MIKE SONKO: MTOTO SATRINE MIAKA KUMI NA MOJA BAADAYE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024
  • Miaka kumi baada ya kanisa la Joy in Jesus Ministry jijini Mombasa kushambuliwa na magaidi na kumuua mamake,
    Osinya aliyenusurika katika shambulizi hilo na risasi kwa kichwa akiwa na miaka mbili amekuwa mchangamfu miaka nane baadaye.
    Kijana huyo ambaye alichukuliwa na aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko, hivi majuzi alisherehekea miaka kumi na moja tangu azaliwe.

ความคิดเห็น • 2

  • @bentaninvestment9123
    @bentaninvestment9123 4 หลายเดือนก่อน +2

    May God give you favour in whatever you need. You have been a blessing to many❤

  • @jbjones254
    @jbjones254 ปีที่แล้ว +1

    I view all bro