![FAABI Electrical Service Provider Ltd](/img/default-banner.jpg)
- 14
- 27 762
FAABI Electrical Service Provider Ltd
เข้าร่วมเมื่อ 3 ต.ค. 2014
Ni kampuni inayojishughulisha na mifumo bora safi na salama ya Umeme, Mifumo ya Ulinzi na Usalama majumbani pamoja na kuuza na kusambaza vifaa bora ya Umeme. Pia tunatoa ushauri bora wa matumizi sahihi ya Umeme na vifaa bora vya Umeme.
AUTOMATICALLY OPEN & CLOSE GATE BY USING REMOTE CONTROL or SMARTPHONE.
AUTOMATICALLY OPEN & CLOSE GATE BY USING REMOTE CONTROL or SMARTPHONE.
มุมมอง: 19
วีดีโอ
UWEKAJI WA MIFUMO YA UMEME HATUA YA KWANZA.
มุมมอง 2502 หลายเดือนก่อน
FAABI Electrical Service Provider Ltd tumekamilisha hatua ya kwanza ya uwekaji wa njia za mifumo ya Umeme kwa kufanya design ya points za switches, switches Sockets, Main switch kwa ubora na usafi wetu ule ule wenye kuvutia. j Jionee Video hii!!
MAELEZO YA UFANYAJI WA KAZI WA ELECTRIC SECURITY FENCE
มุมมอง 166ปีที่แล้ว
MAELEZO YA UFANYAJI WA KAZI WA ELECTRIC SECURITY FENCE
WALL & CEILING DECORATIONS LIGHTS DESIGN & INSTALLATION
มุมมอง 118ปีที่แล้ว
Jionee Design bora kabisa ya Wall & Ceiling Decorations Lights kutoka kwetu FAABI Electrical Service Provider Ltd. Hapa tumehusika na Design, uchaguaji wa Taa bora na ufungaji pia.
HATUA YA KWANZA YA MIFUMO YA UMEME!!
มุมมอง 810ปีที่แล้ว
FAABI Electrical Service Provider Ltd Tumekamilisha hatua ya kwanza ya Circuit design, ujengaji wa Square boxes, Main Switch na uwekaji wa Conduits pipes kwa Site yetu hii maeneo ya Nkinga Igunga Tabora.
ELECTRIC SECURITY FENCE ENERGIZER MACHINE
มุมมอง 2.3Kปีที่แล้ว
ELECTRIC SECURITY FENCE ENERGIZER MACHINE
Uwekaji wa Uzio wa Umeme (Electric fence)
มุมมอง 12K2 ปีที่แล้ว
FAABI Electrical Service Provider Ltd tumekamilisha uwekaji wa Uzio wa Umeme (Electric Fence) maeneo ya Kigamboni Kibada. pata maelezo machache kupitia Video yetu hii na ukivutiwa nasi usisite kuwasiliana nasi au fika kabisa ofisini kwetu: FAABI Electrical Service Provider Ltd Sinza E. Near TP Football Ground Dar es salaam, Tanzania Mawasiliano: 0787577755 0777077755 0767577755
Hatua ya kwanza katika kuandaa mifumo ya Umeme.
มุมมอง 10K2 ปีที่แล้ว
Jionee kazi za hatua ya kwanza ya Circuit design na Installation yake huku pimamaji na tape measure ikihakikisha ubora thabiti kutoka kwetu sisi hapa FAABI Electrical Service Provider Ltd. Ukivutiwa na kazi zetu usisite kamwe kuwasiliana nasi au fika kabisa ofisini kwetu. FAABI Electrical Service Provider Ltd Sinza E. Near TP Football Ground Dar es salaam, Tanzania Mawasiliano: 0777077755 07875...
Uhakiki wa vipimo
มุมมอง 1973 ปีที่แล้ว
Hapa tukihakikisha points zetu zinakaa sehemu sahihi kwenye uwekaji wa njia za mifumo ya katika maghorofa.
Design & Installation Decoration lights work done by us FAABI Electrical Service Provider Ltd
มุมมอง 1343 ปีที่แล้ว
Gypsum & wall Decoration lights
UVUTAJI WA WAYA
มุมมอง 1.1K4 ปีที่แล้ว
FAABI Electrical Service Provider Ltd tunaendelea na hatua ya Wiring na sasa tupo kwenye hatua ya pili ya Wiring.
Pamoja mkuu
Kazi nzuli sana pia naitaji namba ya sim
Kazi powerful
Assalaykum pambe
Nimepata kitu
Hongeren sana
Tunashukuru sana!
Naswali kdg
Uliza!
Nko na swali ndug yang
Uliza tu!
Mependa ila sauti muongeze
Sawa tutaboresha zaidi!
Kazi safi sana kaka, napenda. Naomba unisaidie na namba please
0787577755 0767577755
Ninaswali ndugu pale inapotokea leakeg kwenye earth nikadisconect Earth rod mbili alam ikaacha kulia ila apo kwenye energezr taa zinawaka had kwenye chek nini nifanye ili kukamilisha ukamilifu wa fence maana mm sjainstall bal nafanya kuitengeneza baada ya leakeg
Hapo kuna tatizo hivyo inabidi uanze kufungua kwanza zile jampa zote na kuondoa looping zote kisha Pima laini na laini utakuja kuona shida ilipo!
Mm niko kenya i like your job pia nikiweza kufanya n nyie nitaskia raha sana mm ni fundi wa electrical
Shukrani na karibu sana!
Kazi safi sana mafundi wa faab
Tunashukuru sana!
Your number, agent, please..
Bos hii kazi yko iko fine sana teem fab b
Asante sana!
Iko poa sana mtaalamu
Tunashukuru sana!
Good work 😍
Asante sana!
Guud! Napend mafundi wenye kujua kutenda kazi smart pasipo ujaunjaujanja. Unajua kueleza vizuri kiufundi na unaeleweka. Hongera
Shukrani sana!
Je main switch na square box inatakiwa ibaki cm ngapi kwa ajili ya plasta
Bei Gani?
namba ya simu tafadhali?
0787577755 0767577755 0717577755 Karibu sana
Hii nzuri Sana vibaka wanatoka mbio
Yes ipo poa sana!
I need your contact plz i need to talk to u plz
Kiongoz naweza pan nafc ya kujiunga nanyie ili kipiga kazi
Tuombe uzima na kazi zikiwa za kutosha tutakupatia nafasi mtaalam. Kikubwa fuatilia Channel yetu hii na Page zetu.
Kama hakuna sakafu tunaweka cm160 hd 150
Pima kuanzia pale tofali ya kusimama inapoanza kujengwa na si kuanza chini ya sakafu utapotea!
Mfano iking'angania alam
Itakuwa kuna fault hivyo ni kuifuatilia!
Tupo pamoja sana
Shukrani sana!
Safii mkuu
Pamoja sana mtaalam
Tunashukuru sana
I see you brother
Shukrani sana!
Namba please
0787577755 0717577755
Naomben number zenu
0787577755 0767577755 0717577755 Karibu
Mmetsha boss
Shukrani
nice
Thanks