Heka Heka 5/01/2013

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Wiki jana tulikuletea mseto wa matukio yaliyofanyika mwaka ulipita kwenye ulingo wa kisiasa katika makala ya hekaheka.Na hii ikiwa ndio wiki ya kwanza ya mwaka huu, mwanahabari wetu Franklin Macharia anaangazia matukio katika ulingo wa uanahabari, na kukuletea baadhi ya picha za wanahabari wetu ambazo huenda hujawahi ziona.

ความคิดเห็น • 74