E'MUNGU MWENYE HAKI (SMS SKIZA 6930222) - PAPI CLEVER & DORCAS ft MERCI PIANIST : MORN WRSP EP 133

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 มี.ค. 2023
  • #PAPI_CLEVER_DORCAS
    #NYIMBO_ZA_WOKOVU
    #EMUNGU_MWENYE_HAKI
    #INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
    #MORNING_WORSHIP
    Audio Producer : Papi Clever
    Video Director : MUSINGA
    Drone : SABEY
    D.o.p ; Musinga, Chrispen
    Video Editor : CYUSA
    colorist : CYUSA
    Location manager : Rutikanga Alex
    location ; NYAGATARE - Rwanda - UGANDA Border
    You can support this ministry through
    Phone: +250783255262
    Email : Cleverpapi18@gmail.com
    NYIMBO ZA WOKOVU
    No 275
    1
    E’ Mungu mwenye haki, uniongoze huku katika mambo yote yanayokupendeza! Nikiwa huku bila wewe, vitisho hofu na mashaka yananitia tetemeko mpaka kufa.
    2
    Ni heri siku zote kutegemea Yesu na kuenenda sawa katika nyayo zake, kwa kuwa yeye ni Mchunga anayeniongoza vema, nipate kuingia katika raha yake.
    3
    Safari yangu sasa yaelekea mbingu, Mwokozi yuko huko, lazima nifikeko na siku nitakapofika ‘tashangilia kwa furaha kuona yeye aliyeninunua kwake.
    4
    Ulimwenguni humu, matata na kuchoka. Nikihitaji kitu nafadhahika bure, lakini siku ile kuu nita’pomwona Mwokozi, natumaini sitakosa dhawabu yangu!
    5
    Mbinguni sitaona adui zangu tena. Hayatakuwa mambo yakupokonya pale. Sauti nitamtolea, kusema: Mungu, haleluya! Mikono nitaipepea kwa shangwe kuu!
    #kenyagospel #tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
    #kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
    Kelsy Kerubo
    rose muhando song
  • เพลง

ความคิดเห็น • 748

  • @PaPiCleverOfficial
    @PaPiCleverOfficial  11 หลายเดือนก่อน +36

    SKIZA CODES
    1.Code 6930218 - Ameniweka huru
    2.Code 6930219 - Bwana Yesu Anatuuliza
    3.Code 6930220 - Damu yako yenye baraka
    4.Code 6930221- E Mungu mwenye haki
    5.Code 6930222 - E mungu mwenye kweli
    6.Code 6930224 - Enyi kundi
    7.Code 6930225 - Fanyia Mungu kazi
    8.Code 6930226 - Je umelisikia jina zuri
    9.Code 6930227 - Kisima chema
    10.Code 6930228 - Kuna mji huko juu
    11.Code 6930229 - Maisha katika dunia
    12.Code 6930230 - Matendo ya Mungu
    13.Code 6930244 - Msifuni
    14.Code 6930245 - Mwokozi wetu
    15.Code 6930246 - Nchi nzuri yatungoja
    16.Code 6930248 - Nilikwenda mbali
    17.Code 6930249 - Pendo la Mungu
    18.Code 6930250 - Roho yangu inaimba
    19.Code 6930251 - Sawa na kisima
    20.Code 6930252 - Siku moja mavuno
    21.Code 6930253 - Tu watu huru
    22.Code 6930254 - Tutazame kule
    23.Code 6930255 - Uzima ninao
    24.Code 6930256 - Uhesabu mibaraka

    • @nicholasmumba5009
      @nicholasmumba5009 10 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you so much 🙏 stay blessed

    • @user-iq4hr6qo2w
      @user-iq4hr6qo2w 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hapa na dada mavazi hayo hapana tunaomba yaache mwili barafu yawe marefu asante

    • @roseobare1255
      @roseobare1255 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@user-iq4hr6qo2wreally? Unataka avae buibui ama

    • @danielhabyarimana6715
      @danielhabyarimana6715 7 หลายเดือนก่อน

    • @rashidsaid1068
      @rashidsaid1068 6 หลายเดือนก่อน

      😮o baby man😅😊

  • @amos6068
    @amos6068 ปีที่แล้ว +158

    I used to come home in the midnight when am drunk I start beating my wife until morning thanks papi clever and you're wife for changing my family 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 nothing I can give you people but I pray that one day I meet you at my home that's when I will give my testimony How God changed my life through you people may the Lord of Abraham, Jacob,Isaac reword you accordingly

    • @samuelochieng6766
      @samuelochieng6766 9 หลายเดือนก่อน +2

      Praise Jesus, may he sustain you in him to be like him everyday by pursuing holiness through daily reading of his word.

    • @chichichabachu
      @chichichabachu 8 หลายเดือนก่อน

      Ameeeeeeeen

    • @digue12345
      @digue12345 8 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @patrickkarangwa5040
      @patrickkarangwa5040 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hallelujah! Amen! Blessings upon Papi and Dorcas and to whoever listens to the Lord's message through these heart touching songs!

    • @moseskarengera4243
      @moseskarengera4243 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ooooooh my God . That's sounds amazingly

  • @So-qg7fx
    @So-qg7fx ปีที่แล้ว +241

    Me i just want to appreciate Kenyans in general 🇰🇪🇰🇪you guys are very supportive!! Thank you so much

    • @PaPiCleverOfficial
      @PaPiCleverOfficial  ปีที่แล้ว +22

      So much

    • @josphinenganga7294
      @josphinenganga7294 ปีที่แล้ว +14

      Waooo kenyans we don't dissapoint when it's comes to supporting talents ..they should organise and visit kenya ..

    • @PaPiCleverOfficial
      @PaPiCleverOfficial  ปีที่แล้ว +27

      @@josphinenganga7294 we praying and we hope one day we will be there

    • @rachelmaina2680
      @rachelmaina2680 ปีที่แล้ว +5

      ​@@PaPiCleverOfficialplz come ooh,I would like to see u,Gods people who feeds my soul daily with ur music.

    • @grammamresh8848
      @grammamresh8848 ปีที่แล้ว +8

      ​@@PaPiCleverOfficial welcome I will provide everything for people, karibuni Kenya

  • @RosebellahNambiro
    @RosebellahNambiro ปีที่แล้ว +16

    Nawapenda sana mungu awabariki jamani nyimbo zenu zanijenga kiroho,,kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 wakenya nipeni likes zenu

  • @PaPiCleverOfficial
    @PaPiCleverOfficial  ปีที่แล้ว +147

    Lyrics with English translation
    1
    E’ Mungu mwenye haki, uniongoze huku - O righteous God, lead me
    katika mambo yote yanayokupendeza! - in all things that please you!
    Nikiwa huku bila wewe, vitisho hofu na mashaka - When I'm without you, threats, fear and doubt
    yatanitia tetemeko mpaka kufa. - they will lead me to death.
    2
    Ni heri siku zote kutegemea Yesu - It is always blessed to rely on Jesus
    na kuenenda sawa katika nyayo zake, - and walk right in his footsteps,
    kwa kuwa yeye ni Mchunga anayeniongoza vema, - for he is a Shepherd who guides me well,
    nipate kuingia katika raha yake. - may I enter into his glory.
    3
    Safari yangu sasa yaelekea mbingu, - My journey now goes to heaven,
    Mwokozi yuko huko, lazima nifikeko - The Savior is there, I must get there
    na siku nitakapofika ‘tashangilia kwa furaha - and the day when I will get there i will rejoice with joy
    kuona yeye aliyeninunua kwake. - to see the one who saved me.
    4
    Ulimwenguni humu, matata na kuchoka. - In this world, there's troubles and boredom.
    Nikihitaji kitu nafadhahika bure, - If I need something, I get frustrated for nothing,
    lakini siku ile kuu nita’pomwona Mwokozi, - but on that great day I will see the Savior,
    natumaini sitakosa dhawabu yangu! - I hope I will not miss my reward!
    5
    Mbinguni sitaona adui zangu tena. - In heaven I will see my enemies no more.
    Hayatakuwa mambo yakupokonya pale. - nothing i will miss there.
    Sauti nitamtolea, kusema: Mungu, haleluya! - I will raise my voice and say: God, hallelujah!
    Mikono nitaipepea kwa shangwe kuu! - I will wave my hands with great joy!

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 ปีที่แล้ว +91

    This couple is a blessing to many,plus our handsome Pianist Merci,wherever i see these 3 people i feel to fly ❤❤❤❤❤Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪loves you

    • @BHShortsOfficial
      @BHShortsOfficial ปีที่แล้ว +1

      This is my favorite song❤❤🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍🇧🇮🇺🇸

  • @KennedyZabron
    @KennedyZabron 5 หลายเดือนก่อน +4

    Huduma yenu isonge mbele daima Arika na DUNIA nzima kwa UTUKUFU WA YESU KRISTO WA NAZARETI ❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @stephtiffany977
    @stephtiffany977 ปีที่แล้ว +31

    Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 i listen to your songs every morning and night be blessed ,🙏🙏🙏

  • @miriamwambui373
    @miriamwambui373 ปีที่แล้ว +46

    Woooi, hawa huwa wanafanya najiskia niko karibu na Mungu by listening to their songs😢❤❤❤❤

  • @benizungu7774
    @benizungu7774 ปีที่แล้ว +5

    Murumugisha kuri gospel nyarwanda
    Kandi mukora mundimi zose..
    Watoto wetu✅🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @njangomaukuleiyo8844
    @njangomaukuleiyo8844 3 หลายเดือนก่อน +3

    I love you dear saints, hii wimbo imenipeleka juu sana kiroho

  • @irenephilipo9508
    @irenephilipo9508 ปีที่แล้ว +50

    Mimi ni Mtanzania. Napenda huduma yenu. Mungu aendelee kuwainua na kuwatumia kwa Utukufu Wake. Amina.

    • @josephinemichael1514
      @josephinemichael1514 ปีที่แล้ว +4

      Nimewafahamu wiki iliyopita ila nimewafurahia sana hawa watu, Mungu awatunze🇹🇿

    • @teddynjau9595
      @teddynjau9595 ปีที่แล้ว +3

      💞💞💞💞🇹🇿

  • @amos6068
    @amos6068 ปีที่แล้ว +9

    You know they are people who come into your life and change it totally you people you changed my home 😢😢😢😢😢😢😢 I used to come home midnight

  • @UwihoreyeBabon
    @UwihoreyeBabon ปีที่แล้ว +9

    AMEN AMEN AMEN Mungu awabariki sana,Mungu mweye haki atuongoze kabisa, asante sana Papy,Dorcas,Merci ndabakunda cyane indirimbo zanyu ziramfasha murugendo ndimo rwo kwegera YESU🙏👏

  • @faithspencer239
    @faithspencer239 ปีที่แล้ว +18

    May jehovah favor my country 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 musicians to deliver such a worship/praise songs.soooooo sweeeet

    • @virginiawanjohi1340
      @virginiawanjohi1340 11 หลายเดือนก่อน +1

      You're right. A big Amen to that.

  • @amos6068
    @amos6068 ปีที่แล้ว +55

    You people you changed my life since I started following your music now am practicing this songs together with my wife I told my wife that I accepted Jesus as my savior she was surprised and I told her we have sing two songs be4 we pray and sleep and in the morning we do the same thanks papi clever and You're wife for changing my home

  • @sfkl8257
    @sfkl8257 ปีที่แล้ว +4

    Mundirimbo zose zigiswahiri iyi narindayirindiriye ndayikunda caaaneee 🇧🇮 ♥ ❤

  • @fridahwamboi2794
    @fridahwamboi2794 ปีที่แล้ว +21

    Hallelujah asifiwe Yes you guys mimesikiliza nyimbo zeyu zote hadi nimejipata nimeokoka sasa nimeamuwa kuishi kwa Mungu nimtumikie🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @monicanjoroge8842
      @monicanjoroge8842 ปีที่แล้ว +2

      Kwa Yesu hakuna hasara

    • @isaackamau849
      @isaackamau849 ปีที่แล้ว +2

      May the Good Lord sustain you

    • @danrurenza4315
      @danrurenza4315 ปีที่แล้ว +2

      Bwana Yesu aziongoze hatua zako siku zote hadi siku ya kuingia katika ufalme wake.

    • @fridahwamboi2794
      @fridahwamboi2794 ปีที่แล้ว

      @@monicanjoroge8842 true

    • @fridahwamboi2794
      @fridahwamboi2794 ปีที่แล้ว

      @@isaackamau849 Amen

  • @mercyogada6052
    @mercyogada6052 ปีที่แล้ว +15

    literally am crying 😭...Halleluhya Halleluhya..
    Am blessed.. am happy...
    your worship songs makes me feel like am in heaven already.. I really really love your songs..
    wish you come to Kenya🇰🇪🇰🇪 some day God willing..
    Mungu awalinde na awabariki Sana kwa nyimbo zenu
    mnatuondolea dhiki kupitia nyimbo zenu kiujumla.. .
    Be Blessed... much love ❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @adolphe9125
    @adolphe9125 ปีที่แล้ว +4

    Mwami kubaho ntagufite binteye ubwoba ndetse byangeza no mu rupfu vuba !!! Iyi ndirimbo yakujyana mwijuru udapfuye ❤❤

  • @aarpp4907
    @aarpp4907 ปีที่แล้ว +10

    Niongoze Mungu kwa mambo yote ya hii dunia usiruhusu nikaenda kwa njia isiyokupendeza ,,mapenzi yako Mungu yatimie kwa maisha yangu😭😭😭🤲

  • @aggymushime8741
    @aggymushime8741 ปีที่แล้ว +2

    Hallelua!muhabwe umugisha n'Imana yabahamagaye kdi mwaguke rwose natwe tubabonereho umugisha.

  • @RoyaltyEffie
    @RoyaltyEffie ปีที่แล้ว +14

    Nyimbo za injili slaps differently❤kwanza the way you guys are singing them❤we're blessed here🇰🇪

  • @miriamwambui373
    @miriamwambui373 ปีที่แล้ว +13

    Wow, continue blessing us🙏🏾🙏🏾, much love frm kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kanonkotito3383
    @kanonkotito3383 ปีที่แล้ว +1

    I love you so much bakozi b'Imana Imana Ibah'Umugisha cyane kandi Ikomeze kubagura kuko muraduhezagira cyaneeeee!!!! Muri beza👍 Kandi Ubwiza bw'Imana bubariho

  • @johnsonmwatuka
    @johnsonmwatuka ปีที่แล้ว +1

    Mm ni mkenya napenda sana nyimbo zenu mungu awabariki

  • @ANNE_CHOSEN1
    @ANNE_CHOSEN1 ปีที่แล้ว +19

    Papi and Dorcas, may God keep you, preserve your marriage and ministry. Merci, may you soar, mark the word soar, higher than you ever thought. Your music has been leading me into deep prayer daily. From 254 🇰🇪🇰🇪 baraka

  • @mamawinnie926
    @mamawinnie926 ปีที่แล้ว +1

    Muby'ukuri n'iyo mutaririmba nkareba isura yanyu Mbona Ari byiza.Muri beza peee !!! Imana Ibahe imigisha mwa biremwa byiza MWe!!! Mukomeze mwaguke mw'izina rya Yesu❤

  • @beatricenyirakamana8015
    @beatricenyirakamana8015 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana na MUNGU .
    Tuzarambura amaboko duhimbaz' umwami wachu. HALLELUYAAAAAS

  • @muturanyi9227
    @muturanyi9227 ปีที่แล้ว +2

    Courage rwose imana ikomeze kubasiga amavuta ❤

  • @davidmupenzi8997
    @davidmupenzi8997 ปีที่แล้ว +3

    Unani bariki mwaizi masiku baba 🇨🇩🇨🇩🇨🇩Mimi ni mucongomani

  • @hauwaumarbuba423
    @hauwaumarbuba423 ปีที่แล้ว +37

    12: 25 am Nigerian 🇳🇬 time, I was led by the Holy Spirit to dance to this song. I did (using my earpiece😊) and prayed shortly afterwards. Thank you for the translation. More grace to your team 🙏

  • @cynthiamohaz
    @cynthiamohaz ปีที่แล้ว +1

    Woow napenda nyimbo zenu mola awabariki❤❤❤

  • @hilarytowett6738
    @hilarytowett6738 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawapenda ndungu zanguni pokeeni kutoka kwa kenya mungu wa mbinguni awabariki sana

  • @cynthianyamrer9494
    @cynthianyamrer9494 ปีที่แล้ว +1

    Soo blessed.. Barikiweni watumishi wa Mungu

  • @gorgiikibui3639
    @gorgiikibui3639 ปีที่แล้ว +2

    The beats Guitarist on onother level.Its just Melodious

  • @gakenujoyous1535
    @gakenujoyous1535 ปีที่แล้ว +15

    Another sweet Swahili hymn ....we bless the Lord ..for this team ...all the way from Kenya❤

  • @gkgodsdaughter
    @gkgodsdaughter ปีที่แล้ว +1

    Ayiweeeeee manawe urimwiza cyane ndafashinjwe

  • @user-jx2wc7tq3y
    @user-jx2wc7tq3y ปีที่แล้ว

    🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦 Rwanda oyeeeeee

  • @akhilyruge
    @akhilyruge 8 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN SANA MUBARIKIWE SANA WANA WA MUNGU 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @heritierrudatsikira4263
    @heritierrudatsikira4263 ปีที่แล้ว +1

    Mukomere kutugezaho izondirimbo nziza imana ikomeze kubaha umugisha ark ngize icyo navuga nuko mwakomeza kuririmba nkuko mwabikoraga mbere mugitangira gusa ndabakunda cyane

  • @peternjoroge508
    @peternjoroge508 7 หลายเดือนก่อน +2

    Team Kenya represented here. Such an awesome song

  • @sebaenrique416
    @sebaenrique416 ปีที่แล้ว +1

    Haleluya Haleluya ❤, Mungu awabariki sana

  • @cesiliankwae3888
    @cesiliankwae3888 ปีที่แล้ว +1

    Amina nimebarikiwa sana na huu wimbo

  • @jaclinevosena9643
    @jaclinevosena9643 ปีที่แล้ว +8

    Haaaalleluya your song is blessing my spirit, keep it up in Jesus name. 🇰🇪🇰🇪

  • @narukundofuraha4641
    @narukundofuraha4641 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah nuzuye umunero mu mutima wajye mutiki gitondo,Imana ibahe imigisha

  • @ahavatvshow2012
    @ahavatvshow2012 ปีที่แล้ว +6

    Mbinguni sitaona adui zangu tena. Hayatakuwa mambo yakupokonya pale. Sauti nitamtolea, kusema: Mungu, haleluya! Mikono nitaipepea kwa shangwe kuu!

  • @user-bp3ig9ik3c
    @user-bp3ig9ik3c ปีที่แล้ว +1

    Mubarikwe sana imana ibahe imigisha

  • @jacksonasobola4085
    @jacksonasobola4085 ปีที่แล้ว +3

    Am happy to be the 1st to comment, much love from Uganda 🇺🇬 Papi clever you are my good local model, sinzi niba nzakurebaho amaso kumaso

  • @user-tm8im6nd3i
    @user-tm8im6nd3i 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sure man of of we kenyans love your songs of good message

  • @edouardmutabazibyinshi3324
    @edouardmutabazibyinshi3324 ปีที่แล้ว +3

    AMEN.AIMA Y'ukuru komeza kunyobora in kinyarwanda, nyimbo za wokuvu,well done team, be blessed

  • @hadassahmoses4631
    @hadassahmoses4631 ปีที่แล้ว +1

    Muriribye neza Imana ibahe umigisha

  • @symonashiali8686
    @symonashiali8686 6 หลายเดือนก่อน +1

    Inspirational songs from Rwanda...we're blessed listening altogether

  • @shedrackniyonkuru6121
    @shedrackniyonkuru6121 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana endelea kumtukuza mungu wetu

  • @judynjoroge3753
    @judynjoroge3753 9 หลายเดือนก่อน +1

    May God continue to use you guys in His kingdom n change many souls

  • @charlesjohn2691
    @charlesjohn2691 ปีที่แล้ว +4

    Tena na tena Mungu wetu wa mbunguni awabariki sana haki mnatubariki sana, karibu 🇹🇿🇹🇿 Tanzania

  • @johnsonmwatuka
    @johnsonmwatuka ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 nyimbo nzuri aki

  • @ndabunguyefidele4377
    @ndabunguyefidele4377 ปีที่แล้ว +1

    Amen mubalikiwe sana watumishiwamungu

  • @user-bs4lh4vu7f
    @user-bs4lh4vu7f ปีที่แล้ว +1

    Best songs keep up friends in christ

  • @user-vd6zn9tc4e
    @user-vd6zn9tc4e ปีที่แล้ว +1

    Much love, Imana ikomeze ibasige amavuta menshi

  • @user-gl4qq1zi1j
    @user-gl4qq1zi1j 7 หลายเดือนก่อน +2

    AMEN

  • @user-lc1jp1lj2w
    @user-lc1jp1lj2w 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu uniongoze

  • @estherbongo6573
    @estherbongo6573 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah, siku nitakapomuona mwokozi........ Utukufu kwa Bwana. Love from Mombasa Kenya

  • @andjelaniilombe-go5kj
    @andjelaniilombe-go5kj 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu uniongoze nipate Raha ya milele

  • @irenegicho2015
    @irenegicho2015 ปีที่แล้ว +2

    Welcome back to 🇰🇪🇰🇪 and God bless you all

  • @sizbentahatieno9635
    @sizbentahatieno9635 ปีที่แล้ว +4

    Amen 🇰🇪🇰🇪

  • @NgenziDjarud-om4yg
    @NgenziDjarud-om4yg ปีที่แล้ว +1

    ndaba kundacyane nukuri pe lmana niko meze ibafashe muujyere kure lmana ibagure muburyo bwose ndaba kunda cyane nukuri

  • @byusaemile6293
    @byusaemile6293 ปีที่แล้ว +1

    Amen barikiweni sana Kwa nyimbo nzuri munazo imba Mungu awazidishie 👏🙌

  • @lumlum5316
    @lumlum5316 ปีที่แล้ว +7

    Ugandan are here too!!! very much in love with the gospel being preached in these songs

  • @geofreykalo
    @geofreykalo ปีที่แล้ว +2

    Am a Tanzania nasikiliza hiingoma nzuri

  • @eunicewaweru2173
    @eunicewaweru2173 ปีที่แล้ว +2

    The real gospel with massage and Holly spirit

  • @ainsesseverest1136
    @ainsesseverest1136 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki watumishi wa Mungu

  • @ZABURIyacutv1000
    @ZABURIyacutv1000 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen turabakunda canee

  • @richardokerio6530
    @richardokerio6530 4 หลายเดือนก่อน +1

    I love your songs, your the best 5:58

  • @maureenjerotich3399
    @maureenjerotich3399 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen Asante yesu 😭😭🙏😓🙏🙏

  • @mukundwajosee2077
    @mukundwajosee2077 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeee 🙌🙌 Mungu awabaliki sana❤

  • @user-vi1kk2hb6e
    @user-vi1kk2hb6e ปีที่แล้ว +2

    Mimi Ni mkenya na huwa mnanibariki sana na nyimbo zenu nikiwa chini mwaniiinua

  • @odingamalambilo9070
    @odingamalambilo9070 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ nimeipenda injili hii tamu sana.

  • @omwaristellah574
    @omwaristellah574 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙌🙏🙏🙌 imana ibahe umugisha mwinshi cyaneeee ndabakunda ❤❤

  • @EvangelistMathayo2604
    @EvangelistMathayo2604 ปีที่แล้ว +1

    mumenibariki nahuu mwimbo mubarikiwe sana nanyi nyote

  • @SimonP_76
    @SimonP_76 5 หลายเดือนก่อน +2

    😭😭😭😭 Jesus I need you....!!

  • @emilychege8025
    @emilychege8025 9 หลายเดือนก่อน +1

    Glory be to GOD,may your well never dry🙏am worshiping with you in my dairy duties.

  • @bintujos3751
    @bintujos3751 ปีที่แล้ว +4

    You remind me of the great times in God’s presence. Mubutayu, murubunga, mugitaramo bamwe batashe hasigaye abantu bake, ntarusaku… oh my God ibihe byiza weeee bitugarurire Mana yacu.

  • @fistondivin809
    @fistondivin809 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ni wa Congo(RDC),napenda kabisa mubarikiwe watu wa mungu

  • @ClaudManyanda
    @ClaudManyanda หลายเดือนก่อน +1

    Nimebalikiwa nawimbo huu

  • @ingabireclaudinejose2156
    @ingabireclaudinejose2156 ปีที่แล้ว +1

    Nice view ❤❤❤❤Yesu ashimwe weeeee

  • @user-yn3bw9xp6p
    @user-yn3bw9xp6p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tukiwa na yesu hatuna mashaka

  • @kayesuannah3307
    @kayesuannah3307 ปีที่แล้ว +1

    I like the view too ngirango nimumutara rwose

  • @nyanzaniraserukiza4613
    @nyanzaniraserukiza4613 ปีที่แล้ว +8

    nikiwa bila wewe vitisho ,hofu na mashaka . niheri nimtegemee yesu ni pate kuyingiya katika raha yake nasiku nitakapofika nitashangiria kwafuraha ❤

  • @dushimimanasamsonbazizana4981
    @dushimimanasamsonbazizana4981 ปีที่แล้ว +1

    Mwaramutseneza umwami Yesu nashimwe ndagukundacyane

  • @EricMushi-dw6ej
    @EricMushi-dw6ej ปีที่แล้ว +1

    Ndabakunda God Bless you.

  • @marynduta-dv2bn
    @marynduta-dv2bn ปีที่แล้ว +4

    may my children emulate you in Jesus name Amen. from Kenya much love

  • @benazirnamiti9635
    @benazirnamiti9635 ปีที่แล้ว +1

    Eeh mungu mwenye haki uniongoze

  • @stephensena7195
    @stephensena7195 ปีที่แล้ว +4

    Kila wakati nikiamka asubui naskiza nyimbo zao zinanipa nguvu ya kumkaribia Mungu zaidi, Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @izaboyofrorence-xp4xf
    @izaboyofrorence-xp4xf ปีที่แล้ว +2

    I am from Zambia great work guys

  • @marywanjikuwanjiru9658
    @marywanjikuwanjiru9658 ปีที่แล้ว +4

    Amen amen much love from 🇰🇪🇰🇪🇸🇦

  • @JimmyWanzambe-xw8vp
    @JimmyWanzambe-xw8vp ปีที่แล้ว +1

    Am here After kuskiza hii song gukena FM...wee Kali sana

  • @viviankemunto4435
    @viviankemunto4435 ปีที่แล้ว +1

    Nice work you real make my day happy ❤️❤️❤️

  • @andrewotuma5857
    @andrewotuma5857 ปีที่แล้ว +2

    how i love you back in kenya .GOD BLESS AND YOU AND BE HEALTHY ALWAYS .

  • @DavidMburu-my1fw
    @DavidMburu-my1fw ปีที่แล้ว +1

    You have beautiful and sweet voices I have never heard. keep up