Kweli Mipango ya Mungu haipanguliwi na mwanadamu, hongera sana Babu Seya, Mungu Aibariki Ndoa yetu, hongera pia zimwendee Mh. Magufuli, hakika uliona mbali, Mungu akulinde Rais wetu, Aamina.
Dah nimetokwa na machozi aisee hii familia nilikuwa naionea huruma sana kipindi iko jela yan nikiwaona hawa mapenzi yangu kwa Rais wangu Magufuri yanaongezeka be blessed baba rais wa wanyonge
Kwakweli had I raha nimewatamania watoto wanamuunga baba yao,na mzee kajaa furaha .namungu akaishike mkono ndoa hii,ikajae upendo wako kweli na furaha wazae,mwanaume azeheki mashallah
😭 huu Wimbo jamani 😭😭 MUNGU AWATIE NGUVU NA KUWAONGOZA BABA NA MWANA MUNGU KASIMAMA KAONEKANA MUNGU ANAJIDHIHIFISHAHA HAJALISHI ATAWAHI AU KUCHELEWA GOD IS GOOD ALL THE TIMES
Nimejikuta nafuraha kama vile mm ndio nimepitia yote magumu kisha nikafikia haya yote kwa uwezo wa ALLAH.Nawaombea kwa MUNGU kheri zote za duniani na Akhera Ameen
Nimeamini wakati wabwana ukifika akuna wakubisha Mungu anajua kujizihirisha kupitia watu wake naamin ata ukipitia gum kiasi gani Mungu atakupatia mlango wakutokea nimefurah sana kuona wa2 waliokua nahuzuni kipindi cha nyuma Leo wanafuraha. Mungu azidi kuwapa amani na upendo
Kweli Mipango ya Mungu haipanguliwi na mwanadamu, hongera sana Babu Seya, Mungu Aibariki Ndoa yetu, hongera pia zimwendee Mh. Magufuli, hakika uliona mbali, Mungu akulinde Rais wetu, Aamina.
"Mimi sitaki hela ,nna hela nyingi, mtuzeni huyu anaanza maisha "mtu na mwanaye, so lovely
Moses Nyirenda
Ilipendeza sana
Kuna mtu anangalia video na wakat huohuo anasoma comments kama mm?
Happyness Swai ulijuaje happyness
@@aminajuma9714 inapendeza sana
Kwakwa
😁😁😁😁🙌
Hahahaaaaa umejuaje
Bora uchelewe kuoa au kuolewa ila upate mtu unaeweza kuvumilia mapungufu yake hongera babuseya we love u!
Sabrah Mashema babu Seya ajachelewa alishakua namke baada ya kua gerzan alipoteza mke na mama Ake mzazi bada ya kuhukumiwa jaa
@@mariamkalinga2628 sawa mungu amsimamie ktk ndoa yake mpya na awape subra ktk kila pungufu..team seya😘
Hongera
@@sabrahmashema842 lkn. Mtt hanaadabu anamuimbia mamaake utadhani yy ndio kaowa
@@khatibuhijja459 hahaa yupo kwenye mood daddy kaoa
such a beautiful family...may God wipe away all the pains you faced during the trials
Dah nimetokwa na machozi aisee hii familia nilikuwa naionea huruma sana kipindi iko jela yan nikiwaona hawa mapenzi yangu kwa Rais wangu Magufuri yanaongezeka be blessed baba rais wa wanyonge
Hongera baba yetu, nimempenda mama amechangamka amecheza vzr big up mama nguza
Kama na ww n was kwanza kuona like hapa tujuane
Mungu akubariki kwakufunga pinga za maisha
Kwakweli had I raha nimewatamania watoto wanamuunga baba yao,na mzee kajaa furaha .namungu akaishike mkono ndoa hii,ikajae upendo wako kweli na furaha wazae,mwanaume azeheki mashallah
Baada ya ziki ni faraja
Asha Mwandu Amiiin
Nakupenda sana Rais wangu magufuri Mungu akulinde kw kuwasamhe coz muhukumu ni Mungu tu daah mpk nalia kwa furaha
magufuri mungu akuweke miaka mingi hakika furaha hii ilipotea sana kwa muda
Jamani Mungu usiandike kwa herufi ndogo please
Magufuri
Kwakweli magu mungu ampe miaka 1000
Kweli
@@faridahamis2607 Nimejikuta natokwa machozi Mungu ampumzishe mahali pema peponi
When ever I hear this song I feel so loved
saaaaaafiiiiiiiiiiii sana hongeraaaa,,sana Mungu hakika ni mwema nani alijua IPO siku itakuw HV Mungu awape umri mrefu zaid
Hakika Mungu ni Mungu wa haki tabasam limerejea ktk familia hii!! Asante Mungu asante Mh.JPM
Hata ikiwajeeee LAZIMA tutoke jela wale wabaya wetu eh wabaki na ______ nn jamani,
KAMA UMEKUBALI HAPO MALIZIA
Wabaki na AIBU''
wabaki na aibu
Mungu ni mwenye haki na rehema zake ni you kwa wamchao
Wabaki na aibu
Harusi tunayo au hatuna ikipamba sana weka nduruuuuu I like the song
Mungu awatangulie.Mungu ambariki na kumlinda Rais wetu mpendwa Dr JPM kwa kujali wanyonge.
Safi
Magufuli Mungu akufanyie wepesi katika kazi yako. Kwakuichia hii familia huru
Amani kwako na mke wako Mzee babu seya tunazidi kujifunza kupitia wewe.#MunguibarikiNdoayaBabuSeyaAmen.
MUNGU HAWATUPI WAJAWAKE JAMANI, AMANI YA FAMILIA IMERUDI MAASHAALLAH MAASHAALLAH MAASHAALLAH💖😍
Sa
Sijui kwann huyu mzee nikimuangalia ananiumiza roho maskini😢, kama kwa Mungu kuna malipo basi mzee Mungu atakulipa kila haki yako ulopoteza😢😢
Baba na mwana, vile mtu na mtani wake 😘, Mungu azid kuwapa maisha maref
Kwa Mara ya kwanza mwili umenisisimuka! All the baba,hata ulipofungwa nililia kama nakujua!Mungu awe nanyi upendo na amani vikatawale ndoa yenu!
Amen
Magreth John
Nlijkuta nampenda anko magu kwa ajri ya kumtoa babu sea na mtoto wake ccm oyeeeeeee
Haaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋hata mvua ikinyesha lazima tutoke jela 😋😋😋 umedamshi baba 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Uhuuuuu
Mussa Kijangwa hatari sana😁😁
Hongera baba hakuna kama Mungu aliekuweka huru na leo umeoa hongera Mungu aidumishe ndoa yenu
Mwenyeezi mungu aibariki hii family hakuna mkamilifu duniani
Kudo oiiiiuul
Wema Kalamu Amen
Safi sanaaaaa!! Kila mja na fungu lake..best of luck
Mwenyezi Mungu akawabariki katika ndoa yenu ya ukubwani. pia hongereni sana.
Hongera babu seya mungu akulinde sana we love you from kenya
Mungu amsaidie na mwanae apate mke mzuri kama baba yake May God bless their reunion
Me mchumba wake mbona!michango yenu tu harusi Karibu son
@@nyamogafamily4262 hahahahahahaaha khaaaaah
Jamani kwani huyu mzee alvokua jela hakua na mke nyumbani au alirudi mke ashaolewa?
@@amiriramadhan7753 yes alikuta mke kashaolewa
@@mariamkiharo6345 Duh! Wanawake nao mpo na haraka...
MashaAllah Mungu abariki ndoa na uzao wenu.furaha tele mmedamshi hakika Mungu ni mkuu
Hongereni sana na Mungu awabariki sana
Mbarikiwe sana kwa hatua nzuri
Hakika hii familia naipenda...Mungu aitunze.
Alf Mabrooq M/mungu awati lie baraka kwenye maisha yenu
Hongera mzee mseya mungu mwema 🙏🙏🔥🔥
Mungu Mkubwa sana,Papy Kocha Uko vzr,Hiyo Sepetu!!!!,Mwegelo!!!uwoyaaa uko wapiiii,Daaah
Hongeren mungu aibariki hii ndoa lkn bi harusi ckuwez 🙌no mek up 😂😂 umetisha bila kinyago 🤣🤣
Make up ya nini huyo ni African beuty
Kwa mbaali is ok
Mungu awabaliki San baba yngu tunakupenda watu waby walitk kukatish ndoto zenu washindwe kwajina la yesu namungu azidi kuwaonyesha nakuon Hy
Yani mnaendana kabisa ni mungu alipanga Dada yangu mzuri mungu awatungukie katika safari mpya mapenz yenu
Hongereni sana, Mungu awawekee mikono mkae kwa Amani na Upendo .
Hii tanzania raha sana anaekubali hii agonge like hapa
Woooow,,nimeipenda sana hii mungu awabariki sana
Yaani nawapenda sana ni familia inayoshirikiana san na kupendana hadi raha mungu wazidishie wasipite vidudu watu
Congratulation Mzee Babuseya from Burundi.
Hapo,aliimba hatanvua inyeshe inyeshe lazima watoke jela waonyeshe mapenzi yao na magufuli palinifanya ni like na ku subscribe
Kipaji hiki jamani, kuimba live ndo kipaji chenyewe haki.
Daaah hawa jamaa hawakuwah kufikiri km ipo cku watakuwa free na happy like this. Pongezi kwa jpm rais wetu.
Asant muheshimiwa magufuli tusingeyaona haya
Mungu ni waajabu sana
I like every thing biharusi natural face
Dah Jera hakumpendezagi mtu hawa wali zeeka asahivi wamelejea hawatamsahau magufuri milele papi kocha na baba ake wanapendana sana
Magufuli mungu akupe maisha marefu baba raisi wa wanyonge
😭 huu Wimbo jamani 😭😭 MUNGU AWATIE NGUVU NA KUWAONGOZA BABA NA MWANA MUNGU KASIMAMA KAONEKANA MUNGU ANAJIDHIHIFISHAHA HAJALISHI ATAWAHI AU KUCHELEWA GOD IS GOOD ALL THE TIMES
jaman hongeren hatua nzuri iyo muda wote ulikuwa jela baba ila so mbay hakuna kitukilicho haribika mungu alishapanga ilo
Dah!! Wamemchelewesha sana huyu mzee kule jela, ila at least kapata mwali.
Gidion Seleman
Hata mvua ikinyesha lazima tutoke jelaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimejikuta nafuraha kama vile mm ndio nimepitia yote magumu kisha nikafikia haya yote kwa uwezo wa ALLAH.Nawaombea kwa MUNGU kheri zote za duniani na Akhera Ameen
Nimefurahi aisee hua na soma comment tu lakini Leo nimecomment safi.
Hongera sana familia ya babu Seya,militias magumu sana kwa sasa mtelemko tu.
baba maskin kazeekea jera ila mungu anakupenda bora upate mwezio wa kupunguza nae mawazo
Hongereni sana Mungu awabariki
Kila Mtu Kwa wakati wake, enjoy Babu Seya.
Kabisaaaa
Kweli kbs
Magu wewe unafaa
Nimeamini wakati wabwana ukifika akuna wakubisha Mungu anajua kujizihirisha kupitia watu wake naamin ata ukipitia gum kiasi gani Mungu atakupatia mlango wakutokea nimefurah sana kuona wa2 waliokua nahuzuni kipindi cha nyuma Leo wanafuraha. Mungu azidi kuwapa amani na upendo
Bi Harusi anahesabu mwenyewee helaa hatakii ujingaaa😂😂😂
😀😀😀😀😀mpaka alivoambiwa na yule mpambe wake aweke mfukoni
@@mariamkiharo6345 hatakii ujingaa kwenyee mambo ya helaaa kabisaa yanii
Hongera sana dada Haule kwa kupata mwenza
Mungu awabariki awalinde , awaepushe na maadui
Nimependa sana hii jinsi wanavyofurahia Hongera mzee umempa Seya wako
Lovely really 😚😚😚😚
Rais wetu mungu akulipe kuirudishia furaha family hii
Hongera sana Babu seya
Jamani kwanini msirudi tena kwenye game ya music Tena I really loves you guys
Hadi raha,Mungu awape maisha marefu
Mungu awalinde babu seya nafamilia yako
Mashaallah dua tu penda sana papi umeimba vizur sana pongez sana❤❤❤
Aki hawa wawili ni vipenzi wangu. May God bless them abundantly
Mungu yupo jameni, tumshukuru hata kwa mabaya maana no mapito. 🙏😍
Thank you God,kweli kila jambo kwa wakati wake
Prisca Andrew Amen
Babu seya na mwanae🔥🔥🔥🔥
Haki ya mngu jela si mahala pazuri ona mashallah walivyokua wazuri saa hii hasa huyo papii kanawiri vzr
wakati ukifika mungu anakuletea mtu sahihi papara si nzuri mwendo wa kutulia
Umeona Ziada eeh
Hii ni Tafsiri tosha ya Mwanaume Mashine.
Baba na Mwana Mwana Wakiimba na Kucheza🤣🤣🤣😋😋😋
Uyu Dogo anacheza shakushaku kwa nguvu 😂😂😂😂😂
Sauti nzuri hatariiiii
wow so beautiful and wonderful 👏👏🙏
jambo jema kaka inshallah Allah awatangulie katita ndoa yenu
Yaaan hadi raha jamani hongera zako babu Seya
Huu wimbo ulipigwa ck nlpofunga ndoa watu wakafurahia pia.asanteni kwa wimbo mzuri
Mungu ampiganie mzee wetu
p the boy tz
Vzr sana babu sea endelea kuburudika mzee
Papi unanichekesha na mbwembwe kwa may yako😁😁😁💙
Pole sana kumpoteza mpenzi magufuli
Iv alifungwaga Kwa kosa Gan vile jmn na uliza tu Stak mapovu🙌😜
Bwana eee hili swali gumu kila mtu anajipu kivyk vyk
mmeua jamani long time babu seya ....God bless u
Mungu awatangulie ,mmependeza sana
Simple weeding and beutiful 💝💝💝🙏🙏🙏
God Blessing them🙏🙏🙏💗💗
maisha ya babu Seya na Hasa mwanae Papi nayakubali sana
Millard ayo hivi ndo tunataka King Kiba awe yaani atupe burdani mpaka uzeeni kama wakina Papa Mobimba vile lakini tunaona Kiba anafikiria ku stuff .
Hahahahahahaha ukiskia harusi ya kibaharia ndio hii sema papii bana ni mzee baba na nusu anajua kushawishi wana
Katishaa nomaaaa shola kwake 🙏🙏🙏
Mama umecheza vizuri sana
hongereni jamani Mungu mbariki Magufuli😘😘
Hongereni sana jamani nimefurahi sana sanaaaa