Kesi ya Mwabukusi Dhidi ya TLS Kupinga Kuenguliwa Kugombea Urais Ikirindima

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • #ijuesheria #tlsagm2024 #tlselection2024 #mwabukusi #tls

ความคิดเห็น • 13

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wanamuogopa ni kiongozi imara Tz Zima wanampenda

  • @gaspermsunga8686
    @gaspermsunga8686 3 หลายเดือนก่อน +3

    Chama Cha mawakili no kioo Cha jamii.hiyo kamati iifutiliwe mbali.haitendi haki.

  • @elvisikimaro1178
    @elvisikimaro1178 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muacheni mwabukusi agombee, anafaa kuwa Rais

  • @OscarKasalile-u4k
    @OscarKasalile-u4k 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sanaaa kwa kupambania haki

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ina wahuni tu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mawakili mmejivua nguo wenyewe mtajivarisha wenyewe.

    • @zxcvbnmmkh
      @zxcvbnmmkh 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂Usiombe kuletewa memo kwamba jamaa hatakiwi utapindisha tu. Tatizo ni kwamba tunaishi kwa neema ya teuzi za serikali kwa hiyo lazima utakiuka taratibu uonekane mtiifu ila mjinga na hufai sababu hutashindwa kukiuka ama kupindisha sheria kwa maslahi ya wachache tukikupatia nafasi kubwa pia.

  • @obedmwaipopo8209
    @obedmwaipopo8209 3 หลายเดือนก่อน +1

    Songa mbele mwaisa

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 3 หลายเดือนก่อน

    Chama cha Mawakili TLS, umma unakitazama kama Kioo na jicho la haki Kwa Sisi watu wa ngazi ya chini tulishtushwa kw Dosari zilizojitokeza maana nyie kama wataalam wa Sheria ni tegemezi kwa Watanzania

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 2 หลายเดือนก่อน

    Mawakili musiwe chawa wa ccm

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 หลายเดือนก่อน

    HAKI ITENDEKE MSIMINYE DEMOKRASIA HONGERENI MAWKILI

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie kwa nyie,ngoja inyeshe tuone inapovuja.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 3 หลายเดือนก่อน

      Wanajiumbua wenyewe kwa wenyewe