VITA KATI YA SHETANI NA UZAO WA MWANAMKE | Must Watch

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มี.ค. 2022
  • Kila uzao wa mwanamke haijalishi amezaliwa kutokea wapi,, uzao huo unakusudi la MUNGU. Ni lazima tulinde hayo makusudi ndani yao
    .
    Karibu tujifunze BIBLIA pamoja. Neno la Mungu ni taa na mwanga wa njia zetu hivyo karibu tujifunze namna ya kuitumia hiyo taa vizuri na kuielewa vizuri. Neno la MUNGU lisilo goshiwa
    .
    Tunapatikana Dar es Salaam, Tabata Kinyerezi
    Kwa mawasiliano na sadaka :- +255762664498
    .
    #shorts #subscribe #mahubiri #admministries

ความคิดเห็น • 6

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina kubwa mafundisho mazuri nayanajenga,

  • @claudiamzava7640
    @claudiamzava7640 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi Kwa mafundisho mazuri sana hakika Mungu anakusudi Kwa Kila maisha ya mtoto hapa duniani .

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Msichague sehemu moja inabidi vituo mbali mbali kidogo kidogo

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Unafanya vizuri wa nje ya nchi tunapata Kitu

    • @admministries
      @admministries  2 ปีที่แล้ว

      Amina endelea kutufuatilia pia share au shiriki na kwa watu wengine ili tunufaike kwa pamoja na MUNGU akubariki