UTUKUFU MISA YA MT. ANNA - FR G. KAYETTA |TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Wimbo: Utukufu Misa ya Mt Anna
Mtunzi: Fr. Gregory Kayetta
Organist: George Bingi
Kanisa/Location: Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambiya Asili, Mavurunza
MANENO YA WIMBO
utukufu kwa Mungu mbinguni,
Na amani dunaini (kwa watu) kwa watu wenye mapenzi mema
Tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza
Tuankushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu (ee Bwana)
Ee Bwana Mungu mfalme wa Mbinguni
(Mungu Baba) Mungu Baba Mwenyezi,
Ee Bwana Yesu (Kristu) Mwana wa pekee
Ee Bwana Mungu Mwanakondoo wa Mungu
Mwana wa Baba (Mungu) wa Mungu Mwana wa Baba
Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie
Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia
(pokea) pokea ombi letu
(ewe) Mwenye kuketi kuume kwa Baba
Utuhurumie (Bwana) utuhurumie
Kwa kuwa ndiwe uliye (peke) peke yako mtakatifu
(Peke) peke yako Bwana (peke) peke yako mkuu
(Yesu) Yesu Kristu,
Pamoja na Roho Mtakatifu katika utukufu wa Mungu Baba
Katika utukufu, katika utukufu wa Mungu Baba
Katika utukufu wa Mungu Baba
(katika) Utukufu wa Mungu amina amina
Katika utukufu wa Mungu (Baba) Amina amina
Utukufu ipigwe kwa utukufu madoido mengi
Kwa utulivu
Utukufu ni furaha
🤭🤭🤭🤭 hii inakua ringtone yangu
❤❤safi maestro
Dah😁😁, nimejihisi tayari nipo kwenye Ibada. Safi sana💪💪
Naheshimu Sana kaz yako
Naomba upunguze madoido ili tuenjoy muzik mzuri
Kinanda yahitaji madoido. Huo ndo utamu wake...
Kinanda bila madoido hakina utamu kaka,hamna kabisaa, utamu ni hayo madoido
Muziki wataimba wanakwaya kinanda ni kunogesha
Punguza kdgo mbwembwe mambo yakae vizur
Hongera sana umepiga vizur tuma yote
Hakika nabarikiwa
Fingering safi kabisa
Hongera 👏👏👌kazi safi.
Woow! Woow! Woow Mungu akubariki
Bravooo
Awesome
Lovely melody
Umekizoea kinanda tu hufuati baadhi ya nota kama alívyotunga Fr.Kayetta Gregori.
Amazing!
Ila punguza madoido unajua we nifundi
Safi sana
Beautiful
Asante Jugo ... This is a talent coverage..
Amen
Asante Sana... Naomba nota please
Nice kaka
Kitu nikisikiliza huo mguu kwenye aka ka sabwoofer ni hatari sana
Tatizo la mdogo wangu huyo ni madoido kuwa mengi; hayo yakiwa excessive yanaharibu kabisa muziki. Afahamu kuwa kwa kufanya hivyo hutupati ile ladha kamili ya wimbo kama mtunzi alivyokusudia. Hata hivyo ni mchezaji kinanda mzuri, ingawa si natural player.
Si natural player kivipi? Samahani sijaelewa hapo
Wewe unataka muziki unaotaka ww kisheria waimbaji wanakuwa na notes zao na kinanda notes zake kinanda ni kunogesha sio kupigapiga tu hapo kafanya vzr kbs 100%
Wewe unataka muziki unaotaka ww kisheria waimbaji wanakuwa na notes zao na kinanda notes zake kinanda ni kunogesha sio kupigapiga tu hapo kafanya vzr kbs 100%
We hatari
weka misa yote
Ipo yote angalia vizuri kwenye channel
Haelewi anachokifanya huyo
Ni wivu tu unakusumbua
@@marcominja8850 ulishaona ee huyu jamaa ana wivu kweli
Acheni unafiki basi wivu hauna faidaa
madoido lazma ilii mziki unoge mkuu kama hujui hujui tu
Una roho chafu jamani
🤭🤭🤭🤭 hii inakua ringtone yangu