AMINA. Wakristo sisi ni Mabaki Wa Mungu. Tumepitia mengi machungu, kilio, wakati wa njaa lakini Mungu Ana siku Alikuwa Ameweka ili Ajitukuze ndani ya maisha yetu. Kuna wakati Anakaa kando unapitia shida, unaendelea kutembea na magoti na tumbo sio ati Hataki Kukusikia ni kwamba Anataka upite hayo ili wakati Atakuja watajua ulikuwa na Mungu. Hata haya yote tumepitia, Mungu Alitaka tupitie ndio siku Atakuja aitwe Mungu Wetu. Huwezi kuwa na ushuhuda kama hukupitia shida. Mungu Anangojea siku ya leo Aje Afanye muujiza watu wajue kuna Mungu. Tulikuwa tumetegwa ili tukufe na tuishe lakini tukachomoka. Mungu Amekuja Kutuonekania.Mabaki hayatakufa.
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 glory hallelujah hallelujah. Asante Yesu Kristo Kwa Neema hii.
God bless you Bishop mwai ..neno mzuri sana
Amen
Amen Amen Amen
Amen, Ahsante Mungu kwa ushuhuda unaweka kwa family yangu.
AMINA. Wakristo sisi ni Mabaki Wa Mungu. Tumepitia mengi machungu, kilio, wakati wa njaa lakini Mungu Ana siku Alikuwa Ameweka ili Ajitukuze ndani ya maisha yetu. Kuna wakati Anakaa kando unapitia shida, unaendelea kutembea na magoti na tumbo sio ati Hataki Kukusikia ni kwamba Anataka upite hayo ili wakati Atakuja watajua ulikuwa na Mungu. Hata haya yote tumepitia, Mungu Alitaka tupitie ndio siku Atakuja aitwe Mungu Wetu. Huwezi kuwa na ushuhuda kama hukupitia shida. Mungu Anangojea siku ya leo Aje Afanye muujiza watu wajue kuna Mungu. Tulikuwa tumetegwa ili tukufe na tuishe lakini tukachomoka. Mungu Amekuja Kutuonekania.Mabaki hayatakufa.
Amen 🙏🙏
Mnikumbuke kwa maobi nalala kwa kibada mahali nauzia nguo sina nyumba ya kukaa 😢😢😢😢😢watu wa Jesus winner mnikumbuke maobi
Amen neema ya bwana ikae ndani yangu
Thankyou God
God is good 👏👏🙏
Ameeeen ,neema initetee
Baba yangu ananipea God wacha tushuutie hii mwaka,,, hii maubirihitimie kw watoto WA angella n generation yake
Jvloc
Yz, cdhjcxvb
Amen
Amen Amen
Amen
Amen Amen
Amen God is good all the time waiting God to remember me hapa kirinyaga
Amen amen
Amen 🙏
Amen
Amen Amen
Amen
AMEN
Amen 🙏
Amen and amen amen
Amen
Amen Amen
Amen