WANANIITA MCHAWI NIMEUA WATOTO WANGU 12 |WAO WANAKUFA KAMA KUKU MIMI NABAKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +14

    Pole Bibi yetu Mungu akupe faraja kuondokewa na Watoto 12 ni mtihani.pia jitahidi kufunika na kichwa Bibi yetu

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว +3

      Ili iwaje

    • @bahatihassan5413
      @bahatihassan5413 ปีที่แล้ว +4

      ​@@masalakulwa7601 hivyo alivyojiachia yupo uchi lazima ajifunike vyema nimtu mzima pia

    • @zainabubalama8869
      @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +1

      @@bahatihassan5413 kweli Kabisa

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana jamani watu wana imani mbaya sana kila mzee wamuita mchawi ujana haudumu kuzeeka lazima😢😢😢

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว +1

    Bibi jistili hizo nywele zisionekane jistili mama angu nakupenda kwa ajili ya allah

  • @yusufmarjan8881
    @yusufmarjan8881 ปีที่แล้ว +3

    Allah Atakufanyia Wepesi In Sha Allah 🤲 Na Mitihani Iliokufika.

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 ปีที่แล้ว +3

    Maasha Allah Bibi ninekuornda bure Alla kuhifadhi akupe afya daima na mwisho mwema in sha allah kua unajistir maana Una imaan ya quruan ,,,na quruan inatwambia tujistir Bibi yangu na swalaa swali atakulinda zaid

    • @aminasaidswalehe
      @aminasaidswalehe ปีที่แล้ว +1

      Astakafiru llaah tumuogopeni m mungu jamani wao wanajua hawatazeeka ama mana asahivi wakiona mzee tu hao wasiOkuwa na hofu na Allah wenyewe hawatazeeka labda jamani pole mama m mungu akupe mwisho mwema

  • @saidaal1679
    @saidaal1679 ปีที่แล้ว +2

    Pole bibi na changamoto na hongera kwa kuwa na mwili mzuri ni mkakamavu vizuri

  • @stellakasimba9375
    @stellakasimba9375 ปีที่แล้ว +2

    Pole mama hakuna mchawi aue watoto wooote asibakize hata mmoja kweli?ni mitihani ya dunia majaribu tumeumbiwa binadamu ila afadhali uko na wajukuu Mungu ni mwema 🙏🏻

  • @elizabethbwakila3982
    @elizabethbwakila3982 ปีที่แล้ว +1

    Wote tumeona kama bibi ni nomaa. Lkn tunaogopa kucoment. Hila mmmmmmhh hapana kwa kweli.

  • @shamzone388
    @shamzone388 ปีที่แล้ว +4

    Huyu bibi ni shida tu ndio imemuonyesha mzeee sana
    Miaka 75 sio mingi...

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 ปีที่แล้ว +4

    Mmmm. Mtihani kwakweli lisemwalo lipoooo jamani jamiii zetu za kiafrica kitu km hicho Mimi binafsi sishangai.ila muom ee mungu sana akuvue huo mtihani mkubwaaa sana mwenyez awe pamoja nawewe

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว

    Pole sana bibi' ALLAH Atakujaalia Kheri bibi

  • @ayshasalim-dv8dk
    @ayshasalim-dv8dk ปีที่แล้ว +3

    Yan jaman wengne hatujawaona bibi zetu ata kwa picha alaf watu wanabibi wanamchezea😢😢Mungu atamlpa uyo mjukuuu

  • @asnaathuman4217
    @asnaathuman4217 ปีที่แล้ว +1

    Pole bibi

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 ปีที่แล้ว +4

    Bibi kweli amekonda japo simjui hakuna mchawi wa kuuwa watoto wake wote

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Pole bb kwa huo mtihani wa Nakuambia mchaei wana ushahid gani adhana mbaya
    Mshukuru mungu ila bibi jistili na uswali umshatikie mungu kwa kusingizia mungu atakulipia

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 ปีที่แล้ว

    Pole sana bibi Mungu atakujalia wepesi

  • @nameno8608
    @nameno8608 ปีที่แล้ว +4

    Mtu ukizeeka Sura inabadilika ngozi mtazamo huitwa mchawi lakini bibi yetu ni yule yule tumsaidieni

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana bibi Allah atakupa subra

  • @yakfizahran4536
    @yakfizahran4536 ปีที่แล้ว +1

    Mmmm bora tuseme Allah atuhifathi to

  • @angeakeza6542
    @angeakeza6542 ปีที่แล้ว +2

    Duni imefik pabaya wat tumekuw wabaya kila mzee anaitwa mcaw atass tunaelekey uko kiukwel inauma sana

  • @tunuharun4691
    @tunuharun4691 ปีที่แล้ว

    Pole bibi tupo pamoja nitakuja kukutembelea

  • @khasmamtega5963
    @khasmamtega5963 ปีที่แล้ว +4

    Bibi mawazo mengi aliyoyapitia si mchezo kuzika watoto wote awo tumsaidie tu

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว +1

    Pole mama kwa mitihani watoto 12 huna huna hata moja mtihani mungu atakusaidia ishaalah kama ni mwislam swali sana na kumuomba mungu kama ni mkristo hayo ni mengine😮

  • @magii8299
    @magii8299 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana bibi unajieleza vizur👌asaada Kwa bibi jmn🙏

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 ปีที่แล้ว

    Sema anatisha

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Kweli wee mwuache mungu

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 ปีที่แล้ว

    Mh Mungu wangu Bibi anatisha akiangalia dah mpaka unasisimka

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 ปีที่แล้ว

    Watu wakiona umezeeka sura ikibadirika unaitwa mchawi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @zainabkondo2943
    @zainabkondo2943 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atakupa subra bibi, ila tumsaidieni bibi anahitaji msaada

  • @aishamrisho6860
    @aishamrisho6860 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani hiyo Sura sasa

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana bibi

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว

    Kaka Zahir kabla ya kuwahoji watu Kama hawa uwe unawaambia wanajistiri kwanza

  • @SabinaCosta-y3l
    @SabinaCosta-y3l ปีที่แล้ว

    Pole Sana bibi😢😢

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 ปีที่แล้ว

    KAKA ZAHIR MUULIZE YEYE MUISLAM AJISTIRI KUJITANDIYA
    POLE SANA DADA

  • @saudamohamadi9144
    @saudamohamadi9144 ปีที่แล้ว

    Bibi anakumbukumbu jaman anataja had mwez na tarehe😅Mm mama angu nikimuuliza trh yng ya kuzaliwa hakumbuki au atataja ck ukimuuliza Tena anataja nyngn mara nyngn Anakwmbia me ckumbuki bhn😅huw nacheka san yeye kazaliw 54, Ila hy asee anakumbukumbu mno had raha mashaallah

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว

    Daah inauma sana! Kuzika watoto wewe unabaki nyuma😢

  • @WaterProof-g5x
    @WaterProof-g5x ปีที่แล้ว

    Jina la bibi ni nani ... Mimi ningeshauri abadilishe jina anaweza kupata bahati akapata maisha mazuri inawezekana jina lake ndio linamtia mikosi .... Kujaribu sio kushindwa na pia ajitahidi kuwa karibu na mungu .. na pia asiwaze saana manake hamna marefu yasiyo na ncha baada ya dhiki faraja

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +5

    😢😢😢 Subhanallah Pole sana bibi 😢😢 Binaadam jamani 😢

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว +1

    Nipo nipo kama sipo 😂

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 ปีที่แล้ว +3

    Mpeleke kwa kuhani musa tuone kama kweli ni mchawi au la

    • @nameno8608
      @nameno8608 ปีที่แล้ว +2

      Sio mchawi ni uzee tu

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 ปีที่แล้ว

      We hakuna mchawi anakubali kuapa kwa msahafu ata siku moja ila yy yuko tayari kwa hilo kwa ujasiri wote..it means si mchawi ni maisha tu mawazo yanamfanya apoteze muonekano

  • @aby21111
    @aby21111 ปีที่แล้ว +2

    Maybe she's a victim of witchcraft not a witch. 😪

  • @Glorytv5111
    @Glorytv5111 ปีที่แล้ว +1

    Maskini jamani mwenyezi Mungu akupiganie bibi yetu

  • @muznastwaha5828
    @muznastwaha5828 ปีที่แล้ว +1

    Watu kama hawa hatuamini ila Masada wa kwanza aende kwenye Dua mtajuwa ukweli upi

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว +1

    Leo wa kwanza nimewahi nashukuru. Mungu alhadulilah😅

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana bibi mungu atakufariji 😢😢😢

  • @WaterProof-g5x
    @WaterProof-g5x ปีที่แล้ว

    Jina la bibi ni nani ... Mimi ningeshauri abadilishe jina anaweza kupata bahati akapata maisha mazuri

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +1

    Pole bibi na mungu alikunusuru na edisi ( kipind hicho waitwa hivyo ) maana c kwa kudanga danga huko 😂sasa hv wajukuu wanakuita mchawi ukifa watagombania nyumba hiyo 😢

  • @sabraomar6604
    @sabraomar6604 ปีที่แล้ว

    Pole bb

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 ปีที่แล้ว +6

    Hila bibi hanaogopesha 😥

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Huyu bibi kama namfahamu
    Au nimefananisha huyu namjua

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว

    Bibi msomi huyu anakumbukumbu nzuri sana

  • @radegundachambi-gx9gg
    @radegundachambi-gx9gg ปีที่แล้ว

    Hata ukimuangalia ana roho mbaya tu

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 ปีที่แล้ว +1

      hii comment yako yaonyesha UNA ROHO MBAYA

  • @mimahmimah1595
    @mimahmimah1595 ปีที่แล้ว +1

    Ati nlikua nadangadanga😂😂

    • @JamilJamil-t2u
      @JamilJamil-t2u ปีที่แล้ว

      Bibi hajiadabii huyu ila kajiseme kweli nimecheka

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +1

    Bibi nimependa maneno yake

  • @WaterProof-g5x
    @WaterProof-g5x ปีที่แล้ว

    Zahir unatukera na hizo background music

  • @aminaamina9568
    @aminaamina9568 ปีที่แล้ว

    Eti apelekwe wap!😂😂😂 Imani zingine bwana duuuh

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc ปีที่แล้ว +1

    Alafu iyo camera inavomzoom 😂😂😂 duh sicheki kwa furaha mana nafikiria hii yangu itakuwaje na nitaitwaje mm jmn nikiwa mzee😂

    • @raiyanrahull1734
      @raiyanrahull1734 ปีที่แล้ว

      😂😂we mjinga hasaa

    • @dijahmriri523
      @dijahmriri523 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 astakafirullah Yani wew umenifanya nicheke Mungu anisamehe

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc ปีที่แล้ว +1

      @@dijahmriri523 weee ndugu yangu uzee mtihani voo 🤣🤣🤣🤣

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc ปีที่แล้ว

      @@raiyanrahull1734 ndugu hujaona ivo anavovutwa na camera🤣🤣🤣

    • @mamags8828
      @mamags8828 ปีที่แล้ว

      Shetani ni muongo sana 😅😅bibi tumchangie tu tusiangalie menghne kila mtu na yake akizeeka 😅

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 7 หลายเดือนก่อน

    Ety nilikua na danga dangaa jamaan bb

  • @janethkessy7146
    @janethkessy7146 ปีที่แล้ว

    wanauwagaa hakuna mtu mbaya kama mchaw Hana maanaa kabisa mchawi

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 ปีที่แล้ว +1

      eti janet yule bibiako alikuwa nchawi??!

  • @alsia_1
    @alsia_1 ปีที่แล้ว

    . mungu you

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 ปีที่แล้ว +1

    Ila surua iliuwa sana watoto miaka ya nyuma

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว +1

    Hiii😢😮

  • @sakinakhatibu1820
    @sakinakhatibu1820 ปีที่แล้ว

    Jamani bibi ati nilikuwa nadangadanga tu😂😂

    • @nasramohamed3353
      @nasramohamed3353 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 bibi weweee eti nilikuwa nadangadanga tuu

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy ปีที่แล้ว

    Bibi naye Ali dangadanga kumbe shuhuli ilianza kitambo

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 ปีที่แล้ว

      we mwenyewe utazeeka na watashangaa kama huyu bibi nae !!....

  • @abbubakar-c7i
    @abbubakar-c7i ปีที่แล้ว +3

    Sema nini bibi sura yako tu inaonekana ww mchawi tu

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 ปีที่แล้ว +1

      Subhanallah Allah atakujibu utapofikia uzeeni

    • @shillaboy5330
      @shillaboy5330 ปีที่แล้ว

      Mbwaaa kafiri wewe huna hata haya embu zungukia ukoo wako wote uone kama hamna bibi au ata shangapi mwenyee sura personal ilozeeka haswaaa roho mbaya tu inakusumbua shenziiiiiii

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @zakiahemed47
    @zakiahemed47 ปีที่แล้ว

    Mtihani kwa kweli

    • @gracenassoro7201
      @gracenassoro7201 ปีที่แล้ว

      Pole sana bibi yangu

    • @HadijaMsiba-hs1ks
      @HadijaMsiba-hs1ks ปีที่แล้ว +2

      Uyo Bibi aende kwenye maombi sura yake inaogopesha mbona

    • @mariamjuma9486
      @mariamjuma9486 ปีที่แล้ว

      ​@@HadijaMsiba-hs1ks😂😅😅😅 duuuh jamani 😊

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 ปีที่แล้ว +1

      @@HadijaMsiba-hs1ks yan nimemugopa kwer

  • @sofiakimvula4168
    @sofiakimvula4168 ปีที่แล้ว +1

    😂😂 mzee anajuwa maana ya kudanga, ila mashaalah anakasauti kazuri

    • @faridahalwaily85
      @faridahalwaily85 ปีที่แล้ว

      Allaah yupoo naweee wachana na Manenoo yakishetwaniii hanaa dini Huyooo …. muachiyee mwenyezimngu

    • @sofiakimvula4168
      @sofiakimvula4168 ปีที่แล้ว

      Kwani kakwambia hana dini

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว

      Nakwambia 😂😂😂😂😂😂

  • @lilianmartin5075
    @lilianmartin5075 ปีที่แล้ว +1

    ❔❔❔❔

  • @lilianmartin5075
    @lilianmartin5075 ปีที่แล้ว

    ❔❔

  • @zuu114
    @zuu114 ปีที่แล้ว +5

    Mbona kama mchawi kweli

  • @maryamkipinga3275
    @maryamkipinga3275 ปีที่แล้ว

    Pole sana bibi