BMMM Choir - MAFINGA -YAMETIMIA ( Official Video )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
- Ndugu mtazamaji, karibu utazame video hii ya wimbo wa yametimia ulioimbwa na Kwaya ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni - Mafinga (BMMM).
special kwaa ajili ya wanandoa Credo na Martha wa mjini Sumbawanga
Tafadhali usisahau ku-comment, ku-like, ku-subscribe na ku-share kwa ndugu na marafiki mbalimbali. Karibu sana