BALAA JIPYA ALIKIBA KUNUNUA GARI KALI ZAIDI YA ROLLY ROYCE YA DIAMOND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 333

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 3 ปีที่แล้ว +2

    Kila la heri Shemela wetu King 👑...Yoooh..❤️ from Kenya 🇰🇪

  • @jonesiha6919
    @jonesiha6919 3 ปีที่แล้ว +6

    King Kiba Your Simplicity Is What Makes You The Great Of All Time(G.O.A.T)....

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 3 ปีที่แล้ว +17

    Alikiba humble man sio rimbukene

    • @faridaessa7844
      @faridaessa7844 3 ปีที่แล้ว

      Yes

    • @modestakirari6345
      @modestakirari6345 3 ปีที่แล้ว

      Nakataaaa kabsa mm wote wasaniii ni walibukeni kabsa et alikiba Ana ulibuken na kataa coz yeye awez kuonesha mambo yake Ana wat u anawatumia ili wamuongelee na yeye

    • @chimbokiswaga8662
      @chimbokiswaga8662 3 ปีที่แล้ว

      Sahihii

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 3 ปีที่แล้ว +4

    MASHA ALLAH! HUYU KAKA AMEZUNGUMZA VIZURI SANA ! HAKUNA KITU CHA MAANA KAMA KUMCHA ALLAH ! ALLY KIBA USIJARIMU KUWEKA MAISHA YAKO KWENYE WATU ! ALLAH AKBAR! WAKENYA TWAJUWA ALLY NI MCHA MUNGU! KWA MAONI YANGU SIDISHA SADAKA YAKO UTAIKUTA KESHO SIKU YA HESABU AMIN,KAKA NIMEFURAHIA SANA ULIVIO MJIBU JUU! YOTE TUFANYE NA KUMWOGOPA ALLAH ,

    • @abuuaisha3582
      @abuuaisha3582 3 ปีที่แล้ว +2

      Unaujua uchamungu wewe....acha ujinga

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว +27

    Soudy upo sawa kabisaa kila mtu na tabia yake

  • @herimlumba8500
    @herimlumba8500 3 ปีที่แล้ว +16

    Ali kiba ndo king wa Tz👑👑👑

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwjaku nakupenda kaka Mungu akubark kba s mshamba mtt wa jin

  • @dominicjulius3108
    @dominicjulius3108 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwani mungu analuhusu kuimba nyimbo zakidunia

  • @ashbelymasasiramakuneashbe8560
    @ashbelymasasiramakuneashbe8560 3 ปีที่แล้ว

    Kweli xhehe wa mitandaon anatafta uxtaa wa maneno duuuh mwijaku nakpa zako %10000

  • @bronzehke
    @bronzehke 3 ปีที่แล้ว +3

    Moto sana, likes za king kiba zije hapa..

  • @hajilmwalukasa4278
    @hajilmwalukasa4278 3 ปีที่แล้ว +1

    Namuona mwandishi kachoka ata kumsikiliza mwijaku 😍

  • @ahmedsaidi438
    @ahmedsaidi438 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku well done well done

  • @kulwamussa2582
    @kulwamussa2582 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku anawivu sana namafanikioo ya mondi mnafikimkubwa sana hajuilorote timtume muhammadi kasema uychizi waakirii haowatapotea nahawato skikatena kwamondi mtaongeasana mwisho mtakaakimya wenyewe hamumuuguzi kichwa

  • @mahunadechannelbigotv4601
    @mahunadechannelbigotv4601 3 ปีที่แล้ว +3

    Alikiba ni mwana mziki nzuri

    • @suleymanbugado5892
      @suleymanbugado5892 3 ปีที่แล้ว +1

      Hana tu huyo msimpaishe hawezi kumfikia mond wewe

  • @chungalumo863
    @chungalumo863 3 ปีที่แล้ว +1

    Diamond platnumz kaleta challenge kubwa sana kwenye mziki wa bongo respect to him

  • @jeremiekatsuva1009
    @jeremiekatsuva1009 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku asante ku muheshimu mwenyezi Mungu akubariki ndugu

  • @ahmedhernandez6967
    @ahmedhernandez6967 3 ปีที่แล้ว +14

    Maendeleo tunayoyataka kwa king ni kuendelea kuepo kwenye game,Mali zake zitasaidia familia yake,hivi kwani nyinyi wanahabari gari inawasaidia nn ya diamond?

    • @mussamalogo5640
      @mussamalogo5640 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣 maneno ya wakosaji hayo kibakuli hawezi nunua rolls Royce

    • @suzansuzanei1143
      @suzansuzanei1143 3 ปีที่แล้ว

      Kibakuli Nina Tena

    • @hancyhamisi7101
      @hancyhamisi7101 2 ปีที่แล้ว

      @@suzansuzanei1143 bd mtt

  • @HassanMohamed-zg9xd
    @HassanMohamed-zg9xd 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Mwijaku embu epuku kushirikisha Allah kwenye mambo ya hanasa Dini haiizihakiwi

  • @jibabachidi618
    @jibabachidi618 3 ปีที่แล้ว +1

    tafuta nhumba Kwanza sio gari gari utapaki sherii

  • @motoredo314
    @motoredo314 3 ปีที่แล้ว +10

    Jinga hilo misalaba huo ni freemanson wa nguvu 100% .madini ndo misalaba huo ujinga mtoto wa kiisilam huwezi kuvaa misalaba na kuwa agency wa pombe

    • @blackisrael9892
      @blackisrael9892 3 ปีที่แล้ว

      Tz ina wapuuz weng kweli . Uislamu ndoo nn tena umeambiwa mond ni shekh??

    • @motoredo314
      @motoredo314 3 ปีที่แล้ว +1

      @@blackisrael9892 ...... ndini ya kiisilamu hatujaaruhusiwa kuvaa misalaba jaribu kuelewa kisalaba wanavaa makafiri sio waisilamu.sijazungumzia sheikh. nimeelezea sheria za dini.

    • @jovitiluanda4810
      @jovitiluanda4810 3 ปีที่แล้ว +1

      Kafiri ni wewe apo msalaba niaramu lakini kwa mparange unakwenda

    • @motoredo314
      @motoredo314 3 ปีที่แล้ว

      @@jovitiluanda4810 ......sina haja ya kuendelea kushindana na ww elimu ulokua nayo ndogo na sio muelewa hata kiswahili kigumu kikielewa.

  • @betrue33
    @betrue33 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda Mwijaku intewiev sana.

  • @francesfelician3506
    @francesfelician3506 3 ปีที่แล้ว +7

    Alikiba is next level

  • @laipazergy7938
    @laipazergy7938 3 ปีที่แล้ว +22

    Aliyekuambia maendeleo ni kumiliki magari kakupoteza sana

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 3 ปีที่แล้ว +2

      Wewe ni fala mabilionare wote wajumlishiwa pesa zao na assets (magari,majumba na thamani za compuni zao)

    • @TradersEasyWay
      @TradersEasyWay 3 ปีที่แล้ว +5

      @@emariusrush3285 yuko sahii lakini kwa mfano wewe una magari 5 yote makali alafu rafiki yako nae ana nyumba 5 zote ni za dhamani, baada ya miaka 3 mwenye pesa zaidi atakua ni huyo mwenye nyumba 5, maana dhamani ya nyumba inapanda kadri muda unavyokwenda ila magari muda unavyokwenda dhamani yake ushuka. Kwahiyo mtu mwenye akili timamu hawezi ku invest kwenye magari labda iwe ni biashara yake.

    • @mponejawillson1453
      @mponejawillson1453 3 ปีที่แล้ว

      Utakuwaje bilionea ikiwa huna magari ya kifahari weweee?? so acha kukalili.

    • @blackisrael9892
      @blackisrael9892 3 ปีที่แล้ว

      Jichangen ukoo mzima uone kama mnaweza . Njaa tupu nyinyi.pia aliyekuambia kununua gar sio maendeleo hayo ndo mawazo ya mafala.

    • @jovitiluanda4810
      @jovitiluanda4810 3 ปีที่แล้ว

      Mh! kweli machoko niwengi et gari maendeleo ni mawazo ya kifara

  • @wisemusicwisdom4251
    @wisemusicwisdom4251 3 ปีที่แล้ว +7

    Kwahiyo ndio kusema Watu kama kina Suleman waliokuwa na mali nyingi wangejulikanaje kama wangeficha Maisha yao? Maisha mazuri yakija yanakuja tuu na hayafichiki ni kama jipu likikuota usoni

    • @abdulrahmanhassan698
      @abdulrahmanhassan698 3 ปีที่แล้ว

      Apo nakupnga kaka

    • @wisemusicwisdom4251
      @wisemusicwisdom4251 3 ปีที่แล้ว

      @@abdulrahmanhassan698 kuonyesha mafanikio yako sio kuringa au kujiskia Ila ni kuwaonyesha mfano wale walio kata tamaa kwamba na wao wanaweza na kuficha mafanikio ni kuambia watu kwamba haiwezekani kufanikiwa au kuwa na maisha mazuri ukiwa na Vitu vizuri viache vionekane ilimradi hauwatukani watu nakuwakwaza ila anaekwazika kwa mafanikio ya mwenzake huyo hapendi maendeleo ya wengine na yeye mwenyewe hapendi kuendelea ,,Taa ikiwashwa inawekwa ambapo itaangaza wala haifichwi mvunguni Kaka

  • @joyceyusuph3872
    @joyceyusuph3872 3 ปีที่แล้ว +5

    Alikiba ni mtu anayejielewa xana xio limbuken Kama wengine me kama me napenda lifestyle yake hvy baxi namuombea maixha yenye maendeleo tele ingawa kafanikiwa tyr

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 3 ปีที่แล้ว +3

    Mnamchukia Diamond kweli...mlisema Hana pesa akiwaonyesha mnasema haonyeshiiiiiii...watanzania shidaaaaaa

    • @edigajoseph5130
      @edigajoseph5130 3 ปีที่แล้ว

      Akamsaidie babaake Yuko mashimo matup usoni,Hera gani hizo.babaake ukimumwagia maji usoni yanatuwama mwene mabonde. Hera gani hiyo

    • @videlialabeka4899
      @videlialabeka4899 3 ปีที่แล้ว

      @@edigajoseph5130 tell him..not me

    • @edigajoseph5130
      @edigajoseph5130 3 ปีที่แล้ว

      @@videlialabeka4899 ok mam

  • @samlisili7032
    @samlisili7032 3 ปีที่แล้ว

    MWIJAKU ROHO MBAYA UNAUMIA SANA MAFANIKIO YA WENZAKO..........KM WEWE UNGEKUA MTU WA MUNGU KWANN UNAMSEMA MTU .......UMBEA NAO NIDHAMBI KUBWA......

  • @salimochafim478
    @salimochafim478 ปีที่แล้ว

    Mambo machabiki wa alikiba anacho fanha tilissu bili Sana Sana Mungo ampe zaidi Tena tena

  • @emanulkachoji7185
    @emanulkachoji7185 ปีที่แล้ว

    Uko sawa kak

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku yaani halali kamia Ally kazi anaweza huyu angitakiwa manager wa Ally

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 3 ปีที่แล้ว +3

    IDHAA. MAATA. IBNU AADAMA IN_QATWAA AMALUHU ILLAA. MIN. THALAATHA .1: ILMUN. YUNTAFAU. BIHI. 2: WALADUN. SWAALIHU. 3: SWADAQATUN. JAARIYA
    ATAKAPO KUFA BINADAMU. MATENDO YAKE YA KUMUINGIZIA THAWABU HUKATIKA ISPOKUWA. MAMBO. MATATU
    1:ELIMU YENYE MANUFAA
    2:MTOTO MWEMA ATAKAYEMUOMBEA. DUA
    3: AU SADAKA YENYE KUANDELEA ._ KAMA KUJENGA MISIKITI MADRASA KUCHIMBA VISIMA NK

    • @rahmahassan1157
      @rahmahassan1157 3 ปีที่แล้ว

      Shukran kwa ukumbusho allah akubariki

    • @user-to6up4hg2w
      @user-to6up4hg2w 3 ปีที่แล้ว

      Ndoa ni raha online mashallah

  • @kachingwe
    @kachingwe 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania hatuna wanahabari wazuri bali wachonganishi wa wasanii, wanasiasa, wanamichezo nk. Wabadilike

  • @muzneali1164
    @muzneali1164 3 ปีที่แล้ว +6

    Na hizo energy drink mkizinywa Sana zina madhara

    • @ahmedsaidi438
      @ahmedsaidi438 3 ปีที่แล้ว

      Kila kitu kina madhara yake hata Pepsi

    • @muzneali1164
      @muzneali1164 3 ปีที่แล้ว

      @@ahmedsaidi438 Ndio hivyo sio pepsi Tu kitu chochote kikizidi kiwango chake ujue kina madhara

  • @florencemajakazi2889
    @florencemajakazi2889 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku hicho kidole unachokionyesha sijui unamaana gan

  • @mponejawillson1453
    @mponejawillson1453 3 ปีที่แล้ว +9

    Sudi brown umeongea point sanaaaa!! kuwa diamond kawa mfano kwa wasanii wengine ila sio huyo shoga mwijaku anaewashwa matako kila kukicha.

    • @maryamrashid4536
      @maryamrashid4536 3 ปีที่แล้ว

      Kaka Kama hna point ucpende kumtuka m2 maan inaonekan hjui ulitendal Kwan hyo diamond ni baba yako au

  • @hamadiathumankambiakadulla6912
    @hamadiathumankambiakadulla6912 3 ปีที่แล้ว

    Ally kiba nimtuanaejielewa kamwehazj kubadilisha staili yamaishayake

  • @mxelaxafih7514
    @mxelaxafih7514 3 ปีที่แล้ว

    Maishaaa ya kupost mtandaooo ya kishogaaa

  • @salsoandreas5147
    @salsoandreas5147 3 ปีที่แล้ว +1

    Wijaku mjinga sana kila kitu ajua cha Hamisa

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 3 ปีที่แล้ว +1

    Alikiba ataonyeshaje na Hana!!!

  • @alainebengasaligo7447
    @alainebengasaligo7447 3 ปีที่แล้ว +1

    mwijaku kuonyesha gari sio ulimbukeni ila ni hali fulani mtu anafanya au kufuraia maisha yani tangu nimezaliwa sijahona mtu mwenye chuki km mwijaku angekua mchawi km anahata mtoto

  • @mrgeorgeisdory5277
    @mrgeorgeisdory5277 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwandishi bado limbukeni
    Maendeleo kununua Gar

  • @joniejr750
    @joniejr750 3 ปีที่แล้ว

    Samwijaku nimsemaji wawatu wangap jaman apo apo nimsemaji WA hamisa/alikiba/harmonize/duuh

  • @muhasatv9245
    @muhasatv9245 3 ปีที่แล้ว +1

    UYU SOUDY MSOMI ANAJIBU KISOMI HATA LEO AKIHAMIA UPANDE WA PILI HAKUMBANI KSBISA ANAXO POINT,

  • @masoudasaa4416
    @masoudasaa4416 3 ปีที่แล้ว

    Ilo gar sio Alikiba tu bali kwa tz hii hawez kununua mtu yeyote mm nawaambia na iyo ni future car watu wenye peza zao walifanya oder maalum ili watengenezewe gar la 2025 na waweze kutumia kuanzia 2021 na thamani ya gar ilo ni €22million so sema ww mwenyewe uloamua kusema kwamba alikiba ananunua gar ilo ivi anautajir unaofikia hata €10million tu.?
    Izo kik zaajabu achen bwana..

  • @suleamber844
    @suleamber844 3 ปีที่แล้ว +2

    Kingkiba always on top

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 3 ปีที่แล้ว

    Alikiba is a public figure
    So every thing about him is public wether he likes it or not. So huyo mpumbavu anayeongea kama cherahani anayedai ni msomi, haelewi hilo anajaribu kutumia nguvu na badala hoja kutetea Alikiba anayependa umaarufu ila asiyependa mambo yake yajulikane .

  • @luzugatv5270
    @luzugatv5270 3 ปีที่แล้ว

    Rolls Royce unailinganisha na Horse Power huo niujinga

  • @hassanalbasry8706
    @hassanalbasry8706 3 ปีที่แล้ว +5

    Mofaya ilienda wapi???

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwijaku umesemakweli niyaibu vijana waki islam wanavaa misaraba dunia inawadanganya ikosiku watakwenda kuulizwa mbele ya Allah

  • @prosperitymaarifa1336
    @prosperitymaarifa1336 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa ana kiherehere....kweli hana akili huyu jamaa

  • @abuubakarali1644
    @abuubakarali1644 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku chawa heeeeeee

  • @rajabutumaini551
    @rajabutumaini551 3 ปีที่แล้ว +1

    sasa wemwijaku nimwisilam gani mwenywe loho yahusida mbona maendeleo ya diamondplatnumz yenyewe unayapinga alikukoseaga nini

  • @dangomc_niger
    @dangomc_niger 3 ปีที่แล้ว +2

    Hilo jimama msilipe mike linaongea pumba tu big up to soud

  • @barakamabula9579
    @barakamabula9579 3 ปีที่แล้ว +3

    King KIBA🙏🙏🙏

  • @rachaeljoseph1685
    @rachaeljoseph1685 3 ปีที่แล้ว

    Hat mm napenda lifestyle ya kiba

  • @athmanmuhammed7333
    @athmanmuhammed7333 3 ปีที่แล้ว

    Mwasifia deally ya powerhorse mwajua powerhorse kuna nini ndani yake . Ukijua vile inavyotengenezwa hutainywa.

  • @ndikumanarodrigue5657
    @ndikumanarodrigue5657 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ana kimbelembele

  • @mxelaxafih7514
    @mxelaxafih7514 3 ปีที่แล้ว

    King kiba ndo maisha yakeeee

  • @BenMusundi
    @BenMusundi ปีที่แล้ว

    King kiba Kingdom ❤❤❤

  • @nickomlimbila217
    @nickomlimbila217 3 ปีที่แล้ว

    DIAMOND MWACHENI AITWE DIAMOND HANA WA KUFANANISHWA

  • @waynemusic7181
    @waynemusic7181 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ni chawa wa harmonize kweli. inamana nilevo za kina rick rosee

  • @suleimanabdala3784
    @suleimanabdala3784 3 ปีที่แล้ว +1

    King ni mmoja tu ni kiba

  • @godfreymaswe8443
    @godfreymaswe8443 3 ปีที่แล้ว

    Hana uwezo wa kununua hiyo Bugatti, ata akiungana na mond, hamoniz, wauze kila kitu hawawez nunua hilo gari,hilo lina dhaman ya zaid ya billion 50 au million elf 50

    • @aminaqatar5041
      @aminaqatar5041 3 ปีที่แล้ว

      Wewe unaweza kununua acha kujipendekeza Fanya kazi ununue chakwako acha kubabaikia mume mwenzio

  • @kulwamussa2582
    @kulwamussa2582 3 ปีที่แล้ว

    Mnakaa kumjajimtu kwavijembe vyakisenge wivu utawauwa kwanza wabongo hawapendi ufanikiwe kama nisifa sanafanyia sifa kwenye chake kajakufanya sifa kwenye vituvyenu nabado mtakonda sana mpaka mbaki namaladhi yaroho

  • @dominicjulius3108
    @dominicjulius3108 3 ปีที่แล้ว +1

    Apendagi magal

  • @jonesiha6919
    @jonesiha6919 3 ปีที่แล้ว

    King Kiba they Hate You Because They Miss What You Have....

  • @mbondoramadhani8099
    @mbondoramadhani8099 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmh kuna kaz mpaka uwe na kipaj ndo utaifanya,,,maana sio kwa umbea huo...

  • @blackandblackandblac
    @blackandblackandblac 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku Tanzanians ENEMY OF PROGRESS

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 3 ปีที่แล้ว +2

    Toa ujinga Mzee,et kanunua Gar kulko ya diamond Maneno ya Kuambiwa!!

    • @hafsaibrahim6675
      @hafsaibrahim6675 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂Me ndo imenifanya nikaigia

  • @benithabuberwa1553
    @benithabuberwa1553 3 ปีที่แล้ว

    Atoe wapi

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 3 ปีที่แล้ว +1

    insha'Allah

  • @omarikinyory5785
    @omarikinyory5785 3 ปีที่แล้ว +1

    Me napenda sana life style ya king kiba mahana kira mtu ana life style yake kwaiyo co mbaya kira mtu akifanya anacho penda

    • @loycekisiri4020
      @loycekisiri4020 3 ปีที่แล้ว

      Kila mtu na msanii anaempenda ila tumkumbuke mungu

    • @loycekisiri4020
      @loycekisiri4020 3 ปีที่แล้ว

      Kama wasanii wanampenda mungu matuc ya nini mnatoa

  • @hasanainkhalid5367
    @hasanainkhalid5367 3 ปีที่แล้ว +2

    Nanikamuona muandishi anaweka sura pemben baada yamwijaku kurusha mate

  • @mgasa_tz5527
    @mgasa_tz5527 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku wew ni Km" La Bibi yako

  • @mashilingi4285
    @mashilingi4285 3 ปีที่แล้ว

    Ni mkali King kiba

  • @aminatashaibu4211
    @aminatashaibu4211 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku nakupendaga jamani unayamwaga

  • @kessysugutha5774
    @kessysugutha5774 3 ปีที่แล้ว

    Njaa ni kitu kibaya sana sana

  • @madinisilasofficial7831
    @madinisilasofficial7831 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukitaka kupigwa na Mkenya ongea vibaya kuusu Ali Kiba

  • @mahewafunnymoments2023
    @mahewafunnymoments2023 3 ปีที่แล้ว

    Hongera bro

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 3 ปีที่แล้ว

    Bt unajua hiyo gari ni pesa ngapi muwache ufala

  • @popiya2368
    @popiya2368 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe umesikia wapi mashahiki tunataka kujua acha hizo

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 ปีที่แล้ว +9

    Mwijaku UONGO mwingi xana

    • @habibukidunda8362
      @habibukidunda8362 3 ปีที่แล้ว

      huy jamaa mtagazaj Niki azi achana naee kaka

  • @dadeadamo874
    @dadeadamo874 3 ปีที่แล้ว

    Amuna chochote machawa nyinyi mwacheni Diamond ni muaka wake huu Mwijaku hata ndege ajawai kumpanda ww Mwijaku si mwisilam ila ni nnafiki au kafiri mojawapo kwenye music

  • @modestakirari6345
    @modestakirari6345 3 ปีที่แล้ว +6

    Hamo nae anavaa izo helen nini km si msalaba

  • @samsonikomba5758
    @samsonikomba5758 3 ปีที่แล้ว

    Mtaishia to kusema vby d platnam hamta muweza kamweee

  • @danleeplatnumz8292
    @danleeplatnumz8292 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijui ndo gari gani hlo kali kuliko rolls royce😂😂

    • @yussufyrn1590
      @yussufyrn1590 3 ปีที่แล้ว

      Ata mim nashindwa kuelewa 😅😅

  • @mohamedjuma1769
    @mohamedjuma1769 3 ปีที่แล้ว +1

    Pesa ni kama mimba kama IPO itaonekana tuuuuu SASA mbona kiba kama pesa IPO mbona hatuioni???

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi hiko kinywaji kupata baadaye tatizo afya mambo yote maji madafu

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwijaku ataharibu hiyo energy drink🤣🤣

  • @jonesiha6919
    @jonesiha6919 3 ปีที่แล้ว +1

    Keep Ruling King Kiba because you are the Only King we have!

  • @najmakhalfan2254
    @najmakhalfan2254 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwinjaku Nimekupnda kwa kelele zako

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Mweijaku hayo Mambo ya msalaba uache kupotosha, usidharau imani za watu, mbona Harmonize Ana hereni kubwa za msalaba masikioni, acha uchonganishi. Unapitiliza

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว +2

    Ali kiba si mtu wakutangaza mambo yake hii itakuwa ni uongo

  • @teresiamwende8606
    @teresiamwende8606 3 ปีที่แล้ว

    Tz yaani kiki Hadi baasi😳

  • @kevoowasanya8675
    @kevoowasanya8675 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ni hewaa 2 kma dada angu

  • @mdangadaniel2185
    @mdangadaniel2185 3 ปีที่แล้ว

    Ataonesha nini wakati hana kitu?Alikiba nimasikini kama masikini wengine mnajitahidi kumpamba wakati hana kitu

  • @lucasjames2102
    @lucasjames2102 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku bwan mim huwa ananchekeshag mno

  • @bignation9892
    @bignation9892 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu sudibrown yuko na hekima sana sio kama hiyo binti hapo kando yake

    • @maryamrashid4536
      @maryamrashid4536 3 ปีที่แล้ว

      Na ww pi hujielew Kwan katembea na kaka yako mpak unamuit binti

    • @bignation9892
      @bignation9892 3 ปีที่แล้ว

      @@maryamrashid4536 pole kama imekuuma but I made my opinion due to my observations... Now tell me tofauti Yako na yy ni nn?

  • @samaamin2501
    @samaamin2501 3 ปีที่แล้ว

    Elfu Sadakta ya Sheikh Mwinjaku

  • @alainebengasaligo7447
    @alainebengasaligo7447 3 ปีที่แล้ว

    Leo tangu nimehanza kufata commenti za mwijaku leo kaho gea vizuri kumbe anahogopa kusema makufuru