MUHIMU KWENYE RUFAA NA MNAVYOTAKIWA KUFANYA ILI KUKTA RUFAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @AbuuNilan-e4c
    @AbuuNilan-e4c 2 หลายเดือนก่อน +2

    KWA SASA TUKIWEKA RITA VERIFICATION INAANDIKA SIOO

    • @Therapist_kicha
      @Therapist_kicha  2 หลายเดือนก่อน

      Hapan jaribu tena....itakuwa network haikuwa vzur ila verification code unatumiq hiO hizo..kama za ku apeal

    • @rechomtani3033
      @rechomtani3033 2 หลายเดือนก่อน

      @@Therapist_kicha nauliza kuhusu kwenye akaunti ya benk

  • @Hamissamwely-m9k
    @Hamissamwely-m9k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kuhakiki vyeti kwa mara ya pili au??

  • @EutropiaMbekenga
    @EutropiaMbekenga หลายเดือนก่อน +1

    Majibu ya appeal yanachukua muda gani?na mimi nimeshaappeal ila mzazi akuandika kujitetea nimeeka ya mtendaji tu nifanyeje?

    • @Therapist_kicha
      @Therapist_kicha  หลายเดือนก่อน

      Wew umeshatuma maomba ..inabidi usbiri matokeo

  • @JANETHANDREA-h8f
    @JANETHANDREA-h8f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kuuliza Mimi wazaz wangu wote wamestaafu lakini hawana utambulisho wa mfuko wa hifadhi ya Taifa ya jamii yaan Tasafu vipi apo siwezi kuambatanisha barua zao tu za kuustaafu

    • @Therapist_kicha
      @Therapist_kicha  2 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kuambatanisha hamna shida

    • @JANETHANDREA-h8f
      @JANETHANDREA-h8f 2 หลายเดือนก่อน

      @Therapist_kicha Asante nashukuru sana

  • @IbraMwampulule-w2g
    @IbraMwampulule-w2g หลายเดือนก่อน +1

    Nifanyeje mm ambaye nimekata rufaa lakin sijapata majibuiu Bado sijapata na nikienda kwenye account yangu nakuta haijabadiliki

    • @Therapist_kicha
      @Therapist_kicha  หลายเดือนก่อน

      Hapo...inabidi ukubali matokeo..ndugu yangu

    • @IbraMwampulule-w2g
      @IbraMwampulule-w2g หลายเดือนก่อน

      Kwan mwisho wa kutoa majibu ya rufaa ni lini kaka ang

  • @Vinnyvirtual
    @Vinnyvirtual 2 หลายเดือนก่อน +1

    kaka mbona form ya kuapeal inatoka ya mwaka jana.

    • @Therapist_kicha
      @Therapist_kicha  2 หลายเดือนก่อน

      Ya kwako inatoka ya mwaka jana

    • @Vinnyvirtual
      @Vinnyvirtual 2 หลายเดือนก่อน

      @@Therapist_kicha ndio make nilikosa mwaka jana nikaskip nikomba tena mwaka uu account inaandika no approved so nahitaji kuapeal inaniletea form ya mwaka jana niliotumia kuapeal mpaka picha ya mwaka jana

  • @rechomtani3033
    @rechomtani3033 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona tulio pewa mikopo kwenye akaunti hakuna kitu mpaka lini?

    • @Therapist_kicha
      @Therapist_kicha  2 หลายเดือนก่อน

      Subirini muwek3ww disbursement

  • @MATILDASAMSON-q6r
    @MATILDASAMSON-q6r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Majibu wanaanza kutoa lini??? Hayo ya wale walio appeal

    • @Therapist_kicha
      @Therapist_kicha  2 หลายเดือนก่อน

      Baada ya wiki moja adi mbili

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama umekosea na imesha kua submitted kuna namn ya kurekebisha!?

    • @Therapist_kicha
      @Therapist_kicha  2 หลายเดือนก่อน

      Hapana hamna namna ya kurekebisha

    • @JackoboKasele-l8p
      @JackoboKasele-l8p หลายเดือนก่อน

      VP Kam hujasain na umeisha upload inakuwaje?