IBADA YA MASIFU YA JIONI KUWEKA NADHIRI ABASIA YA ROHO MTAKATIFU MVIMWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว +1

    Ni tamu sana, kweli Benedicto na baba wa ustaarabu huko Ulaya. Kazi na Sala

  • @Jifunze1002
    @Jifunze1002 4 ปีที่แล้ว +3

    Kila mara napoona masifu haya nabarikiwa sana....Mungu awabariki watawa wote wa Mvimwa Mungu mbariki Abate Martin Pambo Mkorwe OSB
    SIKU ZOTE TUDUMU KATIKA MAISHA YA SALA TUKIKUMBUKA KUWA MAISHA YETU HAPA DUNIANI NI YA KUPITA TU HAKUNA ATAKAYE ISHI MILELE KWA VIZAZI VYOTE...MUNGU WEWE NDIWE TUNAYEKUTUMAINIA!

  • @lydiakaiza4454
    @lydiakaiza4454 5 ปีที่แล้ว +3

    Roho yang imesali kwa ibada kuu. Ibada yenye uchaji. Unyenyekevu wa hali ya juu sana.

  • @rebeccasylivester5359
    @rebeccasylivester5359 หลายเดือนก่อน

    abasia ilonilea kipindi chose cha Masomo yangu. Mungu azidi kuiimarisha zaidi

  • @erastogerionitembo803
    @erastogerionitembo803 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana ndugu zangu kazeni buti mtuombee na sisi wenzenu ambao tulikuwa wote shetani akatupia

  • @paschallihumbo2055
    @paschallihumbo2055 5 ปีที่แล้ว +3

    nafurahi kuwaona schoolmates wangu wa seminari ya Hanga. nawapenda na nimewakumbuka sana. frt penson kihaka. ulikuwa nami hanga na ndanda pia. Natamani kurudia njia hii lakini nahisi nimechelewa. namuona brother chikole pia. Mubarikiwe milele. ipo siku mtanikuta na mimi Hanga.

  • @tarlasilamyula1787
    @tarlasilamyula1787 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu azidi kuwaongoza katika utume wenu mababa na awaimarishe daima

  • @marynjeje6194
    @marynjeje6194 5 ปีที่แล้ว +3

    Iko vizur be blessed

  • @Jifunze1002
    @Jifunze1002 5 ปีที่แล้ว +3

    nzuri hii

  • @andreaa.nyundo8333
    @andreaa.nyundo8333 5 ปีที่แล้ว +4

    Sala na kazi, Abasia ya mvimwa inapendeza sana

    • @johnpetrokundya2136
      @johnpetrokundya2136 5 ปีที่แล้ว +1

      Naomba mniambie mnajiunga na shirika Kwa vigezo gani?

    • @andreaa.nyundo8333
      @andreaa.nyundo8333 5 ปีที่แล้ว +1

      @@johnpetrokundya2136 unaandika barua kwa Mkurugenzi wa miito au Abate kisha unaomba kujiunga na shirika kadiri ulivyoguswa.

    • @johnpetrokundya2136
      @johnpetrokundya2136 5 ปีที่แล้ว

      Ok,Naomba Anwani yake au namber yake ya siku.

    • @johnpetrokundya2136
      @johnpetrokundya2136 5 ปีที่แล้ว

      Naomba namba Kwa Mkurugenzi wa miito na Kwa Abate.

    • @charleseduard8116
      @charleseduard8116 3 ปีที่แล้ว

      Umri kwa wanawake na wanaume ni miaka mingapi?

  • @piussambi219
    @piussambi219 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana My Brother Frt Gregory Kwa upigaji kinanda vizuri katika masifu ya jioni

  • @joshuabaracky2350
    @joshuabaracky2350 5 ปีที่แล้ว +1

    nzuri xana

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 2 ปีที่แล้ว

    Jamani tusome na uislam japo kidogo tutajifunza mengi na tutaijua njia sahihi ya kumjua mungu wa kweli

  • @joshuabaracky2350
    @joshuabaracky2350 5 ปีที่แล้ว +2

    atukuzwe mungu

  • @beatusidama6233
    @beatusidama6233 5 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri!
    Nzurisimo!
    Nzurisissimo!

  • @eliasbanka8292
    @eliasbanka8292 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hamsali pekee yenu nasi kupitia ninyi Amini tunabarikiwa

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU awatunze na atunze.kanisa letu Takatifu katoliki pote ULIMWENGU Mama Maria Mama Yetu Utuombe

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 5 ปีที่แล้ว +1

    Utume mwema

  • @jamesmichael9705
    @jamesmichael9705 4 ปีที่แล้ว +1

    Ora et pax

  • @Jifunze1002
    @Jifunze1002 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika kuna watu wa ajabu ulimwenguni...yaani kuna mtu haipendi video hii maajabu