishia kulia tu ,Mungu pekee maan hii huwa ni tofauti kabsa,Mungu awatie nguvu

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 3 ปีที่แล้ว

    Brother pole sana ,umenifanya nilie.Mungu akutie nguvu,ninajua thamani ya Mama, uli mtesa kwa kila namna ukiwa mdogo, lakini hakukuchoka una kila sababu ya kulia brother, pole, pole,poleeeeeee.

  • @priscamagambo5320
    @priscamagambo5320 3 ปีที่แล้ว +15

    Isee pole sana mc pilipili,ningumu sana ,Mungu awape faraja familia yote daa!!!!

  • @danfordjackline9426
    @danfordjackline9426 3 ปีที่แล้ว +11

    Pole bro,mungu akakupe moyo wa ujasiri ktk kipindi hiki kigumu

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 3 ปีที่แล้ว

    Pole saana baba. Mungu ampokee kwa amani.

  • @veronicaoman8764
    @veronicaoman8764 3 ปีที่แล้ว

    Daaa pole sana mc pilipili umeniliza sana Mungu amtangulize mbele ya hani mama ako kipenzi pole sana

  • @julianakarani3134
    @julianakarani3134 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka kwa kweli hicho kiatu ni kizito sana,bwana Yesu akawe mfariji wako.

  • @edidhabyokyashula3619
    @edidhabyokyashula3619 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana mc pilipili Mungu akutie nguvu

  • @AnnKk-sj8ij
    @AnnKk-sj8ij 3 ปีที่แล้ว +11

    Mc PiliPili pole sana take heart .R.I.P. Mum.🇦🇪🇦🇪+254

  • @elizabetbaraka6036
    @elizabetbaraka6036 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana. Mungu akutie nguvu

  • @ziadasalim1459
    @ziadasalim1459 3 ปีที่แล้ว

    Dah pole Sana Kaka kazi ya Mungu haina makosa jikaze inauma jamani

  • @Sandra39823
    @Sandra39823 3 ปีที่แล้ว +7

    Kumpoteza mama ni maumivu ambayo hayaishi kamwe, pole kakangu, Mwenyezi Mungu ameweke maali pema peponi

    • @shumbusho8579
      @shumbusho8579 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa! Wa kwangu amekwenda miezi 3 iliyopita lakini kila siku ni msiba! Nani kama mama

    • @ummuqaasim5227
      @ummuqaasim5227 3 ปีที่แล้ว

      Miezi ? Mie Nina miaka Ila bado

    • @wemapanga1547
      @wemapanga1547 3 ปีที่แล้ว

      Dah jamani mama anauma kuliko kitu chochote, natamani nipige hata cm kumbe hayupo tena

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +10

    Poleni sana, mimi pia nimepoteza my family member,miezi 2 uliyo pita kwa ajali ya boda boda, RIP mama mc pili pili

  • @fautz9778
    @fautz9778 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimelia Mimi jmn huyu mama kaniuma sana hanijui simjui ila nilikuwa nikimpenda tu kupitia mc pili pili pole sana kaka mungu akupe amani ya moyo 😭😭😭😭😭💔💔💔💔

  • @lizymsuta4594
    @lizymsuta4594 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mgogo mwenzetu kwa kuondokewa na mama

  • @neemakaranje3823
    @neemakaranje3823 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana kaka poleni wafiwa kweli msiba unaumaa sanaa Mungu awafariji maana faraja yake yapita faraja ya wanadamu Mungu awatie nguvu.

  • @winfridapeter969
    @winfridapeter969 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimejikuta naungana nae kilio,nimemkumbuka MAMA yangu kipenzi😓😓😓,pumzikeni MAMA zetu na nuru ya bwana MUNGU itawale 🙏

  • @gracenjeri2035
    @gracenjeri2035 3 ปีที่แล้ว

    You made me shed a tear...may God strengthen you Mc Pilipili...pole Sana kea msiba.RIP Mama Pilipili

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 3 ปีที่แล้ว +7

    Mwenyezi MUNGU awape nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu 🙏

  • @priscamasanga7038
    @priscamasanga7038 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana classmet wangu kwa kuondokewa na mama

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas7673 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka kwa msiba mzito, Mungu akawe mfariji wenu

  • @pendojohn5759
    @pendojohn5759 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana Mungu awape pumziko la milele mama zetu

  • @annamashiri3921
    @annamashiri3921 3 ปีที่แล้ว

    pole mc pilipli najuwa maumivu yakuondokewa na mzazi. umeni bugujisha machozi kwa maneno hayo. pole sana endelea kum ombea mama tutakutana kwamungu.

  • @minsharley3926
    @minsharley3926 3 ปีที่แล้ว +6

    Daah,poleni sana,hadi nmeshindwa kujizuia kutoa machozi😭😭😭😭😭😭

  • @verymangapi2754
    @verymangapi2754 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana ,poleni sana Mungu awatie nguvu

  • @ashamikidadi6749
    @ashamikidadi6749 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana pili pili hayo ni maisha ambae tunayoipita ote kwa pamoja

  • @beatricemapembe2595
    @beatricemapembe2595 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah! Poleni sana wapendwa. Mungu awape faraja ya kweli

  • @yusinambingamno9633
    @yusinambingamno9633 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana mc pilipili mungu akutangulie

  • @chantalnizigama5012
    @chantalnizigama5012 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭poleni sana.lnauma saana hata mama yangu alifariki ghafula tarehe 19/12/18. Naelewa maumivu yenu. Pole 😪😔😔😭😭😭🙏

  • @rosemarykuni6596
    @rosemarykuni6596 3 ปีที่แล้ว +13

    Pole Sana brother, jina la bwana lihimidiwe milele.

    • @fromenahamisi8467
      @fromenahamisi8467 3 ปีที่แล้ว

      pole sana mc pilipli kwa kuondokewa na mama yako kipenzi

  • @samwelntevi9620
    @samwelntevi9620 3 ปีที่แล้ว

    Pole Bro Mungu akutie Nguvu kwenye kipindi kigumu Kama hichi Cha Majonzi tupopamoja sanaaa bro

  • @ashaaaron6038
    @ashaaaron6038 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana Kaka kwa kuwapoteza watu mhim sana kwenye maisha

  • @Styner356
    @Styner356 3 ปีที่แล้ว +16

    So sad!!! Pole sana kaka Mungu awatie nguvu jamani

    • @pilikhamis2924
      @pilikhamis2924 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana kaka yangu ina uma sana mungu amuondoshe azabu ya kabri innalilahiwanlarajinn

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 ปีที่แล้ว

    Pole msiba hauzkeleki eeee mungu wapokee wajaa wako Ameen

  • @shamalhabsi3563
    @shamalhabsi3563 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana na msiba allah ailaze roho yake mahala pema pepon

  • @nkambajohn2048
    @nkambajohn2048 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana MC pilipili sote ni wa Mungu na kwake tutarejea!!Mungu akutie nguvu!!

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mungu akutie nguvukatika kipindi kigum

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭daaa jamani pole sana mc pilipili Mungu akufute machozi yako unayomlilia mama yako mpendwa Mungu wa mbinguni aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho.R.I.P mama mbele yako nyuma yako pumzika kwa amani.

  • @namsifumihungo86
    @namsifumihungo86 3 ปีที่แล้ว +5

    Pole Kaka,lkn Mungu ni mwema uliandaa safar ya mama kwa Mapenzi ya Mungu..Jipe moyo kaka,Mungu amekupa nafasi na mama yetu

  • @credentialegidy5959
    @credentialegidy5959 3 ปีที่แล้ว +7

    Daaa hadi machozi yamenitoka. 😢 pole sana.... Mbele yetu nyuma yake

    • @stellakigomba7648
      @stellakigomba7648 3 ปีที่แล้ว

      Poleee ninalia mm pole sanaaa mama mama anaumaaa jamaniii

  • @dianangailo9878
    @dianangailo9878 3 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana wanafamilia Mungu awape nguvu wanafamilia wote, pole Sana pilipili

  • @numpemwansasu4492
    @numpemwansasu4492 3 ปีที่แล้ว +23

    Pole sn, ngumu kuipokea lkn hatuna namna, mapenz yake yatimizwe

    • @khadijaabdallah4687
      @khadijaabdallah4687 3 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @uladaonline9630
      @uladaonline9630 3 ปีที่แล้ว

      KAKA NA DADA WAFUNGA NDOA BILA KUJUANA
      👇👇👇
      th-cam.com/video/-jcQDn_0m-Y/w-d-xo.html

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 3 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana mc pili pili namuomba mwenyezi mungu amlaze mahala pema

  • @hjhj6230
    @hjhj6230 3 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah wainna ilah rajiuun. Poleni saana kwa mcba mzito

  • @glorykalunga4849
    @glorykalunga4849 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka Mungu akutie nguvu katika wakati mungum unayo pitia pole sana

  • @magejosia9026
    @magejosia9026 3 ปีที่แล้ว +6

    Daaaah mungu akupe moyo wa uvumilivu inauma sio kidogo jmn pole saana mc

  • @elishangomele9937
    @elishangomele9937 3 ปีที่แล้ว

    Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, pole sana mc pilipili maumivu ya msiba hayajawahi kuwa mepesi mungu amutie nguvu MC pilipili na family yake

  • @asheilla
    @asheilla 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa msiba mc mzuri

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainnaillah rajiun allah amsamehe maovu yake amina yarabi pole kaka allah akupe nguvu ktk kipind hiki kigum kwako jmn nimekumbuka ck alonitoka mama yng ni maumiv kaka achen

    • @mariajohn123john5
      @mariajohn123john5 3 ปีที่แล้ว

      Daaahh polen sana wafiwa nimejikuta nalia kwa kweli msiba usikie hivyo Kwa mwenzio

    • @angelgerald7562
      @angelgerald7562 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว

      @@angelgerald7562 ndio mwisho wa mwanadam ndg yng njia yetu wote japo wametangulia

  • @margareosoro1875
    @margareosoro1875 3 ปีที่แล้ว +11

    Pole sana ndugu May God give you strength and comfort

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwendo wameumaliza salama ,,,sisi je Ee mwenyezi mungu tupo mwisho mwema,,poleni sana wafiwa ,,ni ngumu sana kuamini ila Kazi yake haina makosa

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 3 ปีที่แล้ว

    Dahhhhhhh inauma sana poleni sana kwa kumpoteza mama enuu apumzike kwa amani

  • @oscarcharles9269
    @oscarcharles9269 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana bro.pumzika kwa amani Mama yetu

  • @danifordrobert4849
    @danifordrobert4849 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu mtumishi

  • @catherineamos7087
    @catherineamos7087 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana Mc Pilipili inauma sana

  • @segolinamkojers8437
    @segolinamkojers8437 3 ปีที่แล้ว

    Duh pole sana mc pilipili inauma sana mwenyezi Mungu akufanyie wepesi

  • @jafarijumanne2404
    @jafarijumanne2404 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana Kwa kipindi hichi kigumu MC pilipili

  • @nancyrahim4165
    @nancyrahim4165 3 ปีที่แล้ว

    Poleeeee sanaaaaa mungu awatie nguvuuuuu

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 ปีที่แล้ว +28

    Poleni sana akiamungu nimeshindwa kuzuia machozi 😭😭😭😭😭🙆‍♂️

    • @frankdngoma1174
      @frankdngoma1174 3 ปีที่แล้ว +1

      Daah pory ndugu yangu mc pilipili kazi yamungu hainaga makosa mungu airaze roho pema peponi amina

    • @pendondossy4181
      @pendondossy4181 3 ปีที่แล้ว +1

      Pole mc

    • @pienicolaus2952
      @pienicolaus2952 3 ปีที่แล้ว +1

      Hat mm nimeshindwa inauma sana

  • @mrwesyande7163
    @mrwesyande7163 3 ปีที่แล้ว +1

    Polen Sana familia nzima

  • @christophermwikwabe3164
    @christophermwikwabe3164 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana mc Mungu akupe ujasili wa kuyapita haya magumu

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah Pole Sana, ila steve Nyerere anajitoa sana Mungu amzidishie

  • @zakariakamala6184
    @zakariakamala6184 3 ปีที่แล้ว

    Pole ndugu mungu kampenda zaidi

  • @مونىكينيا
    @مونىكينيا 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kazi ya mungu haina makosa

  • @felisterswai6897
    @felisterswai6897 3 ปีที่แล้ว

    polen sana mbele yake nyuma yetu mungu awatie nguvu wafiwa wote

  • @remyndaribike3964
    @remyndaribike3964 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ampokeee mahari pema Peponi

  • @hadijayusuf3888
    @hadijayusuf3888 3 ปีที่แล้ว +5

    Imeniumaaa Poleni Sana Yehova Mungu awape uvumilivu

  • @piusjackson7265
    @piusjackson7265 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana Kaka pole Sana Kaka,mungu akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu kwako,inauma Sana Sana.

  • @officialnifer6373
    @officialnifer6373 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka nyeee khaaa yaaan nimeangalia hii hadi chozi limenitoka

  • @victorialuoga6568
    @victorialuoga6568 3 ปีที่แล้ว

    Aiseeee😭😭😭😭😭 pole sana Mc pilipili najua maumivu unayopitia pole sana

  • @babybaby8384
    @babybaby8384 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awajaze subra familia oh inauma sana

  • @pqolai7740
    @pqolai7740 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ndugu mwenyezi Mungu ampe makao mema huko anakoenda 😭😭😭😭

  • @veronicakieguro8032
    @veronicakieguro8032 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimajonzi makubwa, pole xn mc pilipili na familia kwaujumla, tumuombee mama apumzike kwa amani 🙏🙏

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 3 ปีที่แล้ว +8

    Da! Hii kitu uisikie Kwa wengine jamn. Uwiiii nimaimivu mnoooo

    • @happynessmolla1781
      @happynessmolla1781 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha kabisa nililiaga mno😭😭😭

    • @evainnocent9520
      @evainnocent9520 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni Mungu tu nikumkumbusha Wema wake Mungu wakat wamagumu

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka kaz ya mungu haina makosa tumavumbi mavumbini tutarud

  • @adelajaksoni466
    @adelajaksoni466 3 ปีที่แล้ว

    Dah pole Sana Sana mungu yupamoja nanyi

  • @evangunge8348
    @evangunge8348 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee inauma jaman kufiwa na mama😥😥 kila nikikumbuka machozi yananitoka....polen sana

  • @najma3268
    @najma3268 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka mc pilipili kwa kuondokewa kwa mamayako mpendwa

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 3 ปีที่แล้ว

    Nimelia sana.nimemkumbuka mama yangu pia..Mungu awape nguvu

  • @husnakussila693
    @husnakussila693 3 ปีที่แล้ว

    Punzika kwa aman my,, pole Sana kwa familia

  • @sckolacharles525
    @sckolacharles525 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana family

  • @victoriatwinzi252
    @victoriatwinzi252 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana Kaka Mungu awafariji wafiwa wote 😭😭😭