REKODI ZA KUTISHA ZA MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA STEVE MUKWALA AKIWA UGANDA NA GHANA/ANAFUNGA BALAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Simba imetumia takriban Million 300 kupata saini ya mshambuliaji wa Zamani wa Asante kotoko Steve Dese Mukwala ambae amemaliza msimu wa ligi kuu nchini Ghana akiwa mshambuliaji namba mbili katika mbio za ufungaji bora nchini Ghana akiwa na mabao 14
    Dullah Hassan anatupitisha Katika baadhi ya Rekodi za nyota huyu akiwa nchini Uganda pamoja na Ghana
    Kama unahitaji kuungwa kwenye group la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili tuweze kukupa utartatibu wa jinsi ya kujiunga
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 25

  • @KHALIDMULILO
    @KHALIDMULILO 3 หลายเดือนก่อน +4

    Enheee!!! Huyu kweli ni mtu wa maana anaweza kutibu maradhi tuliyo nayo Simba pale mbele 👍

  • @chrizostomchristian1884
    @chrizostomchristian1884 3 หลายเดือนก่อน +2

    Natabili huyu ndiye top Scola wa msim ujao❤ Simba nguvu moja

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wanakuja kweli?KM ni kweli asante sana viongozi. MUNGU AWAPE AFYA NJEMA WACHEZAJI WETU WA SIMBA

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 หลายเดือนก่อน

    Mchezaji rekodi zake ninzuri sana atatusaidia sana ila tu makundi makundi sahiz hayapo manake tunajua nawachezaji wazur viongoz hawaongei lugha Moja ndo inapelekea wachezaji kuto kujituma nakuwaona hawatufai

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 3 หลายเดือนก่อน

    Ataweza kucheza simba maana wanaoihujumu simba wamesha waacha, simba itakaa vizuri sasa

  • @kilianmtotowamungu3885
    @kilianmtotowamungu3885 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nilicho mpenda kacheza timu nyingi na kafanya vizuri ❤❤
    Huyu mali kabisa

  • @Alistudes
    @Alistudes 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naamini inawezekana mambo yakawa mazuri san mungu saidie simba

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lingine muwalinde wachezaji misumali inapigwa sana shilikishen wazee wasimba watulindie wachezaji

  • @JosephHokore-v6r
    @JosephHokore-v6r 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani simba yetu tunampenda, inapo fika usajili wachambuzi mnatuchanganya make mnajua kumkuza mchezaji musho wa siku hana lolote,

  • @emmanuelmisinzo61
    @emmanuelmisinzo61 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa nimzuli sana

  • @richardvallerian1003
    @richardvallerian1003 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka ofcourse nyingi sana hadi zinaharibu taarifa nzuri unazozisema

    • @SimbaProSupporters
      @SimbaProSupporters  3 หลายเดือนก่อน

      Ndio Identity yangu iyo kaka

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 3 หลายเดือนก่อน

      Dah kumbe nawe umeonaee😂😂
      Kila sentence OFCOZ OFCOZ OFCOZ.....mpaka anaboa

  • @AllymusaKisaga
    @AllymusaKisaga 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu ijalie simba yangu

  • @brunomchalla4439
    @brunomchalla4439 3 หลายเดือนก่อน

    Uchambuzi wa kuangalia record ya nyuma za mchezaji haisaidiii . Unaweza kuelezea performance nzuri lakini kwa wakati wa muda mrefu uliopita. Taarifa za mchezaji nzuri ni za msimu unaoishia.
    Ni sawa na kumsifia Kagere kwa nia ya kujiunga na kilabu mpya , uzungumzie wakati ni moto akiwa Simba miaka minne iliyopita.Kumbe si kwa wakati wa msimu huu.

    • @SimbaProSupporters
      @SimbaProSupporters  3 หลายเดือนก่อน

      Video kama hizi ni kwaajili ya watu wenye MB sio wewe Mkuu

  • @moseskinde7097
    @moseskinde7097 3 หลายเดือนก่อน

    Ni Mzee, tunaitaji mchezaji mazuri chini ya miaka 23, sasa huyu Toka 2018 yupo Kwenye gem. Hanatafauti gani na kibu

  • @sophyodago5062
    @sophyodago5062 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi mugalu yuko wapi kwa sasa

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 3 หลายเดือนก่อน

    Simba wanapata wachezaji wazuri lkn sijui wanapigwa misumari au vp

  • @diodoruskyomya9328
    @diodoruskyomya9328 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo hajawahi chukua taji lolote mpaka Sasa. Harry Kane mwingine huyo…

    • @SimbaProSupporters
      @SimbaProSupporters  3 หลายเดือนก่อน

      Nahisi hujaskiliza kwa makini
      Msimu wake wa kwanza Akiwa Vipers 2017/18 alitwaa Taji la Azam Ugandan Premier League Mkuu na kufika kwenye Runner-up ya Stanbic Ugandan Cup

    • @diodoruskyomya9328
      @diodoruskyomya9328 3 หลายเดือนก่อน

      @@SimbaProSupporters okay nilisahau thank you for the remainder 🫡