I like this programme. But I want to ask injustice works both ways. We also need a community network where if someone is evil or wronged you will be accused. A straight tree will never be crocked
Hawa watu wakae tu huko kuna police mwenye alinivuja mkono juu nimekataa kumukopesa pombe huko dagoreti alifanya nihame dagoo nikaeda kiambu juu alisema ni mm nayy saii nikiwa Europe nilisikia alifugwa maisha story yenye ilifanya afugwe wacha tu maybe siku moja nitamuona hapa jeraini citu
Wafungwe tu iwe funzo kwao na wengine wenye tabia ya kudhurumu innocent people huku raia ku misuse government office .. eti police by heart good you face karma
This should be a reminder to state officers that things can change very quickly. Government uniform and government weapons sometimes can blur your reasoning. You start thinking that you are the government. Break the law at your own risk. Ndio utajua kuna wewe alafu kuna sheria sasa. Once again things can change very quickly. Kiburi isikutawale.
Mkitukamata uku mnatwambianga tutakua funzo kwa wengine. Mm nilikamatwa na police nikielekea nyumbani na nilikua karibu kufika kwenye naisi, lakini wakati wenye nilikamatwa nilipelekwa kwa police station nikaekelewa ati nilikua mlevi ata sikua najijua .nikakuliwa elfu moja na mia tano na nikukopezwa nilikopezwa na mwenye alikuja kunitoa, sa hiyo Elfu moja na mia tano ilikuliwa na police tu bure. Na wakati wenye nilienda ku-report nimeibiwa niliulizwa ni police yupi atakua ananifuata ndipo anichunge ama achunge vitu zangu.
I like this programme. But I want to ask injustice works both ways. We also need a community network where if someone is evil or wronged you will be accused. A straight tree will never be crocked
Bibi ya pili 😮!!??? he’s emotion when he’s talking about his child Sarah Daudi 😢😢😢😢
Kufieni njera
Wewe mtua vile ulifanya mariakani 2010 sitasau malipo ni hapa hapa duniani
Unamjua??
Tupe habari mama
Hawa watu wakae tu huko kuna police mwenye alinivuja mkono juu nimekataa kumukopesa pombe huko dagoreti alifanya nihame dagoo nikaeda kiambu juu alisema ni mm nayy saii nikiwa Europe nilisikia alifugwa maisha story yenye ilifanya afugwe wacha tu maybe siku moja nitamuona hapa jeraini citu
Wee mutua kaa Jera na uchangae kabisa. Power is not permanent.ulifungisha watu wengi😢😢😢😢 It's yua turn😢😢😢😢😢😢😢
Ocs alipiga mlevi akamuua...na akajaribu kuhonga wenye mwili... uyu akae tu hukohuko
Ndio hio mkidhulumu wana inchi kama vile police wamefanya saa hizi
Mr kibe 😮saidia hao wamZee
Wafungwe tu iwe funzo kwao na wengine wenye tabia ya kudhurumu innocent people huku raia ku misuse government office .. eti police by heart good you face karma
Police najuwa hawanaga akili
I believe in you ,but how deputy Jesus's are throwing stone to him am like is anyone's has the naked evidence please go to court not comment section
This should be a reminder to state officers that things can change very quickly. Government uniform and government weapons sometimes can blur your reasoning. You start thinking that you are the government. Break the law at your own risk. Ndio utajua kuna wewe alafu kuna sheria sasa. Once again things can change very quickly. Kiburi isikutawale.
Simple terms, life is slippery
Kwani ni serikari iliwaabia watende mabaya😢
Mkitukamata uku mnatwambianga tutakua funzo kwa wengine.
Mm nilikamatwa na police nikielekea nyumbani na nilikua karibu kufika kwenye naisi, lakini wakati wenye nilikamatwa nilipelekwa kwa police station nikaekelewa ati nilikua mlevi ata sikua najijua .nikakuliwa elfu moja na mia tano na nikukopezwa nilikopezwa na mwenye alikuja kunitoa, sa hiyo Elfu moja na mia tano ilikuliwa na police tu bure.
Na wakati wenye nilienda ku-report nimeibiwa niliulizwa ni police yupi atakua ananifuata ndipo anichunge ama achunge vitu zangu.
Wathi urihagirwo thii wenye ulifungisha unakilipia Sasa na maybe some hawakuwa na makosa
Muislamu kosa yake ilikuwa gani ama sijaelewa
Mundu angihota atia kuruta nda atia enjera ta maidi Nkt
Ni kuria top layer....then..bado alikua sonko .ocs..anachotewa sana😂😂
Tue Samburu officer is very innocent
Huyo ocs alikosea sana
huyu ocs mutua alinifanya unyama mariakani police na matezo wacha akae huko jera
Acha hii ubwa ikae huku ikufe. Vile alifanyia mume wangu😢😢😢😢😢😢😢
Huyu wa pili anasema alifungiwa kosa gani? Juu naskia akisema tu 2nd wife ndie alimfungisha
'Raping'
Defilement
Same here😂😂
Rape case.towho I don't know