Mimi ambacho nakijua ni kwamba. Akili ni uwezo wakutoa kilichoko kwenye u bongo na kukiweka kwenye matendo. Tunaweza kufundishwa hesabu, mimi nikakalili, wewe ukakosa bidii ya kutoa kilichoko kwenye ubongo na kukiweka kwenye matumizi. Namba NDO hutoa jambo kwenye ubongo kama kukukumbusha
Ndugu, napenda kukusikiliza sana. Leo naomba nikujulishe kuwa "akili sio utatuzi wa matatizo" hapana kabisa. Hicho unachosema wewe ni matokeo ya matumizi ya akili. Akili ni dhana ya kufikirika isiyoonekana na hudhihirika tu mtu anapotatua tatizo. Hapo ndipo tunatambua kuwa mtu fulani ana akili. Akili si utatuzi wa tatizo bali utatuzi wa tatizo ni matokeo ya uwezo wa akili.
Hongera classmate wangu wa Nyakato Sekondari
Somo kubwa sanaa
Mada zuri mnazinyima muda dakika 2 tu
Akili kwa kuelewa wangu
Akili ipo moyoni,
Najua Kuna thana mbali mbali za kisayansi
ASANTE
Mimi ambacho nakijua ni kwamba. Akili ni uwezo wakutoa kilichoko kwenye u bongo na kukiweka kwenye matendo. Tunaweza kufundishwa hesabu, mimi nikakalili, wewe ukakosa bidii ya kutoa kilichoko kwenye ubongo na kukiweka kwenye matumizi. Namba NDO hutoa jambo kwenye ubongo kama kukukumbusha
Ndo mana watoto wa kishua Hawana Akili😂