Ndio maana hata nakala hii inasomwa na wachache lakini kama ungekuwa ni ya picha za aibu, wangepigania hapa ndugu zangu. Kwangu najivunia kuwa mtu mweusi rangi ya thahabu. Kataa kata kata utumwa.
Hakika yote ni kweli,naamini yatakuwa Kama vijana wataondoa dhana ya kupiga pesa,pesa haipigwi,pesa inatafutwa bwana,vijana tambueni. Big up Edgar kwa simulizi.
Ni kweli kabisa...usichoke kuelimisha...Umeshafungua vichwa vya wengi.mimi nikiwa mmoja wao..Sasa siamini tena kuwa Africa ni masikini...na kuwa hatuwezi bila wazungu....Asante sana
Walituachia elimu ya vyeti na kukalili Sana ili tufauru. Elimu ya maarifa,ujuzi,ubunifu,uvumbuzi wakaondoka nayo nasi tukamuachia Mungu. Adui mkubwa wa Afrika ni ukarimu wa mshumaa. Karibu mgeni mwenyeji anyoke na sii apone.
Na haohao magufuli alipoanzisha vita ya makinikia walisema tutakufa na njaa kwa vile wazungu watasusa kufanya biashara na sisi.ama kweli bora usisome lkn ukawa na hekima kuliko maprofesa wengi vihiyo na mamluki na vibaraka wa wazungu waliojaa kwenye bara hili la Afrika""nimefurahi magufuli kuingia tena ikulu lakini naumia sana kwa vile hiki ni kipindi chake cha mwisho ikulu""tusubiri atakayeingia maana watu walivyomiss kwenda ULAYA??? kama naziona passport zitakavyo gongwa mihuri ya mbele kila mwezi.
Ndugu unachosema ni kweli lakin kwa sisi hapa ndio yale yale dogo kuswaga ng'ombe kwasababu leo hii mtu akiwa elimu yake ni darasa la saba agombee urahis basi atapata kura mbili kwann tunaamini mtu akifaulu ndio anaakili na kuwa na uwezo wa fikra sasa kwetu hili sawa je hao tulio wapa dhamana ya kuongoza inchi ndio wanayumba na unafki mwingi tukisimama himara mbona tunafikia lengo
Africa eeeeeeeeeeee kumekuchaaaa tuamke jamani ujinga wetu utaisha lini jamaniii? Ebu tunavyoamshwa na mungu tuamke tunataja tuamshwe na nn jamani?? Ebu tusome tuelewe jamani mm nimeshaelewa sijui ww mwafrica mwenzangu
Bwana Ananias, asante sana kwa makara haya. Hakika uliyoyasema yote ni ukweli mtupuu. 1. Vichwani wametuchafuwa kabisa. Tunajidai kuongea tukiungaunga lugha za wengine. 2. Ulaya watoto tunaowazalia huku, hata neno moja la kiswahiki hawajuwi. Waangalie wenzetu, wachina, wahindi, wao lugha zao kwanza hata hapa ulama ni kama kidole na pete. Nasikitika mno kuona watoto wangu, hawaongei lugha yangu ya nyumbani. Na wasiojuwa wanaona hao kama maendeleo kumbe ndo ukoloni mambo leo. Endelea kutunyosha ndugu Mpagaze na Ananias Edgard. Nafagilia sana kazi zenu. Asanteni.
Ujataka kuwafundisha watoto wako kikwao ... Ila ungetaka angejua kabisa ila wengi wenu mkifika ulaya Na malekani bhax mnajikuta wamalekani teali ... Hapo wewe baba ndio mwenye makosa
Ndio maana hata nakala hii inasomwa na wachache lakini kama ungekuwa ni ya picha za aibu, wangepigania hapa ndugu zangu. Kwangu najivunia kuwa mtu mweusi rangi ya thahabu. Kataa kata kata utumwa.
tusipimane kwa mitihani ya darasani, tupimane kwa mitihani ya maisha. nimekubali. mwenye chet safi analala njaa mwenye 0 analala kashiba. ❤️❤️❤️💯
Chakula cha ubongo 🔥
Hakika yote ni kweli,naamini yatakuwa Kama vijana wataondoa dhana ya kupiga pesa,pesa haipigwi,pesa inatafutwa bwana,vijana tambueni.
Big up Edgar kwa simulizi.
Ni kweli kabisa...usichoke kuelimisha...Umeshafungua vichwa vya wengi.mimi nikiwa mmoja wao..Sasa siamini tena kuwa Africa ni masikini...na kuwa hatuwezi bila wazungu....Asante sana
Ubarikiwe sana mpagaze
Ananias Asante kwakutuelimisha Asante sana hivi tumeshudwa Africa kuwa na ruga moja kweli Africa tujirekebishe
Unasema ukweli kabisaa babangu
Umitisha sana
Turudini Afrika
Hongera sana ...ni kweli kabisa yaani ndivyo tulivyo kabisa ...sijui kwa nini ...Afrika Afrika kweli Waafrika
Natamani sana ungekuwa mchambuzi wa habari za TBC maana tungeipenda sana
Ananiasss aiseee unachimba sana madiniii ila naomba hiii ata serikali ijue mana dah wamelala sana aniii
Serikali labd ya zaman ya sasa ipo kwenye mstari mnaitukana
We mtu mhhhhh 👍!!!
Ubombongo wetu umeliwa namucha wa kikoloni haswa kwavyiongozi
Nikweli
Hii ni point og
Kunywa fanta yamekutoka maneno makali Sana,,
Walituachia elimu ya vyeti na kukalili Sana ili tufauru.
Elimu ya
maarifa,ujuzi,ubunifu,uvumbuzi wakaondoka nayo nasi tukamuachia Mungu.
Adui mkubwa wa Afrika ni ukarimu wa mshumaa.
Karibu mgeni mwenyeji anyoke na sii apone.
Tunashukuru kwa kuijenga kifikra jamii Mungu azidi kukupa upeo
Kabisa ndugu huwa mimi na fwatiliya nikiwa kwetu burunudi
Maneno mazito Yaliyo uzima wa akili
My Congo🌍🇨🇩🇨🇬
Well done bro for these messages
You are a good narrator bro
Uongo ni kweli uliyoikataa...
Mungu saidia watu wako,, Asante
Weye ni noma kabisa kwa makala haya ya Afrika , ningeli tamani uwe hata raisi wa Afrika nzima
Ananias nimekugawa bure eti unavaa mtumba halafu unakuwa na hamu ya kuolewaolewa🤣🤣sicheki kama mazuri
Daah
ubarikiwe sana Ananias edigr nampagaze❤❤❤❤
Nakushukuru wakuelimusha jamii japo bado kunawatu wagumu kuelewa mungu akubariki tutafika tu
Nguo za mtumba 😔😔😔
Unasema ukweli kakah kama tungekuwa tuna serekali zote za kiafrka walo mesoma kama wewe tungekowa mbali👌🏾
Kuna watu walisema wataweka rehani madini ya nchi wachukue mikopo
Basi wakashangaliwa kama mashujaa wa kuikomboa nchi!!!
Na haohao magufuli alipoanzisha vita ya makinikia walisema tutakufa na njaa kwa vile wazungu watasusa kufanya biashara na sisi.ama kweli bora usisome lkn ukawa na hekima kuliko maprofesa wengi vihiyo na mamluki na vibaraka wa wazungu waliojaa kwenye bara hili la Afrika""nimefurahi magufuli kuingia tena ikulu lakini naumia sana kwa vile hiki ni kipindi chake cha mwisho ikulu""tusubiri atakayeingia maana watu walivyomiss kwenda ULAYA??? kama naziona passport zitakavyo gongwa mihuri ya mbele kila mwezi.
👏👏👏👏👏
Hapo kwa Magufuli wa Congo hapo laba miaka 50 ijayo huko
Africa tunaenda kusipo kujua na bila kufika
Dah umenena vyema kaka fact
Naumia sana kuona wageni wananyenyekewa kuliko wazawa inauma
kiukweli madini haya ningetamani Wafrika wote tuyapate tukijitambua na kuamua nini tufanye
. Mungu akutunze
Nini kilichoturoga wafrika? Hapa tunaitaji mganga wa kututoa ujinga.
Muda ni huu wa kuamka Africa Tanzania tumeanza kuamka kwa kasi ya ajabu.
Ukiachana na kumsifia magufuli sana
Hem skumoja jaribu kuongelea kuhusu Muungano
Waislsm tunataka kuwa waislam kuliko mtume Muhammad ni ukweli kabisa yaan 🙌🙌🙌🙌
Na wakristo nao😂 ila madimi yooote ni nyolo tu
Ndugu unachosema ni kweli lakin kwa sisi hapa ndio yale yale dogo kuswaga ng'ombe kwasababu leo hii mtu akiwa elimu yake ni darasa la saba agombee urahis basi atapata kura mbili kwann tunaamini mtu akifaulu ndio anaakili na kuwa na uwezo wa fikra sasa kwetu hili sawa je hao tulio wapa dhamana ya kuongoza inchi ndio wanayumba na unafki mwingi tukisimama himara mbona tunafikia lengo
Mzee tuliku miss saana yani
Africa shida ni viongozi wetu.Wabinafsi kwa mfano baada waendeleze elimu ila cha kwanza wanafikiria kupeleka watoto wao kusoma nje..
Pongezi sana kwa makara haya.
Africa eeeeeeeeeeee kumekuchaaaa tuamke jamani ujinga wetu utaisha lini jamaniii? Ebu tunavyoamshwa na mungu tuamke tunataja tuamshwe na nn jamani?? Ebu tusome tuelewe jamani mm nimeshaelewa sijui ww mwafrica mwenzangu
Kiongozi anapigiwa kura na watanzania ana vishwa taji na wazungu 😂😂😂😂
Nimeludi hapa baada ya kusikia bandari yetu wanapewa walio watoboa miguu ma babu zetu na kuwauza kama kuku kwenye matenga
nimecheka kwauchungu🤦♂️
Food 🧠
Yan kila nikisikiliza nakala zako lazima nijifunze kitu...endelea kutuelimisha...Africa kwel tunaitaji kufunguka akili
Natamani hiri somo rilusho BBC
Naomba namba zako musimulizi wa nakala hii nami nina stori yangu
Ediga unanichekeshaga sana mkipatikana kumi kama wewe afrika tutajitambua
Yaani imenigusa sana hii
hakika tutendela kuwa wajinga
Kiswahili kilianzia congo kwasababu ndiko waharabu waliazia kufanya biashara.
Huu ni ukweli kiswahili kimezaliwa Kongo mashulen dunadanganywa tu kuambiwa ni kibantu
Watanzania tumwelewe magufuri
✊🏿✊🏿✊🏿👊🏿👊🏿
Makala nzur ila ulianza kwa porojo nyingi sana Zenye maana moja
💉
duuuu
Kufunguka kwa ubongo,,tatizo la Africa nnadhani watu wengi kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri
.
Bwana Ananias, asante sana kwa makara haya. Hakika uliyoyasema yote ni ukweli mtupuu.
1. Vichwani wametuchafuwa kabisa. Tunajidai kuongea tukiungaunga lugha za wengine.
2. Ulaya watoto tunaowazalia huku, hata neno moja la kiswahiki hawajuwi. Waangalie wenzetu, wachina, wahindi, wao lugha zao kwanza hata hapa ulama ni kama kidole na pete.
Nasikitika mno kuona watoto wangu, hawaongei lugha yangu ya nyumbani.
Na wasiojuwa wanaona hao kama maendeleo kumbe ndo ukoloni mambo leo.
Endelea kutunyosha ndugu Mpagaze na Ananias Edgard. Nafagilia sana kazi zenu.
Asanteni.
Ujataka kuwafundisha watoto wako kikwao ... Ila ungetaka angejua kabisa ila wengi wenu mkifika ulaya Na malekani bhax mnajikuta wamalekani teali ... Hapo wewe baba ndio mwenye makosa