Nafikilia kuwa kila mila kuna tofauti jinzi ya' kuimba kwa udhamatuni wao! Mgoni,mnyamwezi Mzulu kwa kila mtu na njia yake!" Nafikilia kuwa ni vyema kusikia ujimbe ulioko kwa wimbo mwenyewe?!.
Bora huku mastepo cyo sana kuna ile walikuwa kanisan mpaka wanaruka sarakas na wimbo ndo hu huu lakin huku umesikika vizuri sana kushinda ile ya kanisan
BIG UP, pigeni injili ya kristo, anae wakosoa kwa step hizo, ana wivu kinyongo na hasira, HANA UVUMILIVU, PIGA INJILI IWAFIKIE WENGII, MBARIKIWE SANAAAA
Ole wetu ambao tumejaliwa kinywa na sauti hatutaki kumuimbia Mungu zaidi kwamba tunawavunja moyo wanaomwimbia kwa kuwakashifu,kuwabeza/Kuwakejeli na hata wengine kutukana.Endeleeni kumuimbia Mungu mliojaliwa wapendwa wimbo ni mzuri,mwenye masikio na asikie!!!!!!
Nmeanza kukoment hata kabla wimbo kufika nusu. I love the drama, the enthusiasm, zaidi ya yote sauti zenye mvuto. Aisee sauti mmejaliwa. Such a blessing. Keep it up.
Nimeipenda kazi yenu ya uimbaji mungu awabariki katika karama hii ya uimbajii mko vizuri sana wala msikate tamaa ili mfike mbali zaidi mungu abariki kazi ya mikono yenu
Kwa video nzuri zaidi fuatilia link hii: th-cam.com/video/c-yJ9lFynOY/w-d-xo.html
Bal
NAPENDA NYIMBO HIZO
Brilliant voice and powerful God bless you more
I'm blessed by your beautiful songs hevnly gospel song be blessed 🙌
Mungu wabark sn kwa kazi nzuri mungu azd kuwainua sn
From Kenya ...this choir nailed it
Barikiweni sana yaani mwatisha hata shetani kakimbia
Huu wimbo nimeupenda sana kutoka Kenya
Achen wenge mnaimba vzr step mnaharbu
Kwa kweli labda wanasindikiza Shetani hapo sawa
Wow wow wow nawapenda
Wimbl Bora kabisa, mungu awtangulie
Wimbo mzuri sana na unaishi sanaa natamani mrudie video nyingine Mungu awabariki saba
Sizipati nyimbo kama Mungu mkuu na Aliteteseka
Kukata viuno kupiliza siyo kumtukuza Mungu, mlihitajiii mpate wa kuwatia Mimba.
Nafikilia kuwa kila mila kuna tofauti jinzi ya' kuimba kwa udhamatuni wao! Mgoni,mnyamwezi Mzulu kwa kila mtu na njia yake!" Nafikilia kuwa ni vyema kusikia ujimbe ulioko kwa wimbo mwenyewe?!.
Ni kwa neema ya Mungu tunahishi
Huu Wimbo unaujumbe mzuri Sana. Ila stepu ya kunyonga viuno cjabalikiwa kabisa. Lekebisheni. Hatakama mkiimba mmesimama bonge la ujumbe.
Bora huku mastepo cyo sana kuna ile walikuwa kanisan mpaka wanaruka sarakas na wimbo ndo hu huu lakin huku umesikika vizuri sana kushinda ile ya kanisan
Moto sana hii...Baraka kwenu, wimbo mzuri sana...
God bless you mvumiliu its good song
Hongeren sana na kazi nzur sanaaaa
Waooo nice song hao vijana wako na moves kweli mmbarikiwe sana
mbarikiwe muendelee
Sauti nzuri sanaa dada zangu n kaka nzangu ❤❤❤
Ujumbe umenigusa sanaaaaa nashindwa ata itakuwaje
Nice song,God bless you .Ni Mungu wa huruma kweli
Tanzania I love you people. Nyimbo zenyu ni nzuri sana. ZIna ujumbe tele na zinatuliza moyo na mawazo. watching from +34
Karibu sana tanzania
BIG UP, pigeni injili ya kristo, anae wakosoa kwa step hizo, ana wivu kinyongo na hasira, HANA UVUMILIVU, PIGA INJILI IWAFIKIE WENGII, MBARIKIWE SANAAAA
hongera sana watu wa mungu nimependa huu wimbo.mungu awape nguvu xana.
Mko vizur mungu azid kuwajalia afya njema pamoja na kutungia nyimbo nzur zingine zenye ujumbe mzuri zenye madil
I feel touched by this so much 😍❤️
Kweli Mungu ni wa Huruma tena sana..Wimbo huu umenibariki sana.
Kuimba mumeimba vizuri lakini mumeharibu na kukata kiuno! Next time check on that! Mungu hawabariki! Watching from +254
@Douglas Mapunda Mungu hasifiwi hivyo acha kupotea
Hahakika huu wimbo umetuliasanaa unamafundisho mazulisana mungu awabalik sanaaaa mzidi kufanikiwa kwa kilajabo naubendasanaa
Mmeimba vizr ....hongera saana
watanzania nawapenda Sana kwa nyimbo zenu Ni za baraka kuu Sana kutoka kwenye biblia,huwa hata natamani ningekuwa mtanzania napenda nyimbo hizi sana
Amen twakupenda pia
Gracious Nekesa karibu tz
Karibuni kenya mlete hii injili humu.napenda hyo dance
njoo tz
Mkovizuri mungu awaongoze
Mungu awapandishe kwa viwango vingine .
amen
Mmeimba jamani Step ndiyo balaa mmetisha HONGERA zenu sana nimewakubali nyie Namba ONE
Nikweli mungu awabariki na nyimujikazesana ilemoto inakuja
Wimbo nzuri ya kumtukuza Mungu. Ninatasama nikiwa Kenya
Waowao tunawapata kutoka kenya barikiweni
amen
Kweli mungu kwetu Ni mvumilivu sana
Mutuwekee Kimbia dhambi mi napenda that song kweli. Anyway mubarikiwe na Mungu.
Ujumbe mzito na WA maana sana kupitia wimbo huu. Eeh mwanadamu makinika sana
So nice...ningekuwa manzoni ningewatafuta niwajoin
❤️❤️❤️🍃nimewapenda whue,,, wabarakiwe wherever they are.
amen
Napenda kuangalia hi nyimbo hakika wewe Ni mvulivu angekua binadam angenichoka lakin wewe wanivumia Sanaa🙏🙏
Wimbo mzuri mbarikiwe watumishi
This is an inspirational song from the Lord. Wenye masikio na wasikie chenye roho anaambia makanisa. Mungu awabariki nyote.
Amen
Waaaa mubarikiweni saana watoto wa mungu ,,,, haaleluya pakweli kabisa
Watching nikiwa Saudi arabia very touching
Erin Keniya pamoja
Ole wetu ambao tumejaliwa kinywa na sauti hatutaki kumuimbia Mungu zaidi kwamba tunawavunja moyo wanaomwimbia kwa kuwakashifu,kuwabeza/Kuwakejeli na hata wengine kutukana.Endeleeni kumuimbia Mungu mliojaliwa wapendwa wimbo ni mzuri,mwenye masikio na asikie!!!!!!
Hongereni sana kwa kazi nzuri sana hadi mwili unanisisimka
😘😘😘😘😘. Mbarikiwe sana
Ujumbe mzuli .Mubalikiwe .kwa upande wandu nimeishangaa hiyo densi
Goodqrac
Kl
Goodqrac k
Nimeipenda mbarikiwe watumishi
Nzuri San jmn barikiwen San watumish kun ujumb nzur apo❤❤❤
God bless them na tuwe wafumilivu
Nimzur sana nimewamisi kwaya yangu brandina
God bless you all , you blsd me you gays. Pst loseph from Kenya.
Mungu amevumilia hata uchezaji wenu
Kweli mungu nimvumilivu Sana kwa mengi mabaya tunamkosea lakini ameendelea kutupa muda wapendwa tumtafute mungu kwa bidii
Aisee nyimbo nzuri sana mubarikiwe
Utukufu kwa Mungu, mmenibariki Sana mzidi kubarikiwa pia.
Huu wimbo unibariki sana.
Good song indeed. Tunaishi kwa NEEMA🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Haki nimependa Sana huu wimbo unanibariki sana hongereni sana wapendwa.
Masteps! keep it up. Message,, just as good
Hatari sana kwakweli kwa yesu Raha sana
Dada hongera sana unaimba vixuri mno mshairi dah. Wimbo ukweli mtupu jmni wanibariki sanaa. Asanteni wapendwa wa Mungu
nimeipenda sana japo cjui kwaya gan imeimba
Wanaitwa Heavenly Singers wapo Ukonga Banana E.A.G.T
Nawapenda sana jamani mbalikiwe sana
Lkn ujumbe nzur nimebarikiwa mbalikiwe sana watumishi
Sio kwa mauno hayo, mpunguze watumishi wa Mungu
Nmeanza kukoment hata kabla wimbo kufika nusu. I love the drama, the enthusiasm, zaidi ya yote sauti zenye mvuto. Aisee sauti mmejaliwa. Such a blessing. Keep it up.
Interesting song keep it up
safisana nimewakubali sana munguyupamoja nanyinyi
Mungu awabariki watumishi✋✋✋✋
Wow you did very well so much Mungu awabariki na kuwalinda
mmenikumbusha mbal sana heaven singers banana kwa anton mkama nilikuwa nasal hapo lkn saiv niko mwnza nimewamiss sana mko vzur mbarkiwe
4.4.2020
naendelea kuangalia hii nyimbo dah iko poa sana
Ubarikiwe Dada uvumilivu
from kenya ❤am so great
Hiyo ni training Kali sana mungu awabariki
Ee hyo nyimbo dziri lakin mbona mvae kama waganga jamen?
Safi sana,Yesu awabariki
Ni kweli huu wimbo umenibariki
Huu wimbo unanibariki sana kutoka kenya❤
kazi nzuri mno.huyo mdada anasauti nzr mpaka basi.mbarikiwe
mungu awabalikia sana azidikua watia nguvu mzidi kosonga mbele msiludi nyuma
I love this song congratulations
Hii wimbo ina mafunzo makubwa mungu awabariki sana wapendwa
Watching from Nakuru Kenya, I love this gospel so much . be blessed . Ni mahangaiko na kidumbwedumbwe. AMEN
Mungu awape ulinzi wake
Cheers! Hongereni sana wapendwa
Hiii nyimbo inaitwaje jamani
Mubalikiwe vijana nafaidika kiroho kbsa nawapenda siku moja ebu muje hapa kigali
Hongereni kwa kumtukuza mungu wa mbinguni kwa nguvu zenu Zote na akili zenu Zote mubarikiwe na bwana
Naomba kuulizza. Walioimba wamevaa magaun ya vitenge. Nihawa hawa au wengine. Wimbo huu huu.
Nihawahawa
Ni hawahawa Moses
Ndo hawa hawa huku wimbo umeeleka halafu ujumbe wao mzuri sana lakini kule kanisan mm sikuelewa hata kidogo ila huku nimeelewa hku hakuna sarakas sana
Jaman jaman hii choir ni motooooo mimi co
Mpenz wa hizi choir hila hii imenibambaaaa sanaa
Amen keep it up.l have never see this in Tanzania.
ILike that Godbless you in all activeties ilove
Nabarikiwa sana kupitia wimbo huu
Nimeipenda kazi yenu ya uimbaji mungu awabariki katika karama hii ya uimbajii mko vizuri sana wala msikate tamaa ili mfike mbali zaidi mungu abariki kazi ya mikono yenu
Very true now right is wrong and wrong is right , we need Gods mercy
Banana heaven singers nawakubal xanaa ningenkuwa Dar es salaam ningekuwa nanyi,,,,, martin, Davi frank pamoja sanaa jamani
asante kwa ujumbe mzuri mlio utoa Mungu awatie nguvu kwa huduma
Amen
Barikkiweni sana watumishi nyinbo nzuri sana
Thiz song bless ma soul ..every tym i listen to it.
Dah jaman huu wimbo unanitachi