wah hapa sioni ndoa haki how dare mwanamuke anakuanga na mpango wa Syd so shameful na vile namsikia hana mbele wala nyuma let the man stay his lyf achane na huyo man'gaa juu ata atamfanyia mengi !!!!!!
huyo demu anadaganya kabisa myb kuna kitu anataka kutoka kwa huyo jaama.kaa ni mm huyo chali ziwezi mrudisha..hahaha tena anasikia wivu..huyo demu ni wazimu
Gidi i think dis lady needs serious help.As for the guy congrats hold on to your stand you dserve a gud woman.Huyu msichana hako serious Na maisha Just move on Ata akikuthreaten aje...ad gud luck
Most women don't like soft men like this one,mine also did the same after 14yrs of marriage ndio anaanza kwenda nje. Hii generation ya masomo tano(5) wachana nayo. Iko na moral decay to it's core
Huyu dem lakini amejiongezea max sana vile alisema atarudiana Na huyu bwanake atakama ako down.kuliko wariah... Alafu hii confusion ya chali anataka bed pekee... ita Wa maliza...😂😂😂😂😂😂
This lady is not serious with life Ni kama analenga kati ya hawa watu wawili mmoja afe, mbona wakati walikuwa wanachumbiana na yule Bwanake hakumkata mapema badala ya kumfanyia madharau ya aina hii nkt, she have to reculate about wot she's doing its so bad Na kama ni hivo mbona tena anataka kurudi still ataendelea tu kuanya nje, akwende huko Hata akiolewa na mwingine bado atahanya tu maana sasa damu inampeleka speed Funny enough ni mlevi, so embarasing
2024 I'm still watching hii ilikua noma🎉🎉🎉
2022 who's watching this was the best patanisho 😂 😂
Patanisho is always my bae. I like this patanisho nilisikia nikienda chuo n ilinibamba nimeamua kuirudia tena wololo
I respect Japhet! Sobber man. Giddy and ghost HAKUNA patanisho imeshinda hii!!!!!
this serious ,,mbona hizi ndoa za 20- 35 zimerogwa embu nfikishe 40 ndio ntaolewa 💃💃💃
this nailed it best patanisho ever... hahahaha... baba amekataa
Nairesha Natasha ati baba aki huyu chali ako inlove
Nairesha Natasha ukohapa pia...Just listened it today... noooma..hehhehe
In essence ni ati atarudia huyu chali yake atakama game yake iko down 😂😂...This itaongezea huyu dem max sana 😂😂
patanisho , infanya kazi mzuri sana
😀😁😁😀 this girl is so funny na ako na utoto
part 2 pls, Oh my.... alifunguliwa biashara hope alimove on
I love this clip😅😅😅
I respect that man
hahahahahhaahaahahahaaahaaha this patanisho kills me with kicheko. wui gorreti. eti mimba ya nani...
wah hapa sioni ndoa haki how dare mwanamuke anakuanga na mpango wa Syd so shameful na vile namsikia hana mbele wala nyuma let the man stay his lyf achane na huyo man'gaa juu ata atamfanyia mengi !!!!!!
Huyo dem ajitambui aki kutokana na kuongea kweke ye c mwaminifu ata i salute Japheth coz is a cool guy
huyo dem siyo normal walai .woii mwanaume mpole sana nimempend sana
hahahaha this is more than comedy crazy
huyo demu anadaganya kabisa myb kuna kitu anataka kutoka kwa huyo jaama.kaa ni mm huyo chali ziwezi mrudisha..hahaha tena anasikia wivu..huyo demu ni wazimu
Gidi i think dis lady needs serious help.As for the guy congrats hold on to your stand you dserve a gud woman.Huyu msichana hako serious Na maisha Just move on Ata akikuthreaten aje...ad gud luck
Tamaaaaa ni mbaya sana kula ile yako ata kama haina sukari Mungu atalete sukari baadaye
aki uyo dem lol! alimeza cassette 😂😂😂
surely that girl is not a good woman at all,coz she must understand her husband
mimba ni ya marry Magdalene hhhhhhhh leo nimecheka yangu yote nikikuja kwa nyumbaeti nitakupa yote aaaah
Aaaai nlimis leo.....bt ni mbaya mwanamke kucheat kw ndoa .....kwanza heshima kw watu inapotea unadharauliwa kwote ......Funzo kw wengine io
Malaya ni Malaya ata atobwe na dunia yote
Utaongea ivo aki
I'm in tears I feel for the husband Hahahahaha Gidi ameshitwa Ghost Ameshitwa kucheka
walaai I respect this man.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Gorret kanyanga kubwa kubwa ukiendaga😅..
Alafu giddy mfuatiliange story zingine mtuambie kuliendaje😆
😀😀😀😀😀😀😀😀
I'm here again 2018 before I welcome 2019 😂
Hahahaaa...she is laughing, she is not serious, so immature!!
this girl is wicked 4 sure n I salute that man, I can encourage him never dare to be close to her again.
Most women don't like soft men like this one,mine also did the same after 14yrs of marriage ndio anaanza kwenda nje.
Hii generation ya masomo tano(5) wachana nayo.
Iko na moral decay to it's core
waaaaaa
Goretti na mume wake warudiana : th-cam.com/video/SwduMnkP4Ik/w-d-xo.html
Radio Jambo KENYA huyo msichana ata kama ni Mimi siwezi kukubali eti nikiwa na yule najisikia poa sana kuliko bwanangu nonsense stupid gal
Napenda hii clip ningepata mwanamme Kama Huyo Japheth
Msijudge huyu dem akiii😂😂...
hii damu moto ni ya wapiiii?
ghaii nani alifungua gate ya Mathare aki Rudisha Goretti ndani...huyu ni chizi papaa songa mbele na maisha yako
Madam amekula. Bangii mbichi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
When I listen to this aki I wish I would av a man like that
Asimsamehe huyo sio Bibi tena ni kama yuko na mapepo ya umalaya huyo jamaa atafte msichana mwingine huyo atamletea ugonjwa
Hahahaha Gidi kicheko nayo but good job
Huyu dem lakini amejiongezea max sana vile alisema atarudiana Na huyu bwanake atakama ako down.kuliko wariah...
Alafu hii confusion ya chali anataka bed pekee... ita Wa maliza...😂😂😂😂😂😂
huyo bibi hayuko serious kwa doa yake wachana naye dunia imufunze adàbu kwanza ndio atajuwa doa nini
Imajen walirudiana after 2months sai wako pamoja
Dagoretti corner
@LADY THIS SHOULD BE COMING FROM TEAM MAFISI WAAA
ghai ghai hizi mipango za kando noma sana.... kumpea vizuri waaaa ugonjwa hamuogopi
Lol !!!!eti ntakupea hadi utosheke waaaah ngori hapo Gidi nitisho.
hata ingawa walirudiana uyo mwanamke ni wicked sana. Uyo mwanaume ni mzuri sana nimempenda lkn bibi no
hahaaa.....hio nikali aki ya naneeeeeeee.......woiye mzae ni mpole....
Wueh,aki hii kenya sihami!!!!
hahaha huyo dem hayuko sawa walae😂😂😂
Uyu Dem ayuko Sirius
Hard core
I wonder huyu malaya alienda wapi.
I had same type of a girlfriend. she abused my introvert personality. I moved on I'm now happy
dunia simama nishuke . kama ni ndoa mimi nooooo😂😂😂😂😂😂😂
Huyo bb bado atarudia 2 tabia zake
Kama hii sio mara ya kwanza hata bado ataendelea tu kilichoko jamaa awe ready kupokea S. T. D
What about H.I.V
huyu si mme
😂😂😂😂😂😂😂😂huyo dem hawezi wacha tabia mbaya tena akapimwe
Japhet aendelee namaisha coz huyu mwanadada ni jirani wa shetani
Uyu mama anaka malaya sana, na kwachia mipango yakando, na nikama anatafuta jinsi vile anaeza kumua Uyu jama
I wish I could get a guy like dat
I hope you finally got a guy
@@DannioArts I hope so too... 😅
@@shamimaoko 🤣
@@DannioArtsshe must be somewhere enjoying mlungula haongei 😂 😂
@@shamimaoko akuje hapa atupe uhondo
this is madness in angola
that's a slay queen
love ....
god bless you
A foolish woman pulls down her house by her own hands. Yeye bado ana akili ya kitoto
hiki kidem kinautoi sana huyo chali ako poa sana
gidii na ghost mzaidie na counselling ,akilli ndogo "kaplelach" generation.
Gorretti amemeza USB?
😂😂😂😂 huyu dem hapana😅
Waaah!!!
Weweeeeee yesu shuka usitumane dah!!
Am new to patanisho but gidi AKI wacha GA kurudia vile already umeshaa elezewa. Pliz, pliz
I dont believe dat Lady though maskini dat dude he sound genuine nd kind hearted
Mwanaume akiwe na pesa kumuacha ni ngumu 🤣
You cant know the value of something until you loose it
Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake na mikono yake miwili methali 16
I like Gidi na mlei juu wao huambia mtu ukweli.kaa umekosa wanakusho makosa yako
haha wawawawawaw gosh that was soo claizy
And she's not even shameful instead anaongea akicheka cheka as if gidii anamtongoza.......GROW-UP !!
Gorrete kwenda huko Malaya mkubwa wewe, hata kuongea kwako thogh. Japeth usijaribu kurudia huyo Malaya.
Hii ni malaya sugu...aiezi tosheka na mwanaume mmoja
Hahahaha unamupea vizuri anatosheka ......Dumba
Duh!! Huyu Dada ni changudoa. Yaani ana akili fyatuuu na wala ajiheshimu kabisa.
plz at what time Gidy and Ghosti you start patanisho
Nje Africansauce around 8.30a.m.
Ni kama amekunywa pombe tena, achana naye kabisaa
dunia si mama ni Shuke Tamaa ni mbaya sana ukiolewa ukioa usi try mpango wakando shetani utokea sasa
Kufa 7yrs kwa mama utatombwa na nani
Pliz kama ni ukweri kuna watu kama huyu Gorreti jaribuni kubadirisha tambiya
24yrs is still a teenager...
Akuna kitu hao n watu wanataka kufuraisha wakenya. Wali plan kuongea ivo co ati wameoana
doh! huyu mwanamke ni pepo
aki kumbe bhangi c spinach 😂😁😀
mama yoooo
This lady is not serious with life
Ni kama analenga kati ya hawa watu wawili mmoja afe, mbona wakati walikuwa wanachumbiana na yule Bwanake hakumkata mapema badala ya kumfanyia madharau ya aina hii nkt, she have to reculate about wot she's doing its so bad
Na kama ni hivo mbona tena anataka kurudi still ataendelea tu kuanya nje, akwende huko
Hata akiolewa na mwingine bado atahanya tu maana sasa damu inampeleka speed
Funny enough ni mlevi, so embarasing
pwahahaaaaa 7year walalala hiyo ni trick sana
Huyo jamaa ata karibisha ugonjwa
Huyo msichana anahitaji viboko
waah hii nayo
Saiiiiitaaaaan....
mimba😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
aki huyo dada anatafuta ugojua .
wah dunia simama nishuke
Moreen Mbatha simamisha dada tushuke sote
hahaha
She thought grass was greener on other side???