AMINA. Wale walituroga wakatwambia haiwezekani kwa Mungu Inawezekana. Musa akikuja maisha yanabadilika. Wale walituacha nyuma watatupata mbele. Jehovah Akisema hakuna wa kubadilisha. Wale walisema tutaisha na tutakuwa watu wa nyuma, hatutakuwa wa nyuma tena tutakuwa wa mbele. Musa analeta habari nzuri. Mungu Anaweza Badilisha maneno yawe mazuri. Yale maisha tunaishi yametawanywa.Tumetawanyika, tunaishi maisha ya shida na tumesambazwa. leo tunabarikiwa, mikono yetu itabarikiwa, na kazi zetu zitabarikiwa. Hatutasambaziwa,bali sisi ndio tutasambaza. Maisha ya kusambaziwa inaondoka kwa mikono yetu. Walianza na kuturoga lakini tutamalizia na baraka.
AMINA. Watu wengi wamelaaniwa na wazazi wao, either ni mzazi wa kiroho ama mzazi wa kimwili. Wakati mzazi wako ameongea mambo yaliyo kinyume nawe yanakushikanga na yanakufanya uishi kwa shida. Kile utapanda na ulimi utavuna. Ulimi uko na baraka na uzima wa milele na uko na kifo na mauti. Shida ni tulirogwa na pengine tukakosa mtu wa kuturogola lakini leo Musa anakuja. Hatutarogwa tena, tunarogolwa! Hakuna kitu kizuri kama baba anajua watoto wamerogwa na anawarogola na anajua ni msaada mkubwa. Jehovah Ashuke kama vile Alishuka ndani ya Musa na hayo maneno yote yaondoke. Watu wanaona wametuinamisha na tutaishi kwa mchanga kama nyoka lakini Mungu Anatuinua.
Mungu nikumbuke
Hallelujah 🙌🙌

Amen
Amina
Amina thank you papa.always taught us good
Amen
True
Ahsante kwa kutuelimisha, jina la YESU KRISTO litukuzwe na MUNGU apokee sifa
Hawaniwesi
AMINA. Watu wengi wamelaaniwa na wazazi wao, either ni mzazi wa kiroho ama mzazi wa kimwili. Wakati mzazi wako ameongea mambo yaliyo kinyume nawe yanakushikanga na yanakufanya uishi kwa shida. Kile utapanda na ulimi utavuna. Ulimi uko na baraka na uzima wa milele na uko na kifo na mauti. Shida ni tulirogwa na pengine tukakosa mtu wa kuturogola lakini leo Musa anakuja. Hatutarogwa tena, tunarogolwa! Hakuna kitu kizuri kama baba anajua watoto wamerogwa na anawarogola na anajua ni msaada mkubwa. Jehovah Ashuke kama vile Alishuka ndani ya Musa na hayo maneno yote yaondoke. Watu wanaona wametuinamisha na tutaishi kwa mchanga kama nyoka lakini Mungu Anatuinua.
Amen 🙏🙏🙏
Hallelujah
God remember my wombs
Amen
Amen