Sasa hivi ni club ya wakubwa. Bahati mbaya upande wetu yuko bize na vitu visivyo na maana wakati wenzetu wanatumia ukubwa wa Tanganyika kama soko la bidhaa zao I stand corrected
Kwa nn mjifungie ndani na msiruhusu camera? ( yani waandishi wa habari) ni nini kinachofichwa..kama ni mambo mazuri kwa mataifa yetu kwa nini mfiche wananchi wasijue..ikiwa wananchi ndio waliowachagueni na mpo hapo kwa dhamana yao??!
Chawa mkubwa bila aibu. Hujitsmbui. Ni watu wa kuiga mambo bila kuwa na faida yoyote. Umemsifia Samia , Samia, Samia, samaia, Samia, Samia, Samia. Unamwabufu huyu kuliko Mungu wako mwanaume mzima unajishudha kama huna kitu huko juu cha kujivunia kama mtu mwenye elimu na taaluma unayejielewa na uko hufu. Ni mzanzibsri nini. Kwa nini mnakuwa vibaraka vya Raisi bilakutumia skili na elimu zenu .
Sio kila kitu kipingwe,hata mazuri yasisemwe eti kwa vile kasifiwa mama Samia.hii itakuwa ni ajabu.Huyu Anaeleza vizuri na kuzidi kitangaza nchi yetu na mazuri yake. Hapa Tanzania yetu ni moja.Mwanamke anaweza kufanya vizuri kuliko hata mwanaume. Matusi sio ushujaa ni kujionyesha jinsi kichwa chako kilivyo pungukiwa nabusara.
Hongera sana kwa ufafanuzi tunakukumbuka kazi nzuri uliyotufanyia
👍👏👌
🇹🇿🇹🇿💕🏆
Maelezo mazuri saana Mhe Waziri. Mungu ibarik Tanzania 🇹🇿 Mungu ibarik jumuiya yetu
SAFI MZEE PIGA KAZI 😢😢😢😢😢
Mashaallah Allha 🤲🏾
Hiyo aliyovaa karibu na mfuko wa koti ni nini, au rangi inaashiria mini?
East Africa Community ya 1965 mpaka 1977 ilifanya makubwa kuliko hii ya miaka 25. Tunashuhudia ushindani ndani ya jumuiya kuliko ushirikiano.
Nani kaivunja, na kwanini kama ilifanya mambo makubwa?
Sasa hivi ni club ya wakubwa. Bahati mbaya upande wetu yuko bize na vitu visivyo na maana wakati wenzetu wanatumia ukubwa wa Tanganyika kama soko la bidhaa zao I stand corrected
Acha uchawa mzee,nchi haiko salama
Iweke salama wewe mwenye ujuzi, usiwe mropokaji, itazame Congo, Somalia na Sudan, halafu ndio useme Tanzania haiko salama.
HAUKO salama peke yako FANYA KAZI HAKUNA MIUJIZA 😢😢😢😢😢
Vita ikowapi ili tujichimbie?au Makombora ya ORESHNIK yanatupwa huko kwenu unyamwezini?@abdifaraji2883
Hii
Filand tarehe 1 january 1999 walijiunga na mfumo wa kipesa wa euro...
Kwa nn mjifungie ndani na msiruhusu camera? ( yani waandishi wa habari) ni nini kinachofichwa..kama ni mambo mazuri kwa mataifa yetu kwa nini mfiche wananchi wasijue..ikiwa wananchi ndio waliowachagueni na mpo hapo kwa dhamana yao??!
Hamtendi HAKI katika Uchaguzi wa Wananchi.
Chawa mkubwa bila aibu. Hujitsmbui. Ni watu wa kuiga mambo bila kuwa na faida yoyote. Umemsifia Samia , Samia, Samia, samaia, Samia, Samia, Samia. Unamwabufu huyu kuliko Mungu wako mwanaume mzima unajishudha kama huna kitu huko juu cha kujivunia kama mtu mwenye elimu na taaluma unayejielewa na uko hufu. Ni mzanzibsri nini. Kwa nini mnakuwa vibaraka vya Raisi bilakutumia skili na elimu zenu .
Sio kila kitu kipingwe,hata mazuri yasisemwe eti kwa vile kasifiwa mama Samia.hii itakuwa ni ajabu.Huyu Anaeleza vizuri na kuzidi kitangaza nchi yetu na mazuri yake. Hapa Tanzania yetu ni moja.Mwanamke anaweza kufanya vizuri kuliko hata mwanaume. Matusi sio ushujaa ni kujionyesha jinsi kichwa chako kilivyo pungukiwa nabusara.
Hamtendi HAKI katika kila Uchaguzi kuanzia 2019 mpaka leo 2025. Uchaguzi sio wa HURU na wa HAKI.
Oooooooooooooloooooooooo
Mzee hapa nahesabu. Umemtaja kwa kumsifia maza x 72. Basi imetoshaa. Pumzika Kha!
😂😂😂😢
Waziri hapo umekosea Finland wao wanatumia EURO. Sweden , Danmark pamoja na Norwey ndio wanatumia Kronor.
Ajuwi kitu anajifanya anajuwa ote atujasoma
Kwani wewe hukosei?@@rogerabdallah439