INASIKITISHA SUZYBALE AFUNGUKA KWA UCHUNGU ALIVYOINGIA KWENYE KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA NILIMUIBIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • SUZYBALE ALIA AKIELEZEA ALIVYOTUMIA DAWA ZQA KULEVYA NA KUFANYA MAMBO YA AJABU #SUZYBALE

ความคิดเห็น • 26

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 2 วันที่ผ่านมา +7

    Suzy umeongea maneno ya maana sana Mungu azidi kukuongoza wanaokubeza Mungu awazindue

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 วันที่ผ่านมา +12

    Ila inaumiza sana hya mambo yaskie tu kwa mwezio yaani mambo ya unga ni kama ukiskia mtoto wa mtu shoga ni kuwaombea tuu mungu awasaidie😢😢

  • @HaikaSelle
    @HaikaSelle 2 วันที่ผ่านมา +4

    Kiukweli nampenda sana Suzy,hana makuu dada wa watu,Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi katika safari hii ya maisha,utasimama tena

    • @MegaNasri-bv7tc
      @MegaNasri-bv7tc วันที่ผ่านมา

      🎉❤🎉❤🎉❤ love her

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 วันที่ผ่านมา +11

    Jamani mungu wa mbinguni akusaidie usije ukarudi tena

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 วันที่ผ่านมา +4

    Daaaaa pole snaa aise umepitia mengi sana mungu azid kukusimamia dear Suzy bale

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu azidi kukusaidia na kukusimamia usirudi huko!

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 วันที่ผ่านมา +3

    Kweli dear umepona miaka.mingi mpenzi ulikuwa kwenye maumivu nakutambua miakaa hiyo I lakini Mungu ni mwema na kila jambo Lina sababu na Mungu anajibu kwa wakati amejibu usihofu yamepita na.maisha mazuri yanakuja❤ ulikuwa.mjanja mjanja mwenyewe mm nakupenda mwana kinondoni mwe zangu❤❤

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 2 วันที่ผ่านมา

    Pole Sana mpenzi mungu akuongoze katika njia njema

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy วันที่ผ่านมา

    I love you Suzy Bale

  • @fatmaali7605
    @fatmaali7605 วันที่ผ่านมา

    Mungu akuwezeshe Suzie bali love from kenya 🇰🇪❤

  • @safiasuleiman-t9d
    @safiasuleiman-t9d วันที่ผ่านมา

    Wee huogopi 🎉 nakupenda dada angu

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 วันที่ผ่านมา

    Huyu ndo mzaramo sasa akiongea tu utajua uswazi umemkolea,anaweza kukuchamba mpaka ukazimia😂😂
    Pole sana Suzy kwa mapito

  • @seraphinseraphino3507
    @seraphinseraphino3507 2 วันที่ผ่านมา +1

    sorry my sister

  • @RENAHKUSH
    @RENAHKUSH 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli ila serikal Tu ndio biashara zao hizo kuisha n ngumu Sana hio biashara

  • @mustafarajabu4005
    @mustafarajabu4005 2 วันที่ผ่านมา +4

    Unaongea maneno mazuri,lakini sio kwa watz,watz maisha yao ni kuhumizana tu.hata ukiacha madawa watu watakuumiza tu,watz hawapendi kusaidiana bari kumizana.ndio maana hata rey c hakaama nchii hili hapate amani.utakuta mtu kahacha lakini mtaani wanamnyooshea vidole mpka mtu mwenye rohoo nyepesi utakuta analudia tena, sabbu mtu kaacha bado anaitwa mteja neno ambaro linaumiza sana,utakuta mtu anarudia tena anaona kahacha anaitwa mteja,ndio anapoludia tena

    • @stellahwilfred5762
      @stellahwilfred5762 วันที่ผ่านมา

      Watz wakikupa jina km Huna MUNGU utajiua..
      Ila muhimu ni kujua kila mtu Ana dhambi

  • @LejaChawe
    @LejaChawe วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 วันที่ผ่านมา

    ETI KIOO CHA JAMII😅😅😅😅 JAMII GANI?

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 2 วันที่ผ่านมา +6

      Jamii hii hii . kaongea maneno ya maana sana

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv 2 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@chumchum1526 🫡🫡🫡God bless you so much ❤❤❤❤❤❤🇨🇳

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 2 วันที่ผ่านมา

      @@ELIZABETH-uz6dv tubarikiwe sote kipenzi😍

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@chumchum1526Sana sanaaa dear umemjibu vizuri

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 2 วันที่ผ่านมา

      Tema mate pembeni ni mtihani kwakweli