Bongo Iyatu at an Arusha, Tanzania Radio Interview

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Bongo Iyatu at an Arusha, Tanzania Radio Interview having a reasoning about RasTafari on July 6th 2014 at 11:00 a.m. (4:a.m. EST).

ความคิดเห็น • 11

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnatudanganya tu ..... Haile Selasie hana jina la rastafari , rastafari ni neno jina linalotokana na word formation as Rasta + fari ..... Kwalugha ya kirasta , rasta means HEAD and fari means Creator.
    Haile Selasie NI mtu tu lkn alipata heshima TU yakujulikana Kama masia .... Wao wanaamini yesu aliposema atarudi basi alirudi kwa afrika na ndio huyo Haile Selasie

  • @wazunguarsenal630
    @wazunguarsenal630 5 ปีที่แล้ว

    Ongeraaa challly yangu

  • @kfastak
    @kfastak 5 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU hawez kuwamtu.. kabisa.. kwangu sio dini ...napenda locks kwasababu ..inaonyesha ufahar flana wa kiafrika..

  • @hashjamal6071
    @hashjamal6071 3 ปีที่แล้ว

    Rastafarian ni njia ya maisha yenye uhalisia wa mtu mweusi (mwafrika) unapoleta hizo mambo za kwenye vitabu vya dini unakua unajitoa kwenye uhalisia wa mwafrika. Kabla ya wakoloni kuvamia bara la afrika kulikua hakuna mambo hayo ya kutafuta mistari katika vitabu vya dini

  • @chriszugu8422
    @chriszugu8422 3 ปีที่แล้ว

    All religion is a way of life. Rules are dictated within a religion to dictate how one live their life. For Rastafari to be more effective it must developed own book of doctrine n way for people to live. Too many different sects right now

  • @francisaban3873
    @francisaban3873 5 ปีที่แล้ว

    Interpreter unazingua Sana..

  • @derricdeuc3628
    @derricdeuc3628 5 ปีที่แล้ว

    Upo vp umesomekaaa

  • @fiyah987
    @fiyah987 10 ปีที่แล้ว +1

    RASTAFARI !!!!!!!

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 ปีที่แล้ว

    Anakupotosheni ili muwe kuni badae kwa mungu huko mutakapo kufa mashetani wakubwa

    • @johnchale939
      @johnchale939 4 ปีที่แล้ว

      Acha uoga wewe huwezi kuwa huru kifikra ukiwa na hofu

  • @RasDarioDread
    @RasDarioDread 9 ปีที่แล้ว

    Hail HAILE I SELASSIE I KINF FARI