Uwekaji wa Uzio wa Umeme (Electric fence)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2022
  • FAABI Electrical Service Provider Ltd tumekamilisha uwekaji wa Uzio wa Umeme (Electric Fence) maeneo ya Kigamboni Kibada. pata maelezo machache kupitia Video yetu hii na ukivutiwa nasi usisite kuwasiliana nasi au fika kabisa ofisini kwetu:
    FAABI Electrical Service Provider Ltd
    Sinza E. Near TP Football Ground
    Dar es salaam, Tanzania
    Mawasiliano:
    0787577755
    0777077755
    0767577755

ความคิดเห็น • 13

  • @godloveminja2276
    @godloveminja2276 หลายเดือนก่อน

    Pamoja mkuu

  • @joshuamollel5760
    @joshuamollel5760 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ninaswali ndugu pale inapotokea leakeg kwenye earth nikadisconect Earth rod mbili alam ikaacha kulia ila apo kwenye energezr taa zinawaka had kwenye chek nini nifanye ili kukamilisha ukamilifu wa fence maana mm sjainstall bal nafanya kuitengeneza baada ya leakeg

    • @faabielectricalserviceprov5110
      @faabielectricalserviceprov5110  2 หลายเดือนก่อน

      Hapo kuna tatizo hivyo inabidi uanze kufungua kwanza zile jampa zote na kuondoa looping zote kisha Pima laini na laini utakuja kuona shida ilipo!

  • @eliaminimmbaga5782
    @eliaminimmbaga5782 ปีที่แล้ว

    Bei Gani?

  • @juliethmaiga4504
    @juliethmaiga4504 ปีที่แล้ว

    Mfano iking'angania alam

  • @kennedywambuah
    @kennedywambuah 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi safi sana kaka, napenda. Naomba unisaidie na namba please

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 2 ปีที่แล้ว

    Namba please

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 ปีที่แล้ว

    Naomben number zenu