🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 หลายเดือนก่อน +6

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mrudishe Dr Bashiru

  • @goodlucktarimo2716
    @goodlucktarimo2716 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mzee wetu Kinana ss tunapenda wanasiasa wazalendo

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 2 หลายเดือนก่อน +8

    KINANA amechukizwa na kutenguliwa kwa vijana wake wawili wizarani yaani makamba na nape

  • @NapeDkilia
    @NapeDkilia 2 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani tunaomba wasituulie makonda. Tumebakisha huyo. Tu

    • @AnociathaChuwa-cb5nk
      @AnociathaChuwa-cb5nk หลายเดือนก่อน

      Wa kufanya nini
      Labda kwako lkn sio kwa wazalendo wa taifa hili

  • @busiga.
    @busiga. 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mjadala mzuri sana huu!

  • @barakalowasa425
    @barakalowasa425 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda yuko wapi

  • @hazinaluluconfidence6676
    @hazinaluluconfidence6676 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiongozibalikuwa nyerere, magu, na makonda , ila wengine sijuagi kazi zao

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 2 หลายเดือนก่อน

    Mpasuko rasmi CCM The real political battle begins now.Kazi iendelee

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmm? Kwani makonda.yupp wapi

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 2 หลายเดือนก่อน

    Kinana ni msaliti nimpigaji mkubwa kweye ccm sababu ya kujiuzuru Kwa ajili ya makamba na nape wote watatulia ni hatari wapigaji wakjbwa

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 2 หลายเดือนก่อน

    Mnajuwa ccm Ina petrol stesheni karibu 20 na nyumba za kupagisha karibu 200 tanzani yote kabla ya magufuli kinana alikuwa msimamizi wa Mali za ccm pesa hazionekani magufuli Kuja malizote zikawa chini ya Chama kinana ndie alie azisha magurupu KWENYE ccm

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 หลายเดือนก่อน +1

    Combrade Kinana ana yake kama ambavyo ndani ya ccm hawaendi pamoja wala tusimtafute ubaya kwasababu ingawa kila mara hutuletea chupa mpya,lakini ndani yake mvinyo ni uleule wa zamani usionoga tena!...

  • @barakalowasa425
    @barakalowasa425 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani kweli makonda yuko wapi

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh Mmmmhh. Ee Mungu wewe muweza wa yote uonaye ndani ya mioyo yetu sote. Kwa huruma yako ee Baba yote yawe kwa kadiri ya mapenzi. Uturuhumie. Amina.

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mpuuzi sana

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 หลายเดือนก่อน

    Amezeeka aondoke kabisa

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee kinana nimtu mwema sana kwa viongozi niliopata kuwaona hapa nchini.Sijajua vitu vya ndani ya nafsi ya mtu.Lkn kidhahiri huyu mzee ni mnyenyekevu sana

  • @JohMwita
    @JohMwita 2 หลายเดือนก่อน

    makamu watamuweka peter Msigwa

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 2 หลายเดือนก่อน

    Baada ya ya Maakamba na Nape kupinduliwa ndio kaona Ajiuzuli

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 2 หลายเดือนก่อน

    Mnataka kinana abaki mpaka lini,ni mtu mzima yule mwacheni akapumzike,mbona ccm inahazina kubwa ya watu,,

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 2 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu lihurumie taifa letu. Wewe pekee hakuna mwingine.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 หลายเดือนก่อน

    Wamemkosa kama mh makonda na wapo wengi wanaowawekea sumu hasa wanywaji wapo hatalini

  • @AnthonyMgembe
    @AnthonyMgembe 2 หลายเดือนก่อน +4

    Magufuri alikuwa nabii wote aliowatosa wakaludishwa tena ndio haohao wasumbufu kwe😢🎉😮

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 2 หลายเดือนก่อน

    Mjadala huu una mashiko, ni mzuri

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwandishi changamoto

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 หลายเดือนก่อน

    Muwe mnaekeza vizuri sio juju inatakiwa serikali ziwekeze kila mkoa kulingana na mazao yanayo patikana kila mkoa na inawezekana bahati Tanzania kuna mazao yanapatikana mikoa tofauti na itakuwa kufanya biashara kwa vijana

  • @sophiamorrison6429
    @sophiamorrison6429 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna wàtu wawili waliishi Mika kumi na saba mwanaume alioa mwanamke mwingine !! Walipokwenda mahakamani mwanamke hakupata kitu makama yilitaka aonyeshe cheti cha ndoa ambacho hakuwa nacho!!

  • @piuspanga864
    @piuspanga864 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa Nini amejiulu badala ya kustaafu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna msiabila yanatia aibu kuhari kina dada eti ni tamaduni wakati zimepitwa na wakati harafu utakuta Hadi viongozi wanashabikia

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 หลายเดือนก่อน

    Aliyekua mzuri ni Nyerere aliyeanzisha Tanu na baadae ccm1977,na katiba hii, aliwamudu watoto wake wa chama kila kona lakini baada yake hakuna ambaye aliondoka bila doa au madoadoa....kila aliyepokea kijiti alijikwaa kwa namna yake...wengine wametuachia vitabu ambavyo wala ccm haijishughulishi navyo popote.

  • @Gilbert-w9e
    @Gilbert-w9e 2 หลายเดือนก่อน

    mbona mapema!!?? mafisi wakipanda midadi wanaanza kuviziana na kuparurana..!! Ivi ukishaachiwa kamba ndeeefu ukaaaale, uchu nao unakua mreeeefu, 'nukuu ya Mama Tibaijuka...ukitanuliwa zaidi tamaa inakuwa kubwa zaidi'

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 2 หลายเดือนก่อน

    Tulisema Msigwa atakipasua CCM hii la kinana ni mwanzo

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

    JPM anawatafuna one by one Bi Sasha nae lake laja

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 2 หลายเดือนก่อน

    We acha Bwana kinana ataondoka na CCM itasimama wazazi wakifa familia inakufa? Acha mawazo mgando

  • @sashawambura
    @sashawambura 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani muda wa kustaafu ukifika watumishi wanapaswa kupumzika..mbona ni kama hamna hoja..mmekaa wapoteza muda kujadili mada mfu..ndio shida ya makanjanja wa tasnia ya habari

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 หลายเดือนก่อน +1

      Vizuri sana kinana kungatuka. Waswahili usema hakuna marefu yasiyo na ncha

    • @komangohill5957
      @komangohill5957 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi huwa wanastaafu Mara ngapi?
      Huyu muhuni wa Polepole alistaafu kwa JPM , akarudi tena kwa Samia. Kurudi kwake ilikuwa kejeri kwa JPM. Leo tena sababu ni zile zile. Nyang'au la Tembo hafai hata kwa dawa.

  • @shanjemanumba6325
    @shanjemanumba6325 2 หลายเดือนก่อน

    Kinana kilichomuondoa ni igizo jipya la Msigwa hakutaka huyo tapeli ajiunge CCM

  • @MoshiTindwa
    @MoshiTindwa 2 หลายเดือนก่อน

    Mtoeni huyo ana jipya yeye anaelewa makubaliano ya Toka kuteuliwa kwake katika nafasi hiyo baba levo watu kama hao anawaita wehu mtoeni hapo

  • @richardngubesi8419
    @richardngubesi8419 2 หลายเดือนก่อน

    Maamuz ya mtu kaamua mwenyeye swala ngoja ngoja ndoo yanaleta taharuki ya viongozwetu ,

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni umbea

  • @mndambimrinji
    @mndambimrinji 2 หลายเดือนก่อน

    MASAI HUELEWEKI
    MICHANGO YAKO HAIJANYOOKA

  • @gregoryRukiza
    @gregoryRukiza 2 หลายเดือนก่อน

    Bila kufa kwa Majambzi watat yaani Kinana, kikwete na wengine nchi hii hatakuwa shwali. ujambazi wao unafikia mwisho. yanajiona bila majiitu haya hakuns nchi.

  • @ISHILIMITED
    @ISHILIMITED 2 หลายเดือนก่อน +1

    GLOBAL MSIZUNGUKE MBUYU, HUYO NI TEAM ,AKA,MBA NA NAPE, HAWEZI KUWA NA AMANI WAKATI VIJANA WAKE WAKO NJE YA CHUMBA

  • @HusnaSefu-f3y
    @HusnaSefu-f3y 2 หลายเดือนก่อน

    Aondoke huyo mshenzi