Aslay na Nandy Waitendea Haki Subalkheri Mpenzi, Escape One

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.พ. 2018
  • Aslay na Nandy Waitendea Haki Subalkheri Mpenzi, Escape One
    Ni usiku wa shoo kubwa na kabambe kutoka kwa wasanii wanaofanya vizuri na ngoma yao ya 'Subalkher' Nandy na Aslay, iliyofanyika katika ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
    Shoo hiyo iliandaliwa maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu 'Valentines Day' ambapo walipata fursa ya kuwaburudisha mashabiki kwa kila mmoja kuimba ngoma zake na baadaye wakaziamsha hisia za wapendanao waliofika ukumbini hapo kwa kuimba kwa pamoja nyimbo yao yenye ujumbe mzito wa mapenzi ya 'Subalkher'.
    Install #GlobalPublishersApp
    Android: bit.ly/2AAQe1d
    iOS: apple.co/2Assf4M
    Subscribe / uwazi
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 208

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 6 ปีที่แล้ว +51

    Wamevaa kizanzibari yaani imetoka bomba sana👍

  • @azminaahmaf6966
    @azminaahmaf6966 4 ปีที่แล้ว +1

    kama na ww umeona mkanda wa kufunga kwenye tumbo mmy nandy kaufunga kichwani weka like yako hapo

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 ปีที่แล้ว +2

    Weka shuka kwa kitanda uje tulale mama naomba ulale na khanga maana nimekumic sana ,hahahaaa km huu utenzi umekukosha gonga like hapa

  • @azzakhamiz3858
    @azzakhamiz3858 6 ปีที่แล้ว

    Aiseei me staman niwaone mkiwa pamoja kimziki2 ila ingependez zaidi mkioana Kwan m mependezana kinoma noma Nawapend cn😍😍😍😍😍😍

  • @sulleyalmass9814
    @sulleyalmass9814 6 ปีที่แล้ว +31

    Wakiendelea hvyo hvyo watafika mbali saana cuz their combination is very nice 👍

  • @ziadaibrahim9872
    @ziadaibrahim9872 6 ปีที่แล้ว +33

    Jaman acheni chuki hawa watu wanapendezana sn wakiimba pamoja

  • @peterkamau5978
    @peterkamau5978 6 ปีที่แล้ว +2

    Aslay cheza chini bro, Nandy ni bae wangu ! Every day crush 😍😍Nandy😘😘

  • @majidfrolian4905
    @majidfrolian4905 6 ปีที่แล้ว +13

    haya matoto ni noumaaaaaaaaaaaaa Africa nzima hamna

  • @mejumaabaraza8020
    @mejumaabaraza8020 6 ปีที่แล้ว +5

    Nandy na aslay mwaah mependezana na pia mavazi yenu mazri mashaallah

  • @mamajayden_tz
    @mamajayden_tz 6 ปีที่แล้ว

    Aslay can sing aisee this kid is something else ila uyu msichana nilikua najua she can sing live ila was wrong kameshindwa kuimba live saut haitoki anajikaza mno bt ol in ol i just luv them both

  • @josephatjohn1246
    @josephatjohn1246 6 ปีที่แล้ว

    Nice sana nandi na maromboso mwenyezi mungu awabariki mfike mbali sana katika sanaa yenu ya mziki

  • @mamysaadkhamees4713
    @mamysaadkhamees4713 6 ปีที่แล้ว +44

    Napenda alivyo vyaa NANDY kiheshima kabisa kweli yy ndie aliyefata maamuzi ya Rais magufuli.

  • @denniskilonzo7239
    @denniskilonzo7239 3 ปีที่แล้ว

    Aslay nakupenda sana baba wish nikuone siku moja

  • @aishamrembo6769
    @aishamrembo6769 6 ปีที่แล้ว +42

    Hawa wakiwa wapenzi itapendeza haki😍

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 4 ปีที่แล้ว

    Nani ana watch 2020

  • @halimaamour9297
    @halimaamour9297 6 ปีที่แล้ว

    Aslay x nandy mkiwa wapenz yan itapendeza sn mana munaendan jmn nice

  • @mariamissa4186
    @mariamissa4186 6 ปีที่แล้ว +14

    Masha allah kanadi kazuliii jomann alafu wanaendanaa

    • @shaabanmusa5127
      @shaabanmusa5127 6 ปีที่แล้ว

      Mariam Issa
      Umeonaeeee kama Mimi n ww😂😁😁😀😘

    • @capojay2393
      @capojay2393 6 ปีที่แล้ว

      Mariam Issa hujakosea Maryam

  • @eaglemost6436
    @eaglemost6436 6 ปีที่แล้ว +10

    Nice live guys true love forever

  • @sharifaabdallah9020
    @sharifaabdallah9020 ปีที่แล้ว

    Naangalia2022❤️❤️💕

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว

    from Kigali, iyo show 100% mavazi100% raiya100% performance100% sound100% mziki wa TZ kumbe mzur hiv lazma nijeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @anithpalme2528
    @anithpalme2528 6 ปีที่แล้ว +2

    nawakubali sana ilamkiowana itapendeza zaidi

  • @mayasaidrisa6798
    @mayasaidrisa6798 5 ปีที่แล้ว +1

    naipenda cn hiyo hiyo nyimbo jmn

  • @aminamnyamwezi5016
    @aminamnyamwezi5016 6 ปีที่แล้ว +8

    Nawapenda sana

  • @bintimohammedrashidrashid4929
    @bintimohammedrashidrashid4929 6 ปีที่แล้ว +8

    Nawatambua kinoma big up guyz

  • @NJamal-nb4ld
    @NJamal-nb4ld 5 ปีที่แล้ว

    Wat a very good term. lots of love from 254

  • @ladyhladyh812
    @ladyhladyh812 6 ปีที่แล้ว +1

    mashallah mungu awazidishie mufikie malengo yenu Ameen

  • @Brianleehovingh
    @Brianleehovingh 6 ปีที่แล้ว +1

    I love this combination both in the music industry and in life

  • @veredianamagesa5229
    @veredianamagesa5229 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashllaha walaii mnapendezwana🔥🔥🔥🔥

  • @faumamakwaia5095
    @faumamakwaia5095 2 ปีที่แล้ว

    Mawapenda Hawa watoto

  • @faithmumbua4731
    @faithmumbua4731 3 ปีที่แล้ว

    napenda hii wimbo sana aslay uko poa sana endelea hivyo ww na nandy

  • @birnahashlyn9185
    @birnahashlyn9185 4 ปีที่แล้ว +1

    Wao mwapedeza mungu awastili maisha yenu ameen🙏

  • @tumainimbishi9161
    @tumainimbishi9161 6 ปีที่แล้ว +7

    hadi raha jaman

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 6 ปีที่แล้ว +10

    Sauti ya aslay inatoka vizuri zaidi

  • @marianundwe2720
    @marianundwe2720 6 ปีที่แล้ว +1

    their voices are so nice thou wapo live jomoni

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 6 ปีที่แล้ว

    hongereni sana kwa vivazi
    mmependeza mno

  • @hawambuguni6844
    @hawambuguni6844 3 ปีที่แล้ว

    Wamependeza sana na shoo IPO vizuri sana

  • @kaginabwiru2652
    @kaginabwiru2652 6 ปีที่แล้ว

    nime penda san nandy na aslya walivyo toainyimbo asante sana Dogo aslay

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 ปีที่แล้ว +11

    wamependeza sana na hayo mavazi 💯🔥🔥🔥🔥

  • @omarhamisi6144
    @omarhamisi6144 6 ปีที่แล้ว

    i love it

  • @ashanaftali8835
    @ashanaftali8835 6 ปีที่แล้ว +1

    Mnapendeza sana😍😍😍

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +3

    Nice

  • @mbogabahati8599
    @mbogabahati8599 6 ปีที่แล้ว +3

    Aslay umependeza ukieka nywele zako ivo hupendezi ukiwa na dred Big up #one 💝🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @meckykanga7640
      @meckykanga7640 6 ปีที่แล้ว +1

      Mboga Bahati kwel kbx jaman yan amekuwa na mwonekano mzuri zaidi

  • @hatimahashimu4770
    @hatimahashimu4770 6 ปีที่แล้ว +2

    safi sana nawapenda hawa watu

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +2

    Mmeuwa Nandy ft Aslay, mambo ni fire🔥🔥👌

  • @halimamamuma7314
    @halimamamuma7314 6 ปีที่แล้ว +1

    Mupo vizuri sana

  • @ilolimsindimbo6857
    @ilolimsindimbo6857 5 ปีที่แล้ว

    Ongelen sana

  • @saadanmsindo7686
    @saadanmsindo7686 6 ปีที่แล้ว +1

    Oi mambo ni. Moto

  • @jamilahabibu3527
    @jamilahabibu3527 6 ปีที่แล้ว +1

    Jomnii uoneni wallH loveu more

  • @melvingone7378
    @melvingone7378 3 ปีที่แล้ว

    I like them

  • @meryanbonhur5803
    @meryanbonhur5803 6 ปีที่แล้ว

    so mwaaaaah😘

  • @nugwimpemba3183
    @nugwimpemba3183 6 ปีที่แล้ว +6

    safi

  • @mashallah9380
    @mashallah9380 6 ปีที่แล้ว

    Ma shallah nimeipenda

  • @hustlerdunga9098
    @hustlerdunga9098 6 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiiiiiiiiiii

  • @eaglemost6436
    @eaglemost6436 6 ปีที่แล้ว +14

    But I don't know ur language now I like this live

  • @lailahaillallah4020
    @lailahaillallah4020 6 ปีที่แล้ว

    Mmmm..ikovizuri sana ...bgp

  • @fadhilahaji8719
    @fadhilahaji8719 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah wamevaa kizenji

  • @user-xf8bd3pp9w
    @user-xf8bd3pp9w 6 ปีที่แล้ว

    Kali yani mambo n moto

  • @hamedaabdultaleb713
    @hamedaabdultaleb713 6 ปีที่แล้ว

    Sister nandy umenoga sana mashaAllah

  • @sulesalim9323
    @sulesalim9323 6 ปีที่แล้ว +2

    Mpo top 100% +974

  • @kenyomarion5605
    @kenyomarion5605 6 ปีที่แล้ว +2

    Honestly hamjautendea subalkher haki kuanzia kwenye uchezaji hadi mavazi, nilitarajia Aslay avae kitu kama nusu kanzu hivi iliyodizainiwa fresh chini apige open shoes nzuri, Nandy angeza kuvaa hata kihindi flan hivi afu acheze kwa madaha ya pwani ..ila anacheza wimbo kwanguvu sana anaondoa uhalisia. Otherwise chemistry yao iko poa sana...

    • @immaculatendinda7134
      @immaculatendinda7134 5 ปีที่แล้ว

      Keny Omarion ubinadam kaxi....kumfurahisha kila MTU ni tabu!

  • @yohanabrianbopape8351
    @yohanabrianbopape8351 6 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @mwanaharabu82
    @mwanaharabu82 6 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana Aslay na Nandi

  • @jumaomari1199
    @jumaomari1199 6 ปีที่แล้ว +1

    ilikuwa poa sana

  • @festovenance5570
    @festovenance5570 6 ปีที่แล้ว +3

    Mko vzr

  • @JIMBO_MEDIA
    @JIMBO_MEDIA 6 ปีที่แล้ว

    Aslay ukimuacha Nandy namuhamisha Kenya. +254

  • @marryadam6830
    @marryadam6830 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongeleni sana

    • @mwatumkassu746
      @mwatumkassu746 6 ปีที่แล้ว

      tunawapenfa kinoma hata nikiwa studio ktk kipindi changu mwenge fm zenj huwaga nawekekaga nyimbo zenu sana

  • @gladysreuben2991
    @gladysreuben2991 3 ปีที่แล้ว

    Kabisa

  • @mbozder2748
    @mbozder2748 6 ปีที่แล้ว +1

    nawapenda sana sema Nandy kijora kimehung😂😂😂😂😂kama kavaa kikofia cha shekhe wallai

  • @aishadady3161
    @aishadady3161 6 ปีที่แล้ว

    Safii sana ,nandy n aslay

  • @imusemkuya2757
    @imusemkuya2757 6 ปีที่แล้ว

    mmependezana..nice

  • @annastaziakibole5603
    @annastaziakibole5603 6 ปีที่แล้ว +1

    safi san

  • @sadallahissa8815
    @sadallahissa8815 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice dress

  • @user-en5fr4pw8g
    @user-en5fr4pw8g 6 ปีที่แล้ว

    Safiiii sanaaa.😁😁😁

  • @aminahamisi8672
    @aminahamisi8672 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @henrygodfrey5401
    @henrygodfrey5401 5 ปีที่แล้ว

    unajua sister

  • @user-qn2mh5gt1z
    @user-qn2mh5gt1z 2 หลายเดือนก่อน

    Virement

  • @entrepreneur_zone
    @entrepreneur_zone 6 ปีที่แล้ว +3

    Watoto wa WCB tunasema Nandy amevaa kiheshima kwa sababu wazazi wake wapo hapo,,lasivyo angevaa kabikib tu

  • @daineskimaro4918
    @daineskimaro4918 6 ปีที่แล้ว

    safi nandy penda ulivovaa nice

  • @estherlucas3368
    @estherlucas3368 6 ปีที่แล้ว +1

    🙌🙌🙌

  • @stefanowilondja3623
    @stefanowilondja3623 5 ปีที่แล้ว

    Good job boy asly

  • @gladysreuben2991
    @gladysreuben2991 3 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @benphonerepair
    @benphonerepair 6 ปีที่แล้ว

    Big up

  • @timemussa8708
    @timemussa8708 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @abdul-rahmanabdullah7626
    @abdul-rahmanabdullah7626 5 ปีที่แล้ว

    Mabrouk

  • @sefuhassan5325
    @sefuhassan5325 5 ปีที่แล้ว

    Kweliiiiiiiiii

  • @haithamabdallah1051
    @haithamabdallah1051 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @evematinya6027
    @evematinya6027 6 ปีที่แล้ว +2

    Nasubiri ndoa yenu maaana dooohhh!!!! mmependezana sanaaa

  • @mariamwaziri5691
    @mariamwaziri5691 6 ปีที่แล้ว

    woyooo nawapenda sanaaaaaaaa

    • @jdstanslaus1063
      @jdstanslaus1063 6 ปีที่แล้ว

      asee msiziyaribu nyimbo zawatu amkuitendeya akiiyo nyimbo

  • @hassanimvunye3119
    @hassanimvunye3119 6 ปีที่แล้ว +1

    Ww kaza buti2 aslay. kwani toka ki3mbo ulionekana kuwa u3kuja kuwa m2 wanguvu2 kwenye gem la muziki w kizazi kipya cha tanzania...

  • @fransiscafivawo4919
    @fransiscafivawo4919 6 ปีที่แล้ว +2

    Ai ai😍😍😍😍😍

    • @mariamabeid4005
      @mariamabeid4005 6 ปีที่แล้ว

      Usikariri kufunga tumboni,lazima uwe mbunifu

    • @omegatarimo5956
      @omegatarimo5956 6 ปีที่แล้ว

      duuuu!! ama kweli si mchezo

  • @lovemomomicpapamohamed6568
    @lovemomomicpapamohamed6568 6 ปีที่แล้ว

    😍😍😍😍😍😍😍

  • @hilarypempe3086
    @hilarypempe3086 6 ปีที่แล้ว

    wapo vizurii so siri jamani

  • @mkamitetere9563
    @mkamitetere9563 6 ปีที่แล้ว +1

    imependeza

  • @glorytarimo6278
    @glorytarimo6278 6 ปีที่แล้ว +1

    nawapenda jmn

  • @sameramwajdu9029
    @sameramwajdu9029 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo iyo wanaiga

  • @akidasalim9798
    @akidasalim9798 6 ปีที่แล้ว

    Mmetisha Nandy umependeza

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 ปีที่แล้ว

    Kule Zanzibar mlitozwa ngapi vile mlivoiba uwo wimbo.

  • @maryjunior1517
    @maryjunior1517 6 ปีที่แล้ว

    good

  • @alexmayunga8889
    @alexmayunga8889 6 ปีที่แล้ว +1

    Lakini mi ninachojua hawa watu ni wapenzii ilaa bado tu hawajaamuaa kutuweka wazi na inapendeza saana

  • @michaelmchodo6892
    @michaelmchodo6892 6 ปีที่แล้ว +5

    oaneni sasa