SURAH AL- KAHF WITH SWAHILI TRANSLATIONS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ค. 2021
  • Ibni Abbas na Ibni Zubair wanasema ya kuwa sura hii yote ilishuka Makka. Karibu wafasiri wote wa Qur'an wanakubaliana juu ya jambo hili. Anas anasimulia ya kwamba sura hii haikuteremshwa vipande vipande, bali ilishuka yote nzima na ilichungwa na Malaika 70,000 (sabini elfu).
    Kwa kuwa sura hii ina bishara za kuangamizwa mataifa makubwa-makubwa ya Yaajuj na Maajuj na kuvunjika propaganda wanayoendesha Wakristo juu ya Uislamu, maelfu na maelfu ya Malaika wameshughulika kuleta matimizo ya bishara hizi zenye nguvu, toka siku sura hii ilipoteremka.
    Heshima na nguvu ya mataifa ya Kikristo na umaskini na unyonge wa Waislamu vimeelezwa katika "mfano wa watu wawili" katika fungu la 5: mmoja tajiri na mwingine maskini. Mtu tajiri - mataifa ya Wakristo - atajivuna kwa utajiri wake, na maskini ataelekea kwa Mwenyezi Mungu. Kiburi na majivuno mwishoni vitaleta msiba na yatajitokeza mambo yasiyoweza kuzuiliwa na mwanadamu yatakayomwangusha tajiri.
    Kisha Sura hii imeendelea kueleza mabadiliko makubwa aliyoonyeshwa Nabii Musa katika njozi yake inayoelezwa toka Fungu la tisa. Nabii Musa aliambiwa ya kwamba kukua na kuendelea kwa Sheria ya dini yake kutakuwa chini kabisa ya Sheria nyingine itakayofika baadaye. Hii Sheria ya dini ya baadaye itakamilisha mafundisho yaliyoachwa na dini ya Nabii Musa bila kukamilishwa; na dini ya Kiislamu itainuka yenye kushinda kutoka katika majivu ya kuzimika na kupooza kwa Ukristo.
    Ibn 'Abbas and Ibn Zubair say that this whole chapter descended in Makkah. Almost all interpreters of the Qur'an agree on this point. Anas narrates that this chapter was not revealed in pieces, but came down the whole and was guarded by 70,000 (seventy thousand) Angels. Since this chapter contains the prophecies of the destruction of the great nations of the Gog and the MaGog and the breakdown of the propaganda of Christians over Islam, thousands and thousands of Angels have worked to bring about the fulfillment of these powerful prophecies, from the day this chapter was revealed.
    The dignity and power of the Christian nations and the poverty and humiliation of Muslims are described in the “two-people model” in verse 5: one rich and the other poor. The rich man - the Christian nations - will be proud of his wealth, and the poor will turn to Allah. Pride and arrogance in the end will bring disaster and unstoppable things will happen that will bring down the rich.
    This chapter then goes on to describe the dramatic changes that the Prophet Moses showed in his vision described from Verse Nine. The prophet Moses was told that the growth and development of the Law of his religion would be far below that of any other law. This Law of the future religion will complete the teachings left by the religion of the Prophet Moses; and the religion of Islam will rise victorious from the ashes of the extinguishing and paralysis of Christianity.

ความคิดเห็น • 81